Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wapenzi wa Chelsea sijamwelewa Carlo Anceloti, Ballack for Mikel...this is a joke
 
ni kweli lakini ni mchezo katili sana..sitasahau maisha yangu yote maumivu niliyopata siku chelsea imetolewa kwenye UEFA champions league na baca

Aisee umenichekesha sana na kunikumbusha nilikuwa vijijini na bosi wangu, nikashangilia goli... asubuhi aliniacha akarudi Dar aisee

But that is what makes sports special, wakati wewe unaumia, sie tulikuwa tunanywea konyagi ushindi
 
teh teh ..we acha tu yaani haya mambo ya mpira mi nilikuwa kama mgonjwa for 2 days.
 
Chelsea 2-1 lampard anaongeza la pili
 
mweeee...Invisible upo au umelala.... ila huyu ancelloti bwana yaani anamtoa ballack anaingia mikel..mhhh.dakika ya ngapi waungwana nianze kushangilia..
 
teh teh ..we acha tu yaani haya mambo ya mpira mi nilikuwa kama mgonjwa for 2 days.

Leo naona unakula kilaini

Namshangaa Fangason analalamika wakati yeye huwa anacheza na filimbi na si mtu kuumia... what goes around comes around Fegi
 
Hahahaha!

Nipo, nipo kabisa... Jeuri ya Chelsea, ndani ya Chelsea...!

Tumekuja kuwashika...! Jamaa zangu hapa hawapendi kuona tunashinda ati
 
dakika ya ngapi jamani...at least kesho ntaongea maana man u wana mdomo sana.
 
Wapenzi wa Chelsea sijamwelewa Carlo Anceloti, Ballack for Mikel...this is a joke

Just take back your words muzee... he is doing good

Naona Fangason kaingiza mabehewa kibao kwenye caravan
 
teh teh ....Furguson kapagawa sasa..dawa yake wapigwe lingine watulie ..teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom