Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Hiki ndicho kilichopo kwa sasa. Ufinyu wa kikosi unamlazimisha Poch kuwapanga wachezaji kwenye position ambazo hawafanyi vizuri sana. Mfano Gallagher sio attacking midfield ila analazimika kucheza hiyo nafasi kutokana na kukosekana AM na atleast anaanza ku adapt.Jackson kuendelea kucheza winga lazima tumpate Stiker kamili, la sivyo Jackson ataendelea ku-operates kwenye uwinga na ustriker.
Inawezekana na wapokea maagizo nao ni wapuuzi tuWewe unajuaje au labda maagizo ni ya kipuuzi au hayaeleweki??
Najua LW, Na. 10 na RW kuna jam kubwa saa ya wachezaji wazuriHujanielewa hata nachozungumza umekurukupuka. Ngoja ni summarize, nilichomaanisha ile nafasi acheze nani pale mbele au unalazimisha abadili mfumo acheze bila striker anachezaje?
Amalazimika kufanya ivyo kumchezesha striker kutokana na ufinyu wa kikosi. Nakumbuka huku nyuma mlikua mnalalamika anawachezesha wachezaji out of position hasa Colwill kama LB na Disasi kama RB wakati ambao Chilwell, Gusto walikua majeruhi nikawa nawaambia awachezeshaje na wakati hakuna watu wa maeneo hayo?
Wakuu hivi huwa tunaelewana kwenye hizi mada au tunabishana tu ilimradi?
Huyo ndio Poche, ana dawa ya kutibu Mnchesta city tu droo ya 5-5 msimu huuNikikumbuka tumefungwa na utd,everton ,wolves nje ndani, nottigham halafu game za city tunakaza ,inauma kweli kweli.kwanini game nyingine tunakuwa shambolic kwelikweli
Tumekosa magoli kipumbavu sana hawa City ilibidi wafe hata kwa goli tatu kwa zile clear chances tulizotengeneza. Mwisho huoni kama hawa jamaa wanahitaji kupumzika then aingize watu wa kulinda kilichopo ndio maana kaingiza Casadei na Chalobah wasaidie ukabaji.
Mkuu ila mimi naona kubadili shape kwenda backline ya 5 ilikuwa muhimu. Tungeweka attacker hao city wangetukanda dakika za mwishoni
Malo Gusto, Cole palmer Moja ya Sajili Bora za Toddy
Malo Gusto 20yrs old ,bonge Moja la FB ,nilimuona mechi Moja tu nikamkubali
Anakaba hadi kivuli,anapandisha timu vzr
Na hata goli lilivyoingia watu wanamkimbilia Chalobah kama tatizo wakati tatizo la msingi ilikuwa Gallagher aliacha kumfanyia marking Rodri. Rodri alikuwa karibu na Nkunku na Gallagher. Laiti wangemfanyia marking asingeweza kupiga lile shuti lililombabatiza Chalobah na kumuuza kipa ambaye alikuwa kashadive kuupangua ule mpiraHizo ni dakika 60 za mwanzo ila baada ya hapo ni kama uwanja ukaanza kutuelemea
Tulihitaj mtu mmoja na formation ile ipe tuliyokuwa nao
Mda mwingi Galagher alikuwa anzunguka kwa Rodri
Ila change of formation tukaruhus city waanze kutushambulia na nikitu kibaya sana hicho kuwaruhus city wakushambulie kwa dakika 20 lazima watakufunga
All in all Poch tactic alizoingia nazo leo aingie nazo vs Liverpool
George Ambangile
Wanaosema kuna wachezaji waliosajiliwa sio wazuri wamtaje kwa jina kama hutawaona wakijing'atang'ataWachezaj wote ni wazuri ni vile tu wako chin ya Poch ila wakiwa chin ya kochs mzur saiz tusingekuwa hapa
Halafu kuna watu wanasema wachezaji ndio wanaomuangusha kocha wakati wachezaji wako pale kufuata maelekezo tuPoint namba 3 nilisema kabisa wakat wa Halftime hatuna gap tunaloliacha,Hii approach tulitumia dhidi ya Villa FA Cup replay
Kinachonishangaza Poch game zinazokuja huwa hatumii hiv utaluwa tunaacha nafas kubwa kati ya mabeki na viungo na viungo na washambuliak
Siku nyingine wakipewa maagizo hawafanyi? Au kwenye hizo mechi unazozisema huwa hawafuati
Nikikumbuka tumefungwa na utd,everton ,wolves nje ndani,nottigham halafu game za city tunakaza ,inauma kweli kweli.kwanini game nyingine tunakuwa shambolic kwelikweli
Amcheze nkuku no 9Hujanielewa hata nachozungumza umekurukupuka. Ngoja ni summarize, nilichomaanisha ile nafasi acheze nani pale mbele au unalazimisha abadili mfumo acheze bila striker anachezaje?
Amalazimika kufanya ivyo kumchezesha striker kutokana na ufinyu wa kikosi. Nakumbuka huku nyuma mlikua mnalalamika anawachezesha wachezaji out of position hasa Colwill kama LB na Disasi kama RB wakati ambao Chilwell, Gusto walikua majeruhi nikawa nawaambia awachezeshaje na wakati hakuna watu wa maeneo hayo?
Wakuu hivi huwa tunaelewana kwenye hizi mada au tunabishana tu ilimradi?