Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

bado confirmation, tunasubiri.
No confirmation
Test ya pili ilifanyika Spain jana na majibu yakawa yale yale
Al Nassr wakaamua kumpa Ziyech mkataba mwingine kwa kupunguza 40% ya mshahara wake Ziyech akakataa hapo hapo
 
Mlisema hivyo wakati mnanunua mudryk kwa mahela rukuki ....KIKOWAPI Sasa [emoji23][emoji23]
 
Hao taka taka mtaona utakataka wao ligi ikianza si kesho kutwa tu [emoji23]
 
Mana hata de bruyne na Salah kwenu walionekanaga takataka [emoji23][emoji23]
 

Tumefanya makosa ya kijinga sana Kwa kweli
 
Mzee unatukosea Sana heshima , hakuna mshabiki mwenye akili timamu anayebeza Uwezo wa Kai na Gorginho

Binafsi nimekuwa napingana na nyie humu kuhusu Jorgingo toka yupo kwenu hata alipokuja kwetu nilisimama kidete kumtetea , na Sasa waliomtukana wametoweka ,na chakufurahisha kocha wangu Arteta anamuamini Jorgingo kuliko hata Partey ambaye anataka kumuuza,


Kuhusu Kai hivo hivo toka yupo Germany tulimuhitaji Sana

Chakushangaza Sasa mount sijawahi kumuelewa kabisa na hajaja kwetu

Hivo usiseme hao wachezaji wabovu sababu walifeli kwenu

Kwangu mm Jorginho na Kai Ni wachezaji Bora Sana ,Kama Kai hamjafaidi kabisa
 
Kawadanganye kondoo wenzio kule kua kai na joghino ni wachezaji wazuri, sisi hapa tunawajua vizuri.
 
Tunahitaji kizazi cha wazalendo na wanaojitoa kweli kweli sio hao wanaojiona ni wakubwa kuliko timu
Mimi nina wasiwasi na Ziyech, Mount na matakataka mengine waliwaambukiza kutojitoa kwenye timu hadi matokeo mabay. Yale matokeo siyo size ya Chelsea, wale wachezaji ni wakubwa ndio maana wanagombewa na akina Manure na Arsenyeto. Ila kwa vile hawakujitoa ngoja tusafishe kambi kwanza. Ziyech atoswe hata bure ili isiwe rahisi kupata timu nyingine
 
Yan hapa Liver amepata bonge moja la mchezaji, nilitaman sana kabla hajaenda LP angetua Arsenal ila ndo ivyo tena.
Hata Rayan Cherki ni kiwango kile kile na yeye bado 19
Chelsea wafanye kweli wamuwahi kabla ya wengine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…