Nilishaelezea Project ya Chelsea inahitaji miaka miwili iive , wamepata kocha mzuri mwenye talent ID,mbinu na ufundi wakufundishaNyie jamaa mnaenda kutengeneza project ya kibabe sana pale EPL.
Hivi nini kinaendelea pale Notingham na yule dogo tuliyempeleka kwa mkopo ?Hivi DOKU jana alicheza?
Nilikuwa namuona James tu
Yule Santos akiendelea kubaki pale Notingham ni talent tumeipoteza ileHivi DOKU jana alicheza?
Nilikuwa namuona James tu
Kwani ilikuwa niniIlikataliwa
Kibaya zaidi toka apelekwe kwa mkopo katika mechi za premier league amecheza dakika 7 tu. Nadhani Chelsea waterminate mkataba wake JanuaryYule Santos akiendelea kubaki pale Notingham ni talent tumeipoteza ile
Mechi zilizobaki hadi mwaka uishe ni timu ndogo tu!Walikuwa wanaweka maratiba yao wakawa wansema hatuwez pata hata point moja wako wap wote wako mafichoni na ssa hakutna timu kubwa onja kushinda mbele yetu sana sale anzia Liverpool mpka ssa man cty
Wewe kama ungekuwa ni beki ni yule beki anayejipiga chenga hadi anajifunga mwenyeweWanafurahia sare
But nawapongeza maana Poch anaijenga timu hataki matokeo ya zima Moto kama 7hag
Chelsea wanampango wa kusitisha mkataba wake JanuaryHivi nini kinaendelea pale Notingham na yule dogo tuliyempeleka kwa mkopo ?
Mbona hapati Chance kabisa aisee ?
Hii talent tunapoteza hivi hivi ,so bad
KabisaKibaya zaidi toka apelekwe kwa mkopo katika mechi za premier league amecheza dakika 7 tu. Nadhani Chelsea waterminate mkataba wake January
Mechi zetu ngumu ni Everton na Sheffield sio Newcastle na man u Hawa tunapata pointsKuna wale makenge-za walisema mechi 7 hatutaambulia pts 4. Hii ni mechi ya nne je mnahesabu au mumeacha.
Mlisema oh fixtures ngumu hizi
Arsenal 1
Spurs 3
City 1
Bado mechi 3 na huko tutabeba pts. Heshima wekeni
Sisi bado mabingwa wa Dunia
Lavia atapata nafasi kwa sababu Enzo atakuwa akipumzishwa sana, nahisi hadi tuingie January Lavia atakuwa anapata dakika nyingi zaidi hata kama ni za second half. Hivyo hivyo kwa Nkunku, LW itakuwa na ushindani mkubwa sana. Sijui hatama ya Mudryk itakuwaje?Pengine hawa ndio wanaweza kukosa namba kwa kikosi cha sasa.
Gallagher hatoki tena 1st eleven anakiwasha balaa na tunahitaji zaidi energy yake.
Jackson anaendelea kufunga mechi after mechi, sterling ameanza kutumikia rasmi jezi ya THE BLUES hataki masihara tena.
Ila kurudi kwa Lavia na Nkunku ni Habari njema kikosi kinaendelea kupanuka na ushindani utaongezeka katika kugombania namba hence matokeo mazuri uwanjani.
Ubora wa kila mchezaji uwanjani ndio utaamua nani aanze nani sub. Lavia na Nkunku warudi kwanza watuonyeshe ubora wao dhidi Enzo, Gallagher, Jackson, Sterling.
KwaniniWewe kama ungekuwa ni beki ni yule beki anayejipiga chenga hadi anajifunga mwenyewe