Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwenye karatasi squad inaonekana iko vyema sana. Ila tukija kiuhalisia hapo in a long run kwenye ligi kuu kikosi bado sana hiki. Hasa kwa wachezaji ambao wame prove ni injury prone kama Fofana, James, Broja. Hapo ongezea pia bado hatujampata Caicedo kwa hiyo tusijiaminishe deal linaweza shindikana pia. Tunahitaji maingizo chap sana hasa kipa beki wa kati na kiungo walau
 
Madrid wanapenda sana dirty business, unakumbuka yule kocha wa Spain kwenye world cup 2018 Russia...kumbe Lupe alishasain mkataba kisiri na Real Madrid. Alipogundulika wakamtimua, Mbape asiposhauriwa vizuri anaweza kumaliza mpira wake kwa majuto.
Mpira ni biashara, PSG hawatakubali kupata hasara kijinga kiasi hicho...atapigwa benji na kuchafuliwa sana kwenye vyombo vya habari then akapata madhara zaidi ki saikolojia.
 
Wachezaji wapo wengi tu kwenye hiyo nafasi tena zaidi yake, skauti ya Chelsea ni vilaza sana.
Wapi Papaa Gx we jamaa umetusumbua Sana jukwaa letu la man u na zile meme zako za nyumbu[emoji16][emoji16] Mara Pogba akijiandaa kupiga mpira.

Dah muwe vizuri aise mmepigika mpaka mmepoteza ladha ya kuwatania.

hebu leta meme hata moja papa G ya unyumbuni maana ni kitambo sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…