Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu upo..? Naona unasubiri sare ya leo...Barry leo anazunguka na Hazard tu...manake Etoo hana madhara pale mbele.

Nipo Mkuu, match nzuri sana lakini ngumu kwa team zote mbili, Chelsea wanatakiwa kuwa na discipline ya hali ya juu kama watashinda hapa.
Hazard ana kale ka bwana mdogo Coleman, beki mmoja mzuri sana
 
Nipo Mkuu, match nzuri sana lakini ngumu kwa team zote mbili, Chelsea wanatakiwa kuwa na discipline ya hali ya juu kama watashinda hapa.
Hazard ana kale ka bwana mdogo Coleman, beki mmoja mzuri sana

Bado naamini hii game ni suluhu Mourihno...Sioni mkitengeneza nafasi za kufunga...Hazard yupo kimya sana...labda kipindi cha pili mbadilike
 
Bado naamini hii game ni suluhu Mourihno...Sioni mkitengeneza nafasi za kufunga...Hazard yupo kimya sana...labda kipindi cha pili mbadilike

Game ngumu hata wenye team siwaoni hapa

Oscar has been the weakest link, Salah aingie ambadili.

Everton wanaweza kushinda hii match, wana Barkley,Deulofeu na McGeady kwenye bench, hawa wote wanauwezo mkubwa sana kubadili matokeo
 
Mou, hii laana ya kumtukana mzee wenger itamtesa sana katika mechi zilizobaki
 
at last wameokota, 1 - 0. Kipindi cha pili eveton walikuwa dhaifu kwenye eneo la kiungo. Japokuwa chelsea walikamata dimba lakini hii ni moja ya mechi ambayo chelsea wameonyesha performance mbovu kabisa. Chelsea wanaendelea kubaki kileleni.
 
john terry amefanya siku yangu iwe nzuri, game ilikuwa ngumu sana goli limepatikana dk 92, tangu msimu uanze sizani kama tumeshapata goli la ugumu kama hili, ulikuwa mpira mzuri wa adhabu uliopigwa na Lampard na kuunganishwa na John Terry, sasa tunawasubiri haters tuwaongezee gape
 
I realy hate magoli ya dk ya 92. Nimeumia sana chelsea leo kushinda i thought walikuwa washapoteza tayari pointi mbili dah kweli mpira dk tisini na za nyongeza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom