Mjusi_kafir
JF-Expert Member
- Dec 4, 2023
- 299
- 518
kula chuma hichoo😆😆😂😂😂 Kivumbi leoooooo
Bado hukubali nilivyosema Pochettino siyo kocha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hii wiki imekuwa mbaya sana kwa baadhi ya timu kubwaMichel ni mfano mwingine jinsi kocha anaweza kuadhiri matokeo ya timu. Leo Girona wameifunga Barcelona 4-2 na kwenda kileleni mwa msimamo wa Laliga kwa pointi 41, pointi 2 juu ya Real Madrid. Huku Chelsea tutahangaika mpaka tutambue kwamba Pochettino hataipeleka Chelsea popote
View attachment 2839107
View attachment 2839110
Michel ni mfano mwingine jinsi kocha anaweza kuadhiri matokeo ya timu. Leo Girona wameifunga Barcelona 4-2 na kwenda kileleni mwa msimamo wa Laliga kwa pointi 41, pointi 2 juu ya Real Madrid. Huku Chelsea tutahangaika mpaka tutambue kwamba Pochettino hataipeleka Chelsea popote
View attachment 2839107
View attachment 2839110
Wazee wa 10 percentKuna makocha wazuri wapo
Mtu kama hataki elewa umuhimu wa kocha angalia NAPOLI
Kuna makocha wazuri wapo ila sijui ilikiwaje tukaishia kwa Pochetino
Kwa hiyo unasema Mkohoti na Kimbukiko wasingekuwa wasumbufu, ungewahurumia Chelkenge lau kidogo?Kwmba wamezidi kukung'utwa🤣🤣🤣...Hawa iende hivihivi kwakwli...Kimbukiko na Mkohoti ni wasumbufu sana
Kabisa mkuu....walau kidooogo tungeombea ndugu zetu wasiwe na Hali mbaya sana ila tatizo wale jamaa Wana maneno ya shombo sanaKwa hiyo unasema Mkohoti na Kimbukiko wasingekuwa wasumbufu, ungewahurumia Chelkenge lau kidogo?
Usisahau lile suala kuu la kukwepa FFP rules kwa kuwapa wachezaji mikataba mirefu sana kwa mara moja, kama Muddy si mmempa miaka 8? Dili za kihuni kama hizo zikienda vibaya baada ya miaka 2, mtajikuta na wachezaji walioshuka thamani na hamuwezi kuwatoa kirahisi.Kwenye usajili nakubaliana na wewe ila umesahau kitu kimoja, Roman alikuwa anasajili makocha wenye uwezo. ikitokea bahati mbaya aliyedhaniwa siye anafukuzwa chap chap. Mfano Dimateo pamoja na kushinda UCL alifukuzwa haraka sana kwa sababu asingeweza kuipeleka Chelsea kwenye nchi ya ahadi
Policy ya hawa wamerewkani kwenye usajili ni ya kijinga sana
- Mshahara mdogo halafu mashabiki wakashangilia - no motivation
- Umri mdogo mashabiki tukashangilia - no experience
Itakuwa hawataki, hawapendi au hawawezi tu kutumia busara. Wao wanajua kabisa timu yao ndiyo vibonde wa top 10-15 na hawawezi kufululiza mechi 3 bila kichapo, hivyo wanapaswa kukaa kimya. Ila sasa....Kabisa mkuu....walau kidooogo tungeombea ndugu zetu wasiwe na Hali mbaya sana ila tatizo wale jamaa Wana maneno ya shombo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Kuna tofauti kati ya kumboresha mchezaji wenye experience na kumboresha mchezaji ambaye hana experience.
Poche kwa sasa haboreshi experience bali anafunga pampas.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Ila Chelsea yangu bahana tutarudi tukiwa imara zaid lakin kwa kocha tumpe objective ili ajifunge mwenyewe nusu msimu ukiisha tuwe top 7 if not apambanie America kusini
😀😀...kabisa mkuu...mda wte Wana hekaheka kwny majukwaa ya wenzao utadhani wanaogea njeItakuwa hawataki, hawapendi au hawawezi tu kutumia busara. Wao wanajua kabisa timu yao ndiyo vibonde wa top 10-15 na hawawezi kufululiza mechi 3 bila kichapo, hivyo wanapaswa kukaa kimya. Ila sasa....
Kocha gani anafaa kuifundisha Chelsea kipindi hichi?Kuna makocha wazuri wapo
Mtu kama hataki elewa umuhimu wa kocha angalia NAPOLI
Kuna makocha wazuri wapo ila sijui ilikiwaje tukaishia kwa Pochetino
Hi timu ifutwe ,uwanja wa Stamford bridge liwe zizi la nguruwe ,boehly na genge lake waanze kufuga nguruwe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Ila Chelsea yangu bahana tutarudi tukiwa imara zaid lakin kwa kocha tumpe objective ili ajifunge mwenyewe nusu mzimu ukiisha tuwe top 7 if not apambanie America kusini