juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Roma wanawachezaji wazuri ukicompare na BrightonWe si ulikuwa unabisha si umemuona kocha wako
Bado ni kocha mzuri kwa wachezaji tulionao kuliko Pochettino, hoja yangu ilikuwa kipindi cha mpito angalau 2 to 3 years asipoonyesha dalili za kucontent ligi na UCL awekwe mzoefu, timu itakuwa imeshakomaaWe si ulikuwa unabisha si umemuona kocha wako
SterlingTaja sajili ambazo Tuchel alipendekeza TODDY azifanye?
Huyo kocha mbinu hana na ndio maana msimu huu team nyingi zimemjulia wanampiga wanavyotakaRoma wanawachezaji wazuri ukicompare na Brighton
Roma hii na ile roma ya mourinho ni roma mbili tofauti hii ya de rossi imeimprove sanaa tangu wamfukuze Mourinho
Kante/kova walikuwa washaanza choka. Tulihataj kuanza kufanya succession mapema tu haya hao wote ndani ya mism 3 wote wameondokaYes tulikuwa na mid nzuri Kante, Kovacic, Jog ndio maana tulibeba makombe makubwa Ulaya.
Na Saul & Zakaria walikuja kwa mkopo sio permanent.
Sajili Permanent zilizofanyika baada ya Tuchel ndio ovyo sana, zimerudisha nyuma kikosi badala ya kukiboresha kwenda mbele.
Mnamjadili TT sio kocha mzuri kama mnavyomremba, aliikuta Chelsea iko vizuriYes tulikuwa na mid nzuri Kante, Kovacic, Jog ndio maana tulibeba makombe makubwa Ulaya.
Na Saul & Zakaria walikuja kwa mkopo sio permanent.
Sajili Permanent zilizofanyika baada ya Tuchel ndio ovyo sana, zimerudisha nyuma kikosi badala ya kukiboresha kwenda mbele.
Wamepoteza wachezaji wengi muhimu, angekuwa Poche ndio anaifundisha Brighton ingeshashuka daraja hata kabla ya mechi kuishaHuyo kocha mbinu hana na ndio maana msimu huu team nyingi zimemjulia wanampiga wanavyotaka
Issue sio tu anapoteza kwasababu kapotelewa na wachezaji wake muhimu unaona kabisa amezidiwa kimbinu na bahati mbaya habadiliki team nyingi zinapocheza Brighton wanavyofanya hawapress mbele kwasababu wanajua Brighton ni wazuri kwenye build up wanawaacha mpaka wafike katikati ya uwanja ndipo wanawapress cos hata shape yao ya uzuiaji inakuwa haipo vizuri na inakuwa rahisi kwao kufungwa.Wamepoteza wachezaji wengi muhimu, angekuwa Poche ndio anaifundisha Brighton ingeshashuka daraja hata kabla ya mechi kuisha
UmekoseaBaada ya TT wamepita makocha wangapi? Wameonyesha hiyo pattern? Wamebeba angalau Carabao cup?
Hicho kitu kinaitwa pattern nakichukia sana, unacheza mpira mzuri Possesion laki 7 halafu hakuna ushindi/makombe, cheza mpira wa kimbinu shinda mechi zako nyanyua makombe.
Mpira mzuri waachie Aser8 wanaosindikiza wanaume kila msimu
Baadhi ya wachezaj hawakutaka kuendelea kuwepoNi kweli kwa miaka mingi THE BLUES tumekuwa na utamaduni huo wa kutokufanya replacement ya mchezaji mapema huwa inatucost sana.
Ila tukubali TODDY amechezea sana pesa kwenye usajili, kulikuwa hakuna haja ya kusajili lundo la wachezaji kwa wakati mmoja mpaka wengine wamemwagikia
Angesajili taratibu na kimkakati THE BLUES isingekuwa ya ovyo hivi. Hata makocha wasingepata kazi kubwa ya kuorganise wachezaji wapya wengi.
Tukubali tuu vision na maamuzi ya ovyo ya TODDY yameicost sana THE BLUES kila idara.
Kwa kweli sasa hivi anatakiwa atulize sana akili aboreshe kikosi sio kuendelea kukiharibu zaidi na tutampima kwa usajili wa kocha mpya na sajili nyingine za wachezaji.
Todd mnamlalamikia bure ni vile labda alikuwa yuko mstari wa mbele kwenye kikundi chale. Mkumbuke 60% anamiliki Eghbali n Feleciano (Clearlake)Ni kweli kwa miaka mingi THE BLUES tumekuwa na utamaduni huo wa kutokufanya replacement ya mchezaji mapema huwa inatucost sana.
Ila tukubali TODDY amechezea sana pesa kwenye usajili, kulikuwa hakuna haja ya kusajili lundo la wachezaji kwa wakati mmoja mpaka wengine wamemwagikia
Angesajili taratibu na kimkakati THE BLUES isingekuwa ya ovyo hivi. Hata makocha wasingepata kazi kubwa ya kuorganise wachezaji wapya wengi.
Tukubali tuu vision na maamuzi ya ovyo ya TODDY yameicost sana THE BLUES kila idara.
Kwa kweli sasa hivi anatakiwa atulize sana akili aboreshe kikosi sio kuendelea kukiharibu zaidi na tutampima kwa usajili wa kocha mpya na sajili nyingine za wachezaji.
We jamaa sometimes unaujinga who is kai? Umeshiba makande me nikadhani unamzungumzia mchezaji wa maana kumbe eti kaiKai Havertz ni mfano halisi wa jinsi tulivyokuwa na makocha mabumunda humu Chelsea
Kuanzia atoke Antonio Conte hatujawahi kupata kocha mwenye akili ya mpira, waliopita wote ni waigizaji tu
Kai ni bogasi, ni vile zile kondoo zinamsifia ili kuficha kuwa tuliwapiga na kitu kizito. Kai huwa anawakaba wale vilaza sema hawajui tu.We jamaa sometimes unaujinga who is Umeshiba makande me nikadhani unamzungumzia mchezaji wa maana kumbe eti kai
Nenda kokote kaulize Kai na Mudryk nani bogasi...utapata jibu zuri sana🤠🤠Kai ni bogasi, ni vile zile kondoo zinamsifia ili kuficha kuwa tuliwapiga na kitu kizito. Kai huwa anawakaba wale vilaza sema hawajui tu.