Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,934
- 236,572
Ina maana mlishindwa kabisa kuwafunga wale watoto[emoji1787][emoji1787]Yote hayo ni kazi ya kocha
Wewe unajua mtaala ambao kocha anatakiwa kutumia kuwafanya wachezaji wawe capable
Yeye anaitwa Head coach na ana wasaidizi kila idara
Wanatuletea genge la wahuni utafikiri hakuwaanda wacheze mechi
Tactically Poche ni mdogo sana, Klopp kamuacha mbali sana
Kamuingiza watoto ili asisingizie squad ya umri mdogo na bado P{oche akazidiwa akili
Tukubali ili Chelsea angalau irudi kwenye heshima yake angalau ndani ya miaka mitatu, tutamuitaji kocha aliyethibitika na ikibidi aje kupewa mamlaka kamili ya wachezaji kuanzia usajili na mauzo
Kwanini wachezaji wenyewe wasifunge mapema?Mashabiki wamekasirika sana sio kwa kufungwa bali hiyo kaluli yake kwamba walijiandaa kwa penalties ndio maana wachezaji waliacha kucheza
Halafu kuna wapendwa hapa watasema wachezaji ndio wabovu, kumbe walipewa maelekezo ya kujiandaa kwa matuta. Mbinu za huyu mzigo ni mzigo kwa timu. Aondoke tu kiangazi hatumtaki
View attachment 2916429
Wewe umesema ila uhalisia sivyo usemavyo. Mashabiki wa Chelsea walikuaga hivi hivi zaidi ya decade iliyopita na makocha walioletwa walijua mashabiki wanataka nini. Nafasi ya 7 kushiriki Conference league sio mzigo mkubwa kwa meneja yeyote. Ingekuwa mashabiki wa Chelsea wanamtaka kocha aebe kombe la ligi kwa hii timu changa hapo hata mimi ningepinga kwa nguvu zote. Hii timu haiwezi jengwa kwenye namba 10-12, hii timu inajengwa vizuri ikishjiriki na kubeba angalau vikombe hutu twa mbuzi na jogoooDi Zerbi atafeli vibaya sana, THE BLUES kwa sasa mashabiki wake wengi wamejaa sumu makocha chipukizi hawatapata muda wa kurelax kujenga timu na kuhimili presha ya kubeba makombe.
Mashabiki sumu wanataka kocha aje nakuanza kubeba makombe, THE BLUES ya sasa ni hatare sana kwa makocha wa kujitafuta.
Tukubali tuu project ya vijana ni ya kitapeli na sio utamaduni wetu, tuletewe Morinyo au Conte turudi kwenye utamaduni wa kusajili matured word class players, turudi kwenye njia yetu za makombe.
Safi sana huu ndio mfumo sasa ninaoupendaga back 3, ulinzi shirikishi.Line up ya back 3
--------------------Jackson--------------------
-----Gallagher --------------------- Palmer-----
Chilwell -------Enzo -------Caicedo -------Gusto
-----Colwill --------Disasi -------Chalobah------
--------------------Petrovic--------------------
Sub
- Sanchez,
- Gilchrist,
- Silva,
- Cucurella,
- Casadei,
- Tauriainen,
- Madueke,
- Mudryk,
- Sterling
Hata hao Conte na Mourinho kwa sasa hawatoboi hii sio 2004-2017Di Zerbi atafeli vibaya sana, THE BLUES kwa sasa mashabiki wake wengi wamejaa sumu makocha chipukizi hawatapata muda wa kurelax kujenga timu na kuhimili presha ya kubeba makombe.
Mashabiki sumu wanataka kocha aje nakuanza kubeba makombe, THE BLUES ya sasa ni hatare sana kwa makocha wa kujitafuta.
Tukubali tuu project ya vijana ni ya kitapeli na sio utamaduni wetu, tuletewe Morinyo au Conte turudi kwenye utamaduni wa kusajili matured word class players, turudi kwenye njia yetu za makombe.
Wengine wanadai ni 3-5-2Safi sana huu ndio mfumo sasa ninaoupendaga back 3, ulinzi shirikishi.
Back 3 mechi ya leo.Inavyoonekana Pochettino anafikiria kuhamia kwenye Back 3 ili kuimarisha safu ya ulinzi na kuepuka kufungwa hovyo hovyo
Sijui kama itaanzia kwenye mechi ya leo, ebu tuone line up
Mauricio Pochettino is considering a switch to a three-man defence to look for more solidity at Chelsea.
@NizaarKinsella
View attachment 2922316
Hata akiondoka POCHE natamani aje kocha wa back 3. Mifumo ya ulinzi shirikishi ndio utamaduni wetu na mafanikio yetu.Wengine wanadai ni 3-5-2
Palmer na Jackson mbele na waliobaki viungo
-----Jackson--------------------Palmer------
Chilwell ---Gallagher---Enzo ---Caicedo ---Gusto
----Colwill ----------Disasi ---------Chalobah----
--------------------Petrovic--------------------
Kipaumbele namba 1 kwenye back 3 ni ulinzi shirikishi hakuna kufungwa ovyo ovyo. Naupenda sana huu mfumo.Nina uhakika hii formation haitakua favourite kwa Palmer. Au tu watengeneze maelewano mazuri na Gusto, otherwise huu upande wa kulia unaweza ukawa uchochoro kwa Brentford
Sahihi kabisa ila huu mfumo unakuhitaji uwe mfanisi sana hasa katika kushambulia lakini katika kutengeneza mashambulizi. Sasa tatizo tayari tunalo tunakosa ufanisi Caicedo anapiga pass hovyo na kupoteza, Jackson kila mtu anashuhudia.Kipaumbele namba 1 kwenye back 3 ni ulinzi shirikishi hakuna kufungwa ovyo ovyo. Naupenda sana huu mfumo.
Kaimprove sanaGusto anaweza akamuweka bench James, amekuwa niu hot cake kwenye kujenga mashambulizi na kutoa pasi murua kwa wafungaji
Hata Jackson naona anaanza kuimprove mdogomdogoGusto anaweza akamuweka bench James, amekuwa niu hot cake kwenye kujenga mashambulizi na kutoa pasi murua kwa wafungaji