Yule kocha hamna kitu. PSG na Spurs hazikua na U25 wala average playersDah ,Chelsea Wana matatizo mengi
Wanakosa maturity players
Wanasajili vitoto vya U25 vingi
Wana average players wengi kama Caicedo,Enzo wanahitaji maturity kubwa , lasivyo watazidiwa uwezo hata na kina Rose Barkley
Tetesi za mitandao, ndio maana ya nasikiaUnasikia kutoka wapi?
Ningesema subirini kwanza tuwapige ila kwa sababu ni nyie, wekeni hata back 10 kichapo kiko pale pale.Kocha wa Chelsea Mauricio Pochettino anafikiria kuhamia kwenye ulinzi wa mabeki watatu nyuma kuboresha uimara wa safu ay ulinzi.
Maoni yangu
Too late but nothing is too late completely, day 2 alitakiwa kufanya hivyo baada ya kuona 4 bacline imefeli
4-2-3-1 imeshindwa kuendena na wachezaji kabisa, ebu ajaribu hiyo labda itasaidia hata timu kwenda Conference league
View attachment 2895094
Unaweza ukashangaa, Chelsea ikamaliza na kakombe huku Asrenalli akiambulia kula kwa macho tuKwani mwanangu mudi hajacheza leo?
View attachment 2894453
Hapo baada ya kufanya usajili. Sasa hivi mtu anakuambia Caicedo sio mkabaji kisa ana makosa mengi.. Dah!😂 nabaki kucheka tu.Hii timu mashabiki wapo serious kuliko wachezaji. Wachezaji na kocha wao wakikaa wanashangaa jinsi mashabik walivyo serious utadhani wao ndo wanaingia uwanjani View attachment 2894980
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo baada ya kufanya usajili. Sasa hivi mtu anakuambia Caicedo sio mkabaji kisa ana makosa mengi.. Dah![emoji23] nabaki kucheka tu.
Sema ww mwana tangu day 1 ulisema Poch sio kocha ila watu hawakukuelewaYule kocha hamna kitu. PSG na Spurs hazikua na U25 wala average players
Nilishwai kumuambia hamis77 kuwa ni rahisi 7hag kupanda kuliko hizi Kenge na pochetino waoYule kocha hamna kitu. PSG na Spurs hazikua na U25 wala average players
Wanalia na kuomboleza na kumtukana poche[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chelsea ya Poch ni sawa na wale wadada wa baikoko wanaovaa dera na kulichomekea kwenye kyupi.
Ndugu yangu Cash Money Forever chelthii ikicheza mashabiki wake hua mnafanyaje? View attachment 2890582
Pochettino angewafundisha angewamaliza kisoka pia kama alivyowazima Messi na Neymar kwa mwaka ule mmoja na nusu aliyofundisha PSGHawa walikua wachezaji wa Chelsea. Mentality, Energy, Perfomance
Hii taarifa imenifanya ninyong'onyee kabisaKatika madirisha yajayo kama moja au mbili kuna wachezaji wataomba kuhama kama uongozi utaendlea na huu mradi wa muda mrefu
Zoezi la kuwaleta wachezaji wazoefu liendane na kumleta kocha mwenye akili, aliyethibitika kuwa na akili ya soka
- Enzo Fernandez
- Reece James
- Cole Palmer
- Christopher Nkunku
- Maikhailo Mudryk
- NK
Bora timu ishuke daraja kabisa maana ilipatikana kwa njia za ujambazi.Hii taarifa imenifanya ninyong'onyee kabisa
Kama akiondoka hapo hapo hakuna mchezaji mwenye akili ya mpira atakubali kuja Chelsea
Wamarekani wamimaliza Chelsea kabisa
View attachment 2896250