All eyes on chelsea, ktbffh
Half Time
Galatasaray 0 Chalsea 1
Nani katoka na Chupi? Chelsea au Gala?Wametoka na chupi mkononi,mlizani kibamia eeeh?
Nani katoka na Chupi? Chelsea au Gala?
Mi nashindwa kuwaelewa ninyi mashabiki wa Asernali, jana mapovu yalikuwa yanawatoka mpaka basi, hii ni chelseafc siyo Azam fc au Majungu FC, Tizama rekodi ya Jose kama alishawai kufungwa na Roberto Mancini au kufungwa hapo Kuzimu. Tuna gori moja la ugenini... watakufa tu! #InJoseMourinho we trust
Usibishane na Mburura Au Mburukenge!
Matokeo yako wazi na Dhahir kabisa'!
City lost 2 nill
Arsenal lost 2 nill
Utd lost 2 nill
Chelsea drew away with one goal aggregate!
Sasa ni timu ipi Hapo yenye uhakika Wa kwenda mbele?
Wametoka na chupi mkononi,mlizani kibamia eeeh?
Ila lazima niseme...Willian kwangu ndiyo alikuwa Flop of the team kwa kweli...!!!