Najua na nimechukua kule SkySportsMkuu hawa wanacheza nafasi mbili tofauti kwanini uwalinganishe mmoja ni kiungo mshambuliaji na mwingine kiungo mkabaji kwanini isiwe Rice na Caicedo
Niliwaambia mashabiki wa manjesta kuhusu mount , wanataka akacheze double pivot na casemiro
Nianze na tackles Rice wa 9Lete stats mimi nimecheki game nyingi iliwemo dhidi yetu huyo sio mchezaji mkabaji kivile yule wa fulham ni Bora kuliko rice na ndio maana england wakikutana na mataifa mengine mafundi kama crotia wanazidiwa Sana Kati huyo Rice haonekani
Mount hapo kwenye double pivot Kuna mech kacheza , man u wanamtaka nadhan akatumike nafas ya Eriksen ,Sasa Kama hafanyi vitu muhimu Kama ball recovering, duels, wataishia kuona wamepigwaMkuu hawa wanacheza nafasi mbili tofauti kwanini uwalinganishe mmoja ni kiungo mshambuliaji na mwingine kiungo mkabaji kwanini isiwe Rice na Caicedo
SkySports huwa hawana akili. Mount na Caicedo wanacheza nafasi mbili tofauti. Pia Mount kacheza 1000+ mins, Caicedo 3000+ mins.
Nakubali nafasi zinazotofautiana sana huwa haimake sense kwenye analysis BUT Huwezi kukuta comparison yenye dk sawa, tena ujue mtu anayefanya comparizon sana sana wengine kuna kitu anatargetSkySports huwa hawana akili. Mount na Caicedo wanacheza nafasi mbili tofauti. Pia Mount kacheza 1000+ mins, Caicedo 3000+ mins.
Lugha yako huwa ni ngumu sanaHuu usajili wa Jackson ni wakipumbavu sana, pale hamna kitu yule ni takataka.
Ngojeni kwanza sisi tuuze, kwamba wamepigwa au la watajiju wenyeweMount hapo kwenye double pivot Kuna mech kacheza , man u wanamtaka nadhan akatumike nafas ya Eriksen ,Sasa Kama hafanyi vitu muhimu Kama ball recovering, duels, wataishia kuona wamepigwa
Cha ajabu bado amezidiwa chance created na Caicedo ambaye amecheza mech nyingi chini kabisa .
Mech ambazo Mount alikuwa anawekwa double pivot nilikuwa naona Kiungo kinakuwa lain kupitika ,
Lugha yako huwa ni ngumu sana
Ungekuwa wakati wa usajili wa Drogba ungesema pia huo usajili ni wa takataka sana
Tusiwe wataalamu zaidi ya scout, kocha na wataalamu waliohusika kwenye kumsajili
Havertz gan unaemzungumzia?Tumeuza Kai Hervrt Mungu wangu tumeisha.
Mkuu hawa wanacheza nafasi mbili tofauti kwanini uwalinganishe mmoja ni kiungo mshambuliaji na mwingine kiungo mkabaji kwanini isiwe Rice na C
Hayo maneno yalikuwa hivi hivi kwa Delle Ali leo yuko wapi?At least defensive aspect hizi hapa, ofcourse Palphinha yuko juu kidogo ya Rice bado nasema Rice ni mdogo bado ataendlea kucheza na kuboreka zaidi na hivyo anaweza hata akamzidi huyu akifikia umri wake
View attachment 2668507