Mtumishi,Bado hujapanda gari uje hapa Kinyerezi tule bata Mama?
Pia wamuongeze Nicholas Anelka kama kocha wa makipaMashabiki wenzangu wa Chelsea kusema ukweli hii timu ni mbovu mbovu mbovu.
Tusijipe matumaini hewa.
Huu msimu hatuna chetu.
Wachezaji wote viwango vibovu
Hawachezi kitimu Kila mtu anacheza anavyojua yeye.
Hata yanga anaweza ichapa hii trust me[emoji1]
Halafu why back pass nyingi jamaa alianzisha huu uchafu wa back pass back pass kaiharibu sana hii timu.
Huu msimu tuwaachie tu walio serious pengine labda na ishu kuvadilisha umiliki imevuruga Kila kitu.
Boehly ni lazima awe mkali Sasa hata kwa players huu ni ujinga wanajichezaa tu.
Reece James siku hizi Wala hazami kati na kufunga yake magoli yake mazuri siku hizi ni bingwa wa back pass.
Hii timu apewe lampard Moja kwa moja no heri akae nao lamps ni mkali kidogo anaweza wachangamsha
Wamuongezee John Terry pale kwenye benchi wake na Ashley Cole Hawa madogo mafala lazima wanyooke .
Huwezi kujilinda dhidi ya real madrid kwa dk 90...Real wapo valnurable ukiwashambuliaMalengo ya Lampard ilikuwa ni kujilinda bahati mbaya kikosi kilikuwa hakina muunganiko kabisa kila 1 anacheza anavyojua yeye
Felix ni mchezaji mzuri tatizo linakuja ni nani wa kucheza nae pale mbele...jana walikuwa isolated peke yao mbele ...central midfielders wetu walikuwa hawapush ktk kushambulia, sasa unategemea felix a-dribble peke yake then afunge...timu haina hata strikerMrangazaji alikuwa anasema Chelsea ni washindani wazuri .ila umaliziaji ni butu
Huyu Felix ni overrated ila anazidiwa na walio bench
Tusimuonee keppa...he made many fantastic saves..goli la kwanza huwezi kumlaumu kabisa..alijitahidi kufanya save ila beki walishindwa kuubutua mpira na kumuacha benzema akicheka na nyavu. Pia fofana alizingua kukaba unamkabaje vini jr kinyumenyume vile.Alipoingia Ansensio nilijua goli la mbali litafungwa kupitia mguu wa kushoto
Kuna magoli mengine Mendy pekee ndie anayeweza kuyaokoa, Kepa hawezi kabisa
Sawa mchambuzi! Na mwaka jana walipokutana katika robo fainali je.? fahamu hivi Real Madrid wakiwa wabovu wakutane na timu yoyote iwe katika kiwango gani kwenye Uefa hasa suala la robo ,nusu na fainali wanakumaliza tu ndugu yangu,haujifunzi huko nyuma??Niliona mambo kama saba (7) jana kwenye mechi yetu pendwa na RM
Chelsea walikuwa legelege tofauti na RM
One touch za RM ziliwafanya Chelsea wabaki uwanjani bila kujua cha kufanya
Game plan ya kujilinda iliwapa uhuru RM kucheza watakavyo
Uamuzi mbaya wa Chillwell wa kumshika Rodrygo umeicost timu ktk harakati za kusawazisha au kufanya matokeo yabakie 1-0
Ubora wa Benzema wa 2 to 3 yrs ago umepungua sana, angetufunga nyingi jana
Fofana alimdhibiti vizuri Vinincius Jr.
Kepa kacheza vizuri jana ila yale magoli bado angefanya jitihada fulani
Hawanaga masihara hasa wanapofikia hatua ya nusu fainali au fainaliSawa mchambuzi! Na mwaka jana walipokutana katika robo fainali je.? fahamu hivi Real Madrid wakiwa wabovu wakutane na timu yoyote iwe katika kiwango gani kwenye Uefa hasa suala la robo ,nusu na fainali wanakumaliza tu ndugu yangu,haujifunzi huko nyuma??
Tuchel alikuwaga hapaki bus na hawa jamaa, na akipaki bus basi hawezi kupanga viungo watatu(Haiwezi kuwork out).Malengo ya Lampard ilikuwa ni kujilinda bahati mbaya kikosi kilikuwa hakina muunganiko kabisa kila 1 anacheza anavyojua yeye
Ila kama mme notice hz mechi mbili za Lampard tumekuwa wabovu zaidi ya kipinsi cha Potter... Coz wakati Potter yupo nafasi zilikua zinatengenezwa na kulikua na amsha flan hivi ila kupata matokeo ndio ishu...Tuchel alikuwaga hapaki bus na hawa jamaa, na akipaki bus basi hawezi kupanga viungo watatu(Haiwezi kuwork out).
Match ya pili ya Dortmund tulicheza vizuri sana.
Kiukweli kufungwa jana ni kwa kujitakia.
Huwezi kununua wachezaji wa £600M kisha ukasema ni long term processTodd Boehly: “Chelsea are gonna win 3-0 tonight. I tell the fans: have a lot of faith”. [emoji838] #CFC
“We look at this as a long term process, we have a lot of work to do. We’ve lot of faith about the future. Our future is bright”.
Jiheshimu weweTimu ina wachezaji wa kawaida sana
Yaani basi tuUPo mawazoni mwangu 100% na huwa nilikua nawazaga ndicho kilichokua kinamfelisha kutojaribu hicho kikosi.
Utashangaa Lampard anapita mule mule alikofeli Potter
Mmeanza kumkumbuka Potter tena? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila kama mme notice hz mechi mbili za Lampard tumekuwa wabovu zaidi ya kipinsi cha Potter... Coz wakati Potter yupo nafasi zilikua zinatengenezwa na kulikua na amsha flan hivi ila kupata matokeo ndio ishu...
Hata mechi ya Livepool chini ya Bruno mwanafunzi wa Potter tulicheza amsha zilikuwepo
Ila Lampard ka tumeanza upya vile....
Kwa jinsi tulivyocheza mechi mbili zilizopita ni waz kumeudisha Lampard ni boko....