Ana vyote hivyo lakini akili ya mpira hana. Ni sawa na Gallagah tu.Broja akiwa chini ya kocha mzuri ni striker wa Calibre ya Chelsea
Ni mrefu
Bouncer
Kwa sifa hizo akiwa na stamina na ball control na clinicality kwenye kufunga atakuwa kama Haaland kwa sababu ni ngumu kumnyanyasa physicaly na kwenye aerial duels
Unakatwa na Bachelor wewe😂😂😂😂Na huo mwiko usiuchomoe huko nyuma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usitegeee chochote msimu ujao. Hawa madogo hadi waje kuwa na chemist itachukuwa misimu miwili. Hivyo msimu ujao tukijitahidi sana tutaishiya nafasi ya tano au sita.too many talents[emoji847] kocha anaekuja ana kazi kwelikwely awa madogo wanataka namba [emoji94]View attachment 2616118
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii timu etu kwa sasa sio ya kuesabu kama ni timu. Ishakuwa takataka kitambo
Cheka taratibu basi jamani khaaa kelele nazisikia hadi huku
We jamaa mwana mpotevu upo?Cheka taratibu basi jamani khaaa kelele nazisikia hadi huku
Nipo mtumishi hofu kwako mzima weweWe jamaa mwana mpotevu upo?
Niko poa namshukuru Mungu,Nipo mtumishi hofu kwako mzima wewe
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Niko poa namshukuru Mungu,
Ushaacha pombe?