Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,933
- 9,520
Wakulaumiwa ni serikali ya uingereza na FA kuingiza siasa kwenye soka. Abrahamovic amedhulumiwa timu na ameiacha kwa kinyongo ndio maana unaona haya matokeo.Chelsea ilikuwa the pride of London ila sasa hv imekuwa disgrace of londonWakulaumiwa ni Putin, bila yeye haya yasingetukuta
Kumfukuza Tuchel bila kufanya analysis ya uhakika kupata mtu sahihi ilikuwa ni biggest mistake katika historia ya hii timu.Hakuna timu duniani inafanya buildup Bora kuanzia kwa GK Hadi katikati Kama Brighton
Brighton had 67.95% possession in the opening 45 minutes against Chelsea, the most by an away team in the first half of ANY Premier League game this season.
Pep was right. [emoji15]
Putin ndo sababu, Abro ni mshirika na mshauri wa PutinWakulaumiwa ni serikali ya uingereza na FA kuingiza siasa kwenye soka. Abrahamovic amedhulumiwa timu na ameiacha kwa kinyongo ndio maana unaona haya matokeo.Chelsea ilikuwa the pride of London ila sasa hv imekuwa disgrace of london
Kuna kitu Cha kuongezea. Nahisi umri wa kutoboa kimpira ni 19 yrs old. Yule dogo ni wakati wake Sasa huu akaze buti. Like shuti ni Kali sana kwa 19yra oldSio
Sio rahisi kama unavyodhani lile shuti limeenda katika engo ya mbali mnooo! Wakulaumiwa ni midfilders wa chelsea ambao walinyang'anywa mpira halafu hata hawakukimbia walikuwa wana jog tu na beki zikaacha space kubwa kwa mpigaji wa shuti bila ya kumghasi
Hakuna cha njama, timu imekosa tactician wa kuutilise resources zilizopoKuna kitu nakihisi kipo nyuma ya pazia
Tangu waondoke wakina Marina na Bruce na hawa Kina Peter Cech Team imekua na muelekeo mbaya saana isije kua wana kula njama na wachezaji nyuma ya pazia
Nadhani umesoma hadi line 2 ukaisjhia hapo, pole sanaSio
Sio rahisi kama unavyodhani lile shuti limeenda katika engo ya mbali mnooo! Wakulaumiwa ni midfilders wa chelsea ambao walinyang'anywa mpira halafu hata hawakukimbia walikuwa wana jog tu na beki zikaacha space kubwa kwa mpigaji wa shuti bila ya kumghasi
Hata Tuchel angekuwepo asingejenga chemistry nzuri na Boehly, mchawi wa Chelsea ni Boehly kuingilia uendeshaji wa timu, periodKumfukuza Tuchel bila kufanya analysis ya uhakika kupata mtu sahihi ilikuwa ni biggest mistake katika historia ya hii timu.
Muda mwingine nahisi ni laana ya Abrahmovich ,
Kwa mara ya kwanza umeongea point.Hakuna cha njama, timu imekosa tactician wa kuutilise resources zilizopo
Na pia alikurupuka kumfukuza Potter bila kuwaza kocha sahihi wa kushika timu kwa muda, Potter is way better than Lampard, mechi moja tuliocheza na liva tukiwa hatuna kocha ni bora mara 100 kuliko hizi tukiwa na Lamapard.Kumfukuza Tuchel bila kufanya analysis ya uhakika kupata mtu sahihi ilikuwa ni biggest mistake katika historia ya hii timu.
Muda mwingine nahisi ni laana ya Abrahmovich ,
Tutashuka mwakani usiwe na presureHivi hii klabu bado haijashuka daraja tu
Hao wachezaji ni wazuri shida tu tumekosa kocha mzuri wa kufundishaSasa wewe waona nani pale ana akili?