Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Si tulikubaliana kuwa atajenga CV mbele kwa mbele
Imekuwaje tena jamani?
 
naomba kuuliza tunayecheza naye mechi inayofuata ni nani??? ajihesabiiee kuwa amekufa.

wale wakubet nenda kabsa kaweke nusu ya mali zako mpe chelsea. HATUTAKUANGUSHA.
Eti eeh?
Subiri uone tunavyowachinjia mbali

Timu limepoteana mazima hili
 
Tatizo hii timu wengi mpira umewapitia kushoto
Hawajui nini wanataka hawajui timu inafalsafa ipi wanataja tu kocha yeyote ilimradi timu iwe na kocha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio wamuokote Potter?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…