Haters wote hawana pakupumulia, mpira ni dakika tisini, mlitamani tupate hata suluhu leo
View attachment 141026View attachment 141027View attachment 141028
Dua la Kuku! Umeona Eeeeeeeh?
kabisa kabisa.ila ya ligi kuu yashaisha sasa lets go for ucl this mid week na tuwaonyeshe arsenal na man city how to play and win match in ucl(man u and chelsea)
kweli kabisa; bado mechi 11, tukiendelea hivi naona ubingwa umeanza kunukia.
Kwa sababu mechi ijayo itakuwa CFC vs FULHAM.
naona kabisa tutaendelea kuongoza ligi kwa muda mrefu; wadau kukumbushana tu; mechi ya mwisho ambayo Chelsea ilifungwa ilikuwa dhidi ya STOKE CITY. hadi leo hii tukifungwa ni droo tu.:first:
We are the champion!
Mentor, I have to admit, I am very impressed with Matic, it's like he has never been away, kudos to JM for bringing him back
Mikel played Vs City and didn't impress, as usual (sell him), Luiz, as you know, is unpredictable, Lamps had a fantastic game yesterday and Ramires is slowly getting back to his best but none of them has the commanding authority in that area like Matic.
And so the question remains, how will you fare without him in those tuesday/wednesday nights?
umesema vizuri mkuu 'mourinho'. uzuir wa Matic ni kwamba jamaa ni mtulivu sna; hana makeke kwenye uchezaji wake, Mikel ni muhimu sana kwa Chelsea; kwenye UCL ..Obi Mikel na Ramires wakicheza pale kati ni sawa; au Lampard na Ramires: Uzuri wa Ramires ni box to box midfielder.
Kuhusu hoja ya "how will we fare without Matic in those tuesday/wednesday nights" let's wait and see!
remember what we did in the UCL FINAL in Munich 19th of May 2012.
Lampard na Mikel walicheza pale kati; na tulishinda.
Final ya EUROPA LEAGUE ..pale Amsterdam Arena last year; pia tulitoboa.
uzuri wa chelsea; ni watu 4 wa mwisho; Terry-Cahill-Ivanovic-Azp. hao wakiwa sawa mie huwa sina shida sana.
Pia jambo lingine zuri ni hawa vijana wetu wanaocheza #10 role: Willian-Oscar-Hazard.
Jumatano usiku; kitaeleweka tu. But we miss the legend 'didier drogba'
CFC - CHELSEA THE BLUES.🙂

Okay, let's wait and see
Oscar kashuka sana kiwango, jana alikua anajigonga tu kwa Barry
Mikel simkubali kwa sababu ni mzito sana wa kufanya maamuzi, akipata mpira ndio anaanza kufikiria aupeleke wapi, Matic anajua atapiga wapi pass kabla hata hajapata mpira
Lampard wa 2012 sio Lamps wa 2014 Mkuu, Ramires kiasi fulani kadrop sijui ni kwa sababu anachezeshwa sana? Anahitaji kuregain his form kama atakabana na kina Kroos, Matuidi, Modric n.k
Ni muhimu sana hiyo back four yenu isitetereke, hasa JT. Azplicueta anakuwa mzuri kila baada ya match, kama atarudishwa kulia mkimpata Shaw itakua safi sana maana kwa sasa hajiamini kupanda mbele kusaidia mashambulizi kama Ivanovic
Match za last week(UCL) sikuwa totally convinced kwamba Barca ana Bayern are that good kama wanavyosifiwa, sijui kama zote zingepata matokeo waliyopata kama marefa wangekua na busara kidogo
Ngoja tuwaone na Madrid this week, nadhani team zote bado zina chance ya kufika mbali, including Arsenal na Man city
Mkuu km unfatilia game za Chelsea baada ya Chelsea kushinda kwa City 3 mwezi huu, game zilizofata Karibu zote wameshuka Kiwango kidogo! Na Si Chelsea tu peke Yao! Ata Man City, Arsenal. Lkn hii ktk hizi game za UCL itakua tofauti kidogo kwasababu timu zitabidi zicheze vzr Zaidi!
Tukija kwenye kikosi cha Chelsea, Mimi kwangu yoyote atakaepangwa mambo yatakua mazuri tu!
Mkuu mimi nafuatia Serie A with my beloved Juventus, EPL na La Liga. Ligue 1 labla game ya matajiri, Bundasliga imeniboa toka igeuke kuwa monopoly na team moja
City of coz wamedrop kidogo toka wafungwe na Brani, hata jana walisumbuka sana kuwafunga STK na nadhani watapata shida sana nyumbani kwa Man United, Arsenal, Liverpool na Everton
Arsenal wanakosa viongozi uwanjani, watu kama Viera, Adams, Keown, Gilberto Silva, Henry ni rahisi sana kupotea kwenye match kubwa, mfano mechi zao Vs Chelsea, Man City&United, Liverpool na Everton na wana mechi ngumu sana za away
Hapo unaposema akipangwa yeyote ni sawa ndio tunapishana, hivi hujiulizi angekuwepo JT uwanjani West Bron wangesawazisha? Bila Hazard mngewafunga Newcastle? Bila JT jana mngeshinda? Na je golini angekua anakaa Mark Schwarzer mngekua na rekodi nzuri defensively kuliko team zote mpaka sasa kwenye EPL?
Wachezaji wote ni muhimu ila wanazidiana uwezo wa kuamua matokeo na kuwapanga wenzao uwanjani
This is time to say we are the champion!