Enzo hakucheza vizuri, anatakiwa apewe dakika chache hadi atakapofanyiwa operation ya hernia yake inayomsumbua. Poche bado anaforce wachezaji fulani kucheza hata kama wamelemewa. Rotation ni filosofia nzuri ya kuwapumzisha wachezaji muhimu na pia kuwapa wale wasiopata nafasi muda wa kuonyesha makali yao.Hayo yite unayoyasema ila stil tumecheza vizuri na chances tukatengeneza kama sio uzembe wa jackson enzo alikuwa anaondoka na assist leo,
Siwez mlaumj Poch kwa leo.
Ila niliipenda sana ile run ya Chilwell, Cucurella hawezi hiyo. Aliharibu tu alipochelewa kurelease mpiraKuna maamuzi ya Chilwell ambae ni Experience player na ni Vice Captain sehem ya kupiga square pass kwa sterling yeye anaweka extra touch
Kumbe jamaa ni nyumbu?Wanangu kazeni mmote city FA
iwe rahisi kwa man utd kulibeba kombe
Unajua kwenye kosi la vilaza lazima awepo mwenye nafuu hila ilo aliondoi kuwa takatakaPamoja na misses zote bado yeye ndie kacheza vizuri kuliko wengine jana
Akiweza tu kuboresha clinicalityy kwenye kuweka mipira wavuni. wote tuliokuwa tunamuita takataka tutatubu kwake
View attachment 2969652
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Achana na hizo penalties za kupewa, kuna Umbwa mnayoifuga hapo darajani inaitwa Jackson hio ndio iliyowakosesha kwenda fainali, hio Umbwa imekosa clear chances zaidi ya 3 na kutusababishia sisi Man United matatizo makubwa sana kwenye final.
Kai anamaliza msimu na goal 7 unasemaje ni clinical kuliko Jackson tena Jackson huu ni msimu wake wa kwanza Flano yupo sahihiNdg Jackson wala hafananii hata kidogo Havertz. Havertz yuko clinical zaidi ya Jackson ila Jackson anajua kucheza mpira kuliko Havertz. Hao ni watu wawili tofauti kabisa
Anajua kuhold mpira, ana kasi msumbufu kwa mabeki na anasaidia katengeneza nafasi kwa wenzake kitu moja tu anakosa ni kutakuwa clinical kwenye goal, kulingana na hizo sifa nyingine nilizokutajia ndio inapelekea kuanza kila gameJackson huwa ana nini ambacho mimi huwa sikioni?
Poche Leo alikuwa kwenye ubora wake nimpumbavu tu anayeweza kumlaumu hoja ya kwamba kwanini asingemuanzisha Enzo ni kwasababu lembu hukuangalia mpira vizuri Enzo alicheza vizuri sana pass zake zilikuwa ni hatari amepiga key pass nyingi ikiwemo chance ya Jackson aliyokosa pass ilitoka kwa Enzo pia alikuwa anarahisisha mpira na movement ya mchezo kwenda smooth.Binafsi sikupenda Enzo, Gallagher na Caicedo waanze pamoja baada ya kucheki mpira vizuri niliona Kocha alikuwa sahihi kwa asilimia zote plan ilitiki aliyetuangusha ni kosakosa za Jackson. Kuhusu sub ya kuingia Disasi na kumtoa Agusto ni kwasababu Agusto alishaumia hakutaka aumie zaidi kama taadhari.Hayo yite unayoyasema ila stil tumecheza vizuri na chances tukatengeneza kama sio uzembe wa jackson enzo alikuwa anaondoka na assist leo,
Siwez mlaumj Poch kwa leo.
Jackson kamzidi kai mkuu mlinganisho wako sio sahihi pamoja na kosakosa zake ana 10 na assist 7 tena ni msimu wake wa kwanza, anajua kuhold, ana kasi, nguvu, pace na dribble huwezi kumcompare na yule goi goi kaiJackson kumbe ni Kai mweusi tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ukiachana na uduanzi wake kwenye finishing, bado ana faida kwenu jamaa. Unadhani hizo nafasi anazokosa zinamkuta kwa bahati mbaya?Jackson huwa ana nini ambacho mimi huwa sikioni?
Ila ni upumbavu pia kusema kuwa Enzo kacheza vizuri kwa sababu ya pasi moja nzuri kwenda kwa Jackson. Pasi nyingi zilipotea, alikuwa too Shacky and sloppy, uwezo wake wa long balls umefall. Hapo alipo anaumwa hernia. Kwanini kocha amlazimishe kucheza?Poche Leo alikuwa kwenye ubora wake nimpumbavu tu anayeweza kumlaumu hoja ya kwamba kwanini asingemuanzisha Enzo ni kwasababu lembu hukuangalia mpira vizuri Enzo alicheza vizuri sana pass zake zilikuwa ni hatari amepiga key pass nyingi ikiwemo chance ya Jackson aliyokosa pass ilitoka kwa Enzo pia alikuwa anarahisisha mpira na movement ya mchezo kwenda smooth.Binafsi sikupenda Enzo, Gallagher na Caicedo waanze pamoja baada ya kucheki mpira vizuri niliona Kocha alikuwa sahihi kwa asilimia zote plan ilitiki aliyetuangusha ni kosakosa za Jackson. Kuhusu sub ya kuingia Disasi na kumtoa Agusto ni kwasababu Agusto alishaumia hakutaka aumie zaidi kama taadhari.
Yaani wewe umeona ambao wengi hawaoni. Angekuwa ni fala wala hizo nafasi za kukosa asingezipata. Jackson anajua kujiposition ili apewe mpira, Siku hili pepo la kuogopa goli likiisha, Jackson atafunga magoli kama Didie Drogba hadi mtampigia magoti ninyi mnaomuita takataka[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ukiachana na uduanzi wake kwenye finishing, bado ana faida kwenu jamaa. Unadhani hizo nafasi anazokosa zinamkuta kwa bahati mbaya?
Mimi sioni kama ni kurekebisha, huyo bado mtoto. Ndio anakulia kujua mpiraNipe tofauti ya Jackson na Mzize. Wote wanajua kuhold mipira, kukimbia ila ni zero kwenye finishing. Wote wazuri kutokea pembeni at least mwingine anakua bora akicheza kama mshambuliaji wa pili.
Jackson anayo nafasi ya kufanya vizuri kama atarekebisha finishing yake anapokua golini ila mpaka sasa ni very poor japokua na magoli yake 10 PL.
Nilikuwa naongelea ukosaji wake wa magoli wa kijinga mno alioonyesha jana. Hata hivyo, hata hivyo vingine unavyosema amemzidi Kai sidhani kama ni kwa asilimia kubwa. Ni kwamba tu Kai ukimtazama sura yake amekaa kiboya boya huku Jackson ana sura ya kazi kazi hivyo watu wakiwaangalia hao wawili wanamuona Kai mbovu zaidi.Jackson kamzidi kai mkuu mlinganisho wako sio sahihi pamoja na kosakosa zake ana 10 na assist 7 tena ni msimu wake wa kwanza, anajua kuhold, ana kasi, nguvu, pace na dribble huwezi kumcompare na yule goi goi kai
Kai nafasi kama zile asingekosa labda chache sanaNilikuwa naongelea ukosaji wake wa magoli wa kijinga mno alioonyesha jana. Hata hivyo, hata hivyo vingine unavyosema amemzidi Kai sidhani kama ni kwa asilimia kubwa. Ni kwamba tu Kai ukimtazama sura yake amekaa kiboya boya huku Jackson ana sura ya kazi kazi hivyo watu wakiwaangalia hao wawili wanamuona Kai mbovu zaidi.