Tulikuwa tunayazungumza haya wengine huku wakaamua kuficha kichwa kwenye mchanga kama Kenge afanyavyoChelsea is in talks with Riyadh Air, Bank of America, Malaysia Airlines, and an Asian company about becoming the shirt sponsor next year.
However, the likely lack of qualification for European cups, especially the UCL, makes negotiations difficult.
(@Lu_Class_)
Huwa tunawaambia ila hamskii
Mtafyata tu hivi pundeKai Havertz's last four appearances in the Premier League 👏
⚽️ v Burnley
⚽️ 🅰️ v Newcastle
⚽️ 🅰️ v Sheffield Utd
⚽️ v Brentford
Asanteni Kenge kwa kufanya biashara safi 🤝🏾 Cash Money Forever View attachment 2929884
Mtafyata mkia muda sio mrefuNi kwasababu alikuwa anacheza na mabumunda🤠🤠...tangu alivyokuja Arsenal kwni amebadilika nn....si ni yuleyule goigoi..lakini mbona anatupia....jibu ni ize tu...nyny mna Wala mishahara ya bure wengi na ndo maana mpo nafasi za 10 huko
Mtafyata mkia muda sio mre
Mechi saa ngapi? Tujaze nzi humuBaada ya kuifunga Chelsea 4-1 uwanjani St. James’ Park mwezi Novemba, Newcastle wanaweza kukamilisha double yao ya kwanza kwenye ligi dhidi ya The Blues tangu 1986-87.
View attachment 2931979
Chelsea wamepita mafundi wengi sana kuna Hazard, Oscar, Mata, Fabregas, Joe Cole n.k na sasa hivi tuna fundi anaitwa Cole Palmer Mr mapassNyny ni waharibifu wa vipaji vya wachezaji...next time muwe mnasajili wafanya vurugu ndo wataweza kucheza style yenu sio mafundi kama De Bruyne na Kai
Chalobah na Gallgher wametuangusha, lile goli la kusawazisha ni blunder ya Gallagher kuvisha wachezaji kama watatu kanzu halafu mpira unarudi nyuma kwentu miguuni kwa opponents. Kama anaumwa kwa nini Kocha anaforce acheze?Kikosi kina chalobah!! chelsea kushinda labda washinde njaa.
Chalobah hakipga hata foward pass moja niitwe mbwa.
Ile ilikuwa ni gustoChalobah na Gallgher wametuangusha, lile goli la kusawazisha ni blunder ya Chalobah kuvisha wachezaji kama watatu kanzu halafu mpira unarudi nyuma kwentu miguuni kwa opponents. Kama anaumwa kwa nini Kocha anaforce acheze?
Sidhani, Gusto hachezi hivyo, may be unasema mpira baada ya hiyo blunder. Ngoja nitafuatilia. Ila leo Gallagher hayuko mchezoni kabisaIle ilikuwa ni gusto