OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
mupira unaongezwa dakik zote izo?!!Tulia wew goli limeingia ontime 96 dkikView attachment 2538049
We unataka kuwaponza wenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Potter ni kocha mzuri ila mashabiki ndio sio waelewa
Sir Alex Ferguson time anaanza kazi MANCHESTER United alifungwa mechi 38 tu ila akavumiliwa na akawa kocha mzuri
Potter mitano tena
Sisi mfumo wetu mzuri ni wa 3 ndio maana umeona chilwell kan'gaa na hata angecheza James nae angen'gaaJana Fofana kapigana sana, huyu ndie mfano halisia wa mchezaji anayestahili kuvaa jezi ya Chelsea
Kule nyuma mabeki walitulia vizuri. Sikuwa na shida ya performance ya Kou na Badi
Chilwell anaanza taratibu kuja kwenye form yake ya uwezo wake wa kupokea mipira mbele kwenye maeneo ya hatari kwa timu pinzani. Kuna nyakati kama mbili au tatu Chilwell alikuwa kwenye best position anaomba mpira ila kama kawaida ya wachezaji wetu kila mtu anataka awe shujaa.
Havertz sijui ana matatizo gani, clinicality yake siku hizi hata wale wa Championship wanamzidi mbali sana. Ile chance yake ya jana angewahi kumpelekea kipa mp[ira wa juu lile lilikuwa ni cool goal, ila kamfuata kipa hadi amemfikia karibu ndio=po anajifanya super star
Wachezaji wangekuwa makini jana tungetoka na goli 4 au 5-0
Mimi ni mmojawapo niliyempigia chapuo Potter kwa sababu ndie alikuwa kocha wetu na alikuwa bado mgeni. Tulidhani atakuwa kocha mzuri ila tulikuwa wrong tena far wrong. Naamini Potter anaweza kubadilika akawa kocha mzuri ila tukimsubiri tutaumia sana na bado hakuna uhakika kama atabadilika.Nikikumbuka humu ndan kuna watu walikuwa wanampigia chapuo Potter nabaki naishiwa nguvu.
Tungeenda kwa Luis Enrique kwa project tuliyonao ni mtu sahihi.
Tunaweza kuwa na wachezaj wazuri ila wakakosa kocha, inanikumbusha wakat tuliokuwa na MaZaCa(Mata,Hazard,Oscar) kocha akawa Di mateo[emoji2357]
Matumizi mabaya ya takwimu. Kama alifungwa 38 game maana yake aliishusha daraja timuAlifungwa mechi 38 mfululizo au
Havertz itakua anampa Potter miuno ya kitanga sio kwa mahaba hayaPotter amemteua Havertz kuwa choice no. 1 kwenye kupiga penalties
Kwenye penalty kumpa havertz sio shida cos kai ni mpigaji mzuri wa penalty ila shida kuu ni kwanini anamuanzisha kila game na hamfanyii sub hata kama hayupo kwenye performance nzuriHavertz itakua anampa Potter miuno ya kitanga sio kwa mahaba haya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah chelsea mfungwe Leo mtupokee aise wanatutoa damu aise.View attachment 2540372
Na kama amepewa majukumu ya kupiga penalty inamaanisha KAI atakua anacheza mechi zoteKwenye penalty kumpa havertz sio shida cos kai ni mpigaji mzuri wa penalty ila shida kuu ni kwanini anamuanzisha kila game na hamfanyii sub hata kama hayupo kwenye performance nzuri