Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ntuzu mtu wa maneno mengi..kesho Sioni dalili za Ushindi mbele ya Everton...
Sare nyingine ya 0-0..

Mkuu kumbe Mimi Nina maneno mengi? Aiseee nilikua Sijui!

Sioni Beki za kuweza kuzuia wachezaji Wa Chelsea kwa sasa! Everton Lazima wapigwe!
 
Upande wa mabeki kuna tatizo kwenu..Terry mgonjwa (sijajua kama yupo fit kiasi cha kutosha kukabana na Traore) Cahill majeruhi...So kabaki mapepe Luiz...Terry na Cahil wanacheza vizuri zaidi wakiwa pamoja kuliko mmoja acheze na Luiz...
Sijajua kama Kesho Torres ataanza.

Terry alifanya mazoezi na kikosi cha kwanza na ataanza, Gaz sidhani kama ni tatizo ila Luiz ndio majeruhi
 
Upande wa mabeki kuna tatizo kwenu..Terry mgonjwa (sijajua kama yupo fit kiasi cha kutosha kukabana na Traore) Cahill majeruhi...So kabaki mapepe Luiz...Terry na Cahil wanacheza vizuri zaidi wakiwa pamoja kuliko mmoja acheze na Luiz...
Sijajua kama Kesho Torres ataanza.

Sijaona sababu Hapo uliyotoa Zaidi ya kuona unasahau Chelsea wako na vikosi viwili imara?!
 
Are you sure? John Terry asipocheza beki ya chelsea inakua nyanya, Luiz ni liability hasa akicheza kama beki na huwezi kuniambia mna sub ya Hazard
Match ya FA dhidi ya Man City walifanikiwa kumkaba Hazard na sijui mlipiga mashuti mangapi golini siku hiyo, moja?
 
Rafiki yng Mourinho Bado nasema hivi Chelsea Tuko na vikosi viwili imara! Wewe tulia utaona mambo!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ntuzu hawa Everton sio wa kuwabeza waliwapiga 1-0 kule kwao Goodison Park...
Wanacheza kwa Nidhamu na wanapiga counter za uhakika..
Ni kweli mna vikosi 2 lakini sio vya ubora uleule.Hususani kwa upande wa mabeki..ndiyo maana mara nyingine Ivanovic hurudi kucheza kati...Sijajua hali ya Cahill manake alicheza na maumivu kwenye mechi ya City....
Terry anarudi kutoka majeruhi sawa lakini anakutana na game ngumu..hapo ndipo wasiwasi wangu wa ushindi kesho...
 
Last edited by a moderator:
Rafiki yng Mourinho Bado nasema hivi Chelsea Tuko na vikosi viwili imara! Wewe tulia utaona mambo!

Hujanijibu bado, Terry hana sub, Hazard hana sub, combination ya Terry na Gaz haina mbadala, mechi mbili zilizopita ambazo Terry hajacheza mmeruhusu magoli matatu, before mlikua mmefungwa goli 1 tu kwa mwaka 2014

Huyu ni Jose Mourinho akimuelezea JT leo hii

"He's a stable player, not a player that makes lots of mistakes. He has a basic level of performance that gives stability to the team. Every team, especially one with a lot of young players, needs stability from the back and that stability from the back is something which is keeping us in a good position in the league.

'For me, the captain's armband doesn't mean so much. What really matters is the voice on the pitch. Many times I can't control that, especially when they are defending the goal far away from my position. Sometimes there are things to control, like the distances, position of the defensive line and the line where we start pressing the opponent. To have a player on the pitch with this kind of voice, to transmit what I need, is important.'
 
Last edited by a moderator:
Sijaona sababu Hapo uliyotoa Zaidi ya kuona unasahau Chelsea wako na vikosi viwili imara?!

Ukweli ni kwamba bila John Terry, Chelsea huwa inapwaya nyuma. Kumbuka kipindi cha nyuma alichoumia kwa muda mrefu mpaka Essien akawa anapiga mkoba? What happened to Chelsea?

Zamani kuna baadhi ya watu walikuwa wanadai kuwa Carvalho ndiye aliyekuwa anamfanya Terry aonekane anacheza vizuri lakini jamaa bado amendelea kucheza vile vile baada ya Carvalho kuondoka.

Anajua kupanga mambo at the back, he tells them wajipange kivipi. Jamaa hana speed kabisa, na one in one lazima aachwe, lakini timing na jinsi anavyopanga wachezaji imesaidia sana chelsea kuwa stable at the back.

He is a true team leader na unaona kabisa uwanjani. Having said so, Chelsea won the Champions League without him.
 
Muda mrefu nilishawahi kucoment humu kuwa David Luiz sio beki kabisa yeye ni mzuri akiwa midfield tena acheze ile ya juu (ushambuliaji)
ukiangalia me hi zote chelsea aliyotoka draw (mechi) ya league na mechi tuliyopoteza ya Man City, utOna vyongo za wazi za Luiz, vilevile kitendo cha kumlazimisha Azip kucheza kushoto wakati yeye ni wa kulia nalo ni shida
 
Ukweli ni kwamba bila John Terry, Chelsea huwa inapwaya nyuma. Kumbuka kipindi cha nyuma alichoumia kwa muda mrefu mpaka Essien akawa anapiga mkoba? What happened to Chelsea?

Zamani kuna baadhi ya watu walikuwa wanadai kuwa Carvalho ndiye aliyekuwa anamfanya Terry aonekane anacheza vizuri lakini jamaa bado amendelea kucheza vile vile baada ya Carvalho kuondoka.

Anajua kupanga mambo at the back, he tells them wajipange kivipi. Jamaa hana speed kabisa, na one in one lazima aachwe, lakini timing na jinsi anavyopanga wachezaji imesaidia sana chelsea kuwa stable at the back.

He is a true team leader na unaona kabisa uwanjani. Having said so, Chelsea won the Champions League without him.

Hahahahahahahahaahaaaaa, the last paragraph though, LOL!
 
Hujanijibu bado, Terry hana sub, Hazard hana sub, combination ya Terry na Gaz haina mbadala, mechi mbili zilizopita ambazo Terry hajacheza mmeruhusu magoli matatu, before mlikua mmefungwa goli 1 tu kwa mwaka 2014

Huyu ni Jose Mourinho akimuelezea JT leo hii

"He's a stable player, not a player that makes lots of mistakes. He has a basic level of performance that gives stability to the team. Every team, especially one with a lot of young players, needs stability from the back and that stability from the back is something which is keeping us in a good position in the league.

'For me, the captain's armband doesn't mean so much. What really matters is the voice on the pitch. Many times I can't control that, especially when they are defending the goal far away from my position. Sometimes there are things to control, like the distances, position of the defensive line and the line where we start pressing the opponent. To have a player on the pitch with this kind of voice, to transmit what I need, is important.'

Kama hatacheza kesho, utaona kutakavyopwaya at the back.

Hata Chelsea wakishinda clean sheet will be impossible.
 
JM kashasema lazima JT acheze kesho kwa sababu Luiz ni majeruhi, lakini ningependa kuona Iva akim-partner Gaz katikati, Azplicueta kulia na Cole kushoto
 
Hahahahahahahahaahaaaaa, the last paragraph though, LOL!

Just trying to provide a critical evaluation. lol

Hata Ivanovic na Ramires hawakuwepo.

Labda ndo maana Ntuzu anadai Chelsea ina timu zaidi moja?

Even Man Utd won the Champions League without their talisman, Roy Keane.
 
Last edited by a moderator:
Just trying to provide a critical evaluation. lol

Hata Ivanovic na Ramires hawakuwepo.

Labda ndo maana Ntuzu anadai Chelsea ina timu zaidi moja?

Even Man Utd won the Champions League without their talisman, Roy Keane.

Walikua na the ever reliable Didier Drogba aliyekua anasaidia kudeffend kwenye kona na free kicks, Raul Mereles na Bosingwa walipiga shift ya hatari siku hiyo
 
Last edited by a moderator:
JM kashasema lazima JT acheze kesho kwa sababu Luiz ni majeruhi, lakini ningependa kuona Iva akim-partner Gaz katikati, Azplicueta kulia na Cole kushoto

Mfano mzuri Terry alicheza 11 tuu za ligi msimu uliyopita lakini msimu huu keshapiga mechi 24 za ligi.

Rafa nilimwona jana kwenye Europa katoka sare na Swanse. Kule ndiko kunakomfaa.

Terry anayo kazi next week though.

article-2564783-1695B8FF000005DC-461_634x452.jpg
 
Cole ndo kwa heri tena. Mourinho hata upendeleo hana.
 
Mfano mzuri Terry alicheza 11 tuu za ligi msimu uliyopita lakini msimu huu keshapiga mechi 24 za ligi.

Rafa nilimwona jana kwenye Europa katoka sare na Swanse. Kule ndiko kunakomfaa.

Terry anayo kazi next week though.

article-2564783-1695B8FF000005DC-461_634x452.jpg

Sikumuelewa na sub ya keeper!!

JT ana kazi nzito sana kwa kweli na sijui ataifanyaje
 
Cole aliharibu nini? Au alivyoenda kuparty na Arsenal kabla ya ile mechi yao ya FA?

When Mourinho was asked if Cole will be given games, he said: "I don't know. I'm happy with the way Azpilicueta is performing."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom