Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Galagher anayonafasi ya kukua kwa sababu amekutana na kocha mzuri. Chini ya Lampard asingeweza kukuza kipaji chakeGalagher anajitoa kuliko hata Havertz, Pochettino akimpika msimu mmoja unatosha bei yake itapanda sana
Kwanini wasifocus kwanza na kusajili viungo wakabaji wawili na beki mmoja hapa ndio tatizo letu kubwa sana alafu tuje kwenye nafasi zingineKudu anacheza kama kiungo mshambuliaji au Rw au kama Nkunku
Kwenye 4-2-3-1 anacheza kama CAM au RM
Kwenye 4-3-3 ambayo Ajax ndio wanatumia sana anacheza kama RW
Hivi waarabu hawamtaki Sterling ? Maana ni senior garbage player
Sisi tushazoea kupigwa nyie sio wa kwanza.Jioneeni huruma nyinyi kwanza tumewapiga kwa mount
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pesa ya kumsajili Mbappe pamoja na huo mshahara wake wa mwaka mmoja inatosha kabisa kununua katimu kama kaArsenyo.Hawa waarabu wanatuharibia soka letu. Pesa za mafuta itauwa soka letu
Buy at €300m
Salary at €700m a year
View attachment 2697739
Kylian Mbappe: Saudi side Al Hilal make €300m offer for PSG forward
Paris Saint-Germain have received a €300million (£259m; $332m) offer for Kylian Mbappe from Al Hilal and have given the Saudi Pro League club permission to talk to the forward. Mbappe’s future was plunged into fresh doubt on Friday after the 24-year-old was left out of PSG’s pre-season tour and...theathletic.com
◉ Chelsea have submitted a £40m bid for Mohammed Kudus.Mohamed Kudus to Chelsea
Nani anakataa
Makubaliano binafsi na Chelsea yameshakamilika leo bado tu na Ajax
Anauzwa Paundi Mil 40 tu
Ana miaka 22
View attachment 2697197
◉ Chelsea have submitted a £40m bid for Mohammed Kudus.
◉ Deal Depends on Ajax making a decision on whether it’s appropriate.
◉Personal terms agreed since Thursday on a 6 year deal.
◉Ajax Decision will be made soon.
Mahitaji ya kocha yapo tofauti kijana kundus anahitajika ili akacheze role ya no 10 wakati olise upande wa Right winger ndo maana wanawahitaji wote wawili.Kama Rayan Cherki imeshindikana basi ni bora Olise kuliko Kudus
Cherki na OliseBy the way ukitoa back line wachezaji waliobakia karibia wote uwezo wa kukaba ni mdogo na huyo cherki ni luxurious player. Namuona Kudus anahitajika zaidi anaweza kuattack,kukaba na kushoot nje ya box. Wachezaji aina ya Caseido wanahitajika zaidi ya mmoja mechi ya Brighton ilionyesha hilo. Kwa timu inavyocheza namuona Manu Kone pia atatufaa sana kwa nafasi ya DM ni kama Camavinga style
Nani katoka hiyo 40M kwa Gallagher?Ila Chelsea noma kwenye biashara nawapigia salut yaani GALLAGHER kwa 40M na bado wamekataa
West ham tunachukua 40M ya garagher tunaenda kuilipa kwa KUDUSNani katoka hiyo 40M kwa Gallagher?
Conor ni mzuri kwenye kupress, kukaba na kukimbia, Poche anaweza kumnoa zaidiWest ham tunachukua 40M ya garagher tunaenda kuilipa kwa KUDUSView attachment 2699048
Hiki kikosi hata kuipata top 4 ya Epl ni ngumu.