Hiyo ndio tabia alisia ya mashabiki wa timu zote duniani, Ngoja Potter ashinde mechi mbili mfululizo, upepo utabadilikaI remember when Chelsea won their first game under Graham Potter, the fans where chanting to the board ;
"Call Tuchel back and sack him again"[emoji16]
Wanagoma ili wacheze Europa Conference league kumbe wachezaji hawaitaki UEFAMimi naamini Chelsea EPL nzima ndio ina kikosi bora ila wachezaji wamegoma 2.. Naamini pia tuna kikos bora kuliko wakati mwingine wowote.
Tuna kikos cha vijana imara chenye world class players.Kuanzia kipa hadi strikers ila kwa sababu wamegoma huwez watetea Ukiangalia mechi na Tottenham utaamini Chelsea ina mgomo mkubwa na hauishi...
1. Wachezaji wanashoot slowly ili kipa adake.
2. Goli la kwanza pasi ilitolewa af ikanyang'anywa na hakukua na reaction yoyote
3. Goli la tatu ndio kabsaaa yani kona inapigwa watu wamesimama kama mishumaa
Hata conference hakuna hiyo dalili, msimu ujao wanataka kupumzika tuWanagoma ili wacheze Europa Conference league kumbe wachezaji hawaitaki UEFA
Mount acheze wing back mkuu? Acha masialaTwende na 343 vs Leeds utd
- Mudryk - Auba - Madueke-
Chil - Zakaria - Enzo - Mount
-- Badi - Koul - Fofana -
Nipo mkuu napitaga kimya kimya, harakati za mtu mweusi zinanibana sio poa.Dah mkuu, Huutendei haki huu uzi ulipotelea wapi?[emoji2][emoji2][emoji2]
Mmmh, Kwamba ETH anategemea individuals brilliance.Mimi nawaambia ukweli, tatizo lembu huwa ni mbishi hivi hivi miaka yote ,hata pre season tulijadili nae Sana humu akawa mbishi Sana
Mfano ukiniwekea Ten hag na Di zerbi binafsi namchukua Di zerbi
Ten hag anatembea na individual brilliance za wachezaji hawapungui watatu , Rashford Casemiro na Degea ,
Manchester United ni timu ambayo haina tofauti kimfumo na middle table teams, angalia hapo chini ...
ndio maana walipoenda Emirates ndani ya dk 90 waliingia ndani ya box la Arsenal mara 13 tu na hapo Ten hag kakuta timu sio mbaya na akapewa €250m aboreshe kikos
View attachment 2536309
Changamoto hapo kwa Mount na KouliballyTwende na 343 vs Leeds utd
- Mudryk - Auba - Madueke-
Chil - Zakaria - Enzo - Mount
-- Badi - Koul - Fofana -
Mganga wa Havertz atakuwa na nguvu za kichawi sana