Nilikuwa najiandaa kumuuliza hilo swali na kuambatanisha alichokisema Arteta jana kuhusu wachezaji wa Chelseahamis77 ulisema hakuna mchezaji wa Chelsea anaingia kwenye kikosi chenu vipi sasa unaamini hivyo?
Petrovic ni shot stopper, maeneo mengine sijui sana, sijui pia kama ana silly mistakes kama za Sachez japo ukweli ni kwamba kila kipa ana mawenge yake binafsi. Mfano, Raya ni kipa mzuri lakini jana alimzawadia Mudryk goli kwa kuhama goliniSijamuona akidaka.
Chelsea 3 - 1 Arsenal
Petrovic ni best kwanza anajua kujiposition,best saver, footwork ipo vizuri sio cha kiwango kama Becker lakini, kiongozi uwanjani na very commandPetrovic ni shot stopper, maeneo mengine sijui sana, sijui pia kama ana silly mistakes kama za Sachez japo ukweli ni kwamba kila kipa ana mawenge yake binafsi. Mfano, Raya ni kipa mzuri lakini jana alimzawadia Mudryk goli kwa kuhama golini
Sare ya Jana isiwasahaulishe mpo nafas ya 11 na mnaelekea nafas za 12-15
Tuwekane kumbukumbu sawa
Ila sio kali kama unayovuta wewe, umewadanganya wale nyau kuwa watatufunga wakabakia kufukuza upepo na Chelsea B. Ungewaambia ukweli kwa kubase kwenye mechi yenu na ChelseaNawewe uanvuta Bangi sikuhizi?
Kocha boya asingetakiwa afanye sub, kama jackson alimuingiza ya nini kupress hapress, madueke pia aliingia wa nini? Kutuonyesha rasta au?Unaongea nini sasa
Hamna mchezaji mule.Huyu mchezaji anaitwa MADUEKE sijawai hata kumuelewa sijui wenzangu huko
Nahis madueke nae anahitaji mda, ni kama Mudryk tu niwachezaj wanaohitaj muda zaidi na kucheza mara kwa mara.Madueke na Jackson ni wachezaji wa Timu ndogo au mechi ndogo. Uwezo wao ndio umeishia hapo, Nkunku nafasi yake kikosini inamsubiria.
Dogo Palmer anatisha sana, akili kubwa ya mpira, bonge la usajili, umri wake hauendani na mambo makubwa anayofanya uwanjani, anazidi kuwa hatari day after day kadri timu inavyozidi kuimarika.
Mudyk ana kitu mguuni ila kuna rythim flani ya uchezaji anaikosa, hope atazidi kuimarika huko mbeleni.
Sterling amekuwa mdudu washa washa ameongeza kitu katika utulivu na maamuzi yake uwanjani.
Changamoto kubwa ya the blues bado ni kule mbele uwezo mdogo wa kuweka magoli wavuni, lazima dirisha la usajili January tuendelee kuliboresha.
Eneo la katikati na nyuma linaendelea kuimarika sana. Ila kwa kipa Sanchez hapana aisee either tumrudishe keppa au tufanye usajili wa kipa mwingine wa caliber ya the blues.
Hongera sana kwa Poch anaendelea kuimarisha timu kimbinu na kiuchezaji.
Unasema kweli, mechi kubwa kama ile walitakiwa wachezaji agresiveKocha boya asingetakiwa afanye sub, kama jackson alimuingiza ya nini kupress hapress, madueke pia aliingia wa nini? Kutuonyesha rasta au?
Tatizo la Madueke hana pace kama ya Mudryk na ndio maana unaona mashabiki wengi wa Chelsea hata Mudryk alipokuwa hachezi vizuri bado walimfagilia sana. Madueke hana pace kabisa. Yeye anategemea dribling tu. Labda akifanya vizuri kwenye dribling anaweza kuja kutufaa sana kwenye yale mabasi kama ya Wetham.Nahis madueke nae anahitaji mda, ni kama Mudryk tu niwachezaj wanaohitaj muda zaidi na kucheza mara kwa mara.
Madueke msimu uliopita wakat league inaelekea ukingoni alikuwa vizuri sema msimu huu Poch ni kama bado hajamwamini
Binafsi niwapongeze wana Chelsea kwa matokeo na mpira mzuri mlocheza Jana, japo timu yenu Bado haijakaa vyema..
Ukijaribu fuatiliya mechi ya Jana mbali na kucheza vizuri na kutengeneza nafasi nzuri still hamkutumia ata moja, hivyo magoli mlopata ni kama bahati nje na nafasi mlopata, (1-penati, 2-cross ilojaa wavuni)...
Upande wa Arsenal pia sikuona nafasi ya wazi walotengeneza, magoli yao pia ni kama bahati tu, (1-shuti la rice ni makosa ya kipa, 2-trosard cross ilimkuta on target)
Mwisho nipongeze timu ZOTE kwa mchezo mzuri.. but upande wng Chelsea Bado Kuna vitu mkufunzi anahitaji kufanyia kazi kama umaliziaji mbele ni very poor otherwise Leo tusingekuwa na nguvu za kuandika hapa..
Yupo na anapita sana humu sema mmempunguza Kasi kwa matokeo ya Jana.. coyg.. 🔫Ahsante tunashukuru. Msalimie ndugu mchambuzi maarufu Bwana Hamisi mwambie tunamsalimia sana.
Mpira ni furaha mpira ni burudani[emoji1666]
Blue is colour[emoji170]
Dogo fundi sana huyuHatimaye Mungu ametufuta machozi, ametupatia fundi mwingine darajani. View attachment 2789923
Nipo kiongozi ,as Mchambuzi nguli tunakutana na changamoto ngumu katika kazi yetuAhsante tunashukuru. Msalimie ndugu mchambuzi maarufu Bwana Hamisi mwambie tunamsalimia sana.
Mpira ni furaha mpira ni burudani[emoji1666]
Blue is colour[emoji170]