Chelsea sio ya Tod tuKwani TODDY anategemea Chelsea tuu kuendesha maisha yake?
Chelsea ikishuka daraja ndio atakuwa amefilisika?
Hakupewaga nafasi, ila sio kwamba alikua muoga muoga.Huyu Datro Fofana wa Burnley tofauti kabisa na yule wa Chelsea aliyekuwa muoga muoga.
Hakuna mchezaji atakaeimprove chini ya Pochetino.
Kila mchezaji chini yake Wataonekana hawafai.
Fukuza hiii pochfat
Leta kati ya hawa
Arne Slot
Ruben Amorim
Naglesman
De Zerbi
Alternativ
Endelea fatilia maendeleo
Xabi Alonso
Farioli
Muone kama kuna wajinga watakuwa wanatusumbua kila gameweek
Hudson Odoi huko match in and out anaweka tu kambani migoli.
Watu wameanza kumsifia kwa mapema mnoGoal 3 tu ndio useme anaweka migoal game in game out[emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway Odoi ni mzuri ila injury aliyopata wakat wa Sarri ndio iliyovuga Carrier yake. Same to Loftus Cheek hawa wote walikuwa Promising ila injury walizopata katika umri uli halaf urudi ukute team ina pressure huwez perform.
Yule jamaa anaweza akamaliza ligi bila kufungwa, mechi pekee nilikua nasubiri apoteze ni dhidi y Bayern, ila ndio kamkanda tatu.Naona Kabisa Xabi Alonso akienda Bayern au Liverpool
Yule jamaa anaweza akamaliza ligi bila kufungwa, mechi pekee nilikua nasubiri apoteze ni dhidi y Bayern, ila ndio kamkanda tatu.
Toka huu mwaka uanze amecheza mechi 8 kahusika kwenye magoli 4. Not too bad kwa mchezaji kama yule aliyetoka kwenye pressure kubwa na majeruhi ya muda mrefu. Goli alilofunga jana ni kama alilofunga Vinicius dhidi ya GironaGoal 3 tu ndio useme anaweka migoal game in game out[emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway Odoi ni mzuri ila injury aliyopata wakat wa Sarri ndio iliyovuga Carrier yake. Same to Loftus Cheek hawa wote walikuwa Promising ila injury walizopata katika umri uli halaf urudi ukute team ina pressure huwez perform.
Alonso hawezi kwenda Madrid tena maana Ancelotti amesha extend contract yake na Madrid mpaka 2026. Mwanzoni ilisemekana anaenda Brazil national team lakini imekua tofauti.Alonso ni kocha yule too bad hatuwezi mpata yule
Naona kabisa path yake Ni Liverpool,Bayern au Madrid incase Carlo akiondoka
Anakuja kuwa bonge la kocha ni watu tu hawafatilii mpira.
Alonso hawezi kwenda Madrid tena maana Ancelotti amesha extend contract yake na Madrid mpaka 2026. Mwanzoni ilisemekana anaenda Brazil national team lakini imekua tofauti.
Tuombe tu asiende Liverpool abaki hukohuko.
THE BLUES kocha halali yetu ni LAMPARD ndio zao letu, tusitamani kocha wa zao la jirani yetu.Alonso ni kocha yule too bad hatuwezi mpata yule
Naona kabisa path yake Ni Liverpool,Bayern au Madrid incase Carlo akiondoka
Anakuja kuwa bonge la kocha ni watu tu hawafatilii mpira.
Jana mie nimecheki mpira aiseeee hatari sanaAlonso ni kocha yule too bad hatuwezi mpata yule
Naona kabisa path yake Ni Liverpool,Bayern au Madrid incase Carlo akiondoka
Anakuja kuwa bonge la kocha ni watu tu hawafatilii mpira.
Aisee acha kujoke, Chelsea iko ICU halafu wewe ujokeTHE BLUES kocha halali yetu ni LAMPARD ndio zao letu, tusitamani kocha wa zao la jirani yetu.
Tumefika ICU kwa sababu ya maamuzi mabovu ya kimpira since timu ilivyonunuliwa na Toddy et al.Aisee acha kujoke, Chelsea iko ICU halafu wewe ujoke
Wamchukue kabisa Juma Mwambusi, si wao wanamtaka purppet wa kumsukuma wanavyotakaTumefika ICU kwa sababu ya maamuzi mabovu ya kimpira since timu ilivyonunuliwa na Toddy et al.
Kutoka ICU ni kureverse maamuzi ya ovyo.
Vyanzo vya karibu vinasema TODDY ana mpango wa kuleta kocha kutoka MLS.
Tumefika ICU kwa sababu ya maamuzi mabovu ya kimpira since timu ilivyonunuliwa na Toddy et al.
Kutoka ICU ni kureverse maamuzi ya ovyo.
Vyanzo vya karibu vinasema TODDY ana mpango wa kuleta kocha kutoka MLS.