Mshabiki ninaona kabisa kuna shida lakini coach mwenye kazi yake wala ajisumbui,key player wawili Palmer , Sterling wanakosa mechi kwa yellow card kwa wakati mmoja coach wala hajisumbui,coach anaye winga nje anampanga beki kuwa winga kiufupi anafanya trial and error,kiufupi mashabiki tuko serious kuliko coach.Shida ya Broja na Jackson inajulikana na sisi hatuzungumziii huko
Shida inaanzia hasa kwa mabeki na viungo
CB wanne bila fullback unategemea nini
Amemjaribu Enzo kwenye namba 10 amekuwa ineffective ila yeye analazimisha tu
Mchezaji yuko hovyop uwanjani anamuacha hadi dakika 90 ziishe
Shabiki anayefuatailia mechi haya madhaifu anayajua kabisa
za siku mamii muda umepita hatujaonana jukwaani🤣🤣🤣Nipo sana hamnionagi tu
Msimu huu Arsenal hawako kama msimu uliopita mimi niliona tangu ligiu ianze, ni mashabiki wagumu tu ndio walikuwa wanabisha. Tatizo la Arsenal ni kama la Chelsea hawan wafungaji wazuri na Declan rice hana pivot wake mzuri, defence wako wawili tu Saliba na Gabriel
Sasa wale mashabiki wenzangu hapa wanaomsifia ARTETA ni bonge la kocha, tunaitaji kocha aina yake.
Mbona Arse8 fans wanamtukana sana, Kwamba anawapotezea muda hana lolote ajualo.
Ni kweli tunahitaji kocha aina ya ARTETA?
Tuachie timu yetu 😀Pasi nyingi zisizo na madhara yoyote, hii game Chelsea anaweza kupoteza kama ataendelea na huu ujinga wake.
Kheeeh kumbe na wewe ni Chelsea?😅Tuachie timu yetu 😀
Chama languKheeeh kumbe na wewe ni Chelsea?😅
Njoo Man Utd.Chama langu
Wee Mimi huku sihamiNjoo Man Utd.
Hakuna kuhama hapaWee Mimi huku sihami
Kazi tunayo mbele ya Luton leo , wale madogo pale kwao wamekuwa na matokeo mazuri na kiwanja chako kidogo wanajua kukitumia ,inabidi approach iwe tofauti leo ,la sivyo ni kuendeleza matokeo mabovu tu
Tupo jamaniMmeisusa hii team
Muwe mnaonekana sio mpaka tushinde
Tayari ameshaharibu huko hamna ushindi tenaGame ya leo ni ngumu, Poch akijitoa akili leo tunaacha point zote 3 hapo
Kashajitoa akili hukoGame ya leo ni ngumu, Poch akijitoa akili leo tunaacha point zote 3 hapo