Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hatimaye nimeshaota sugu kiakili za kula kichapo Chelsea FC ikicheza na timu yoyote nakaa mkao wa kuangalia jinsi itavyofungwa huku Wachezaji wakirukaruka uwanjani kama Wakurya wanavyocheza nyimbo zao za asili...[emoji23]
 
Nimefurahi hakupewa red card kama angepata huyu kocha angetukia Hilo chaka kujifichia utumbo wake lembu juan david dah msimu tuimba lugha Moja huyu kocha anatudhalilisha
Enzo Ndugu yako kapotelea wapi au naye kawa Shabiki maandazi na kuhamia timu kubwa nyingine kwa mkopo?

Tulizoea kumwona akichachafya hapa hata kwa Kindengereko ikiwa Kocha yeyote ataharibu [emoji1787]
 
Cheltako unalalaje kabla hujaona kombe!? [emoji23]

View attachment 2531153
Nimelala tangu jana 22:17 PM na kuamka 06:06 AM kwa ndoto mujarabu kabisa [emoji28]

Kikubwa wanangu wa Chelsea tusisahau kuzingatia mazoezi ya kukimbia, pushups, squash, kunyosha migongo, viuno, shingo, mbavu (viungo vyote kiujumla).
 
SIKU MKIPATA TAARIFA INAYOANZA NA


Breaking news / Team statement


Naomba mnitag nikamwagilie moyo. Haiwezekani tangu january mosi tumefurahi mara moja tu huku tukilia karibu mara kumi
BREAKING NEWS.......

Chelsea FC main body is firmly looking ahead to offer HP more three years additional contract to strengthen the new Chelsea FC owners philosophies of "TRUST THE PROCESS" from the former owner Roman Abrahamovich [emoji1]
 
"The boys gave everything" hiki ni kina bahari kwenye shairi la mtunzi maarufu Graham Potter kwenye shairi lake la "Trust the process"
Wachezaji wa Chelsea tangu TT aondoke;.

1. Ronyo ronyo kama hawafanyi mazoezi ya nguvu ya viungo vya miili.

2. Wananyang'anywa mipira kizembe.

3. Hawana mawasiliano mazuri uwanjani ( football chemistry ).

4. Hawajitumi kabisa kama wachezaji wa Man Utd na New Castle Utd jana kwenye fainali ya carabao cup.

5. Hawana morali.

6. Wamepoteza winning mentality.

7. Hawajui wanachokifanya kwa kutokuwa na formation ya kueleweka.

8. Wana uhakika wa kuendelea kuwepo Chelsea FC kwa sana sababu lawama atabebeshwa Kocha Mkuu HP.
 
Walikurupuka kabisa kumfukuza TT na kutuletea Chuck Norris, ni dhahiri nafsi zinawasuta lakini wanafichaje hii aibu sasa?
 
Hizo ndizo tabia za PROCESS lazima tuiamini hiyo process
 
Potter ni mid table type of a coach.

Infact amekuta timu ipo kwenye form. Ameondoka bado timu ipo kwenye form.

Hakuwa na input yeyote.
 
Chelsea kushindwa kufunga magoli: Majibu kwa wanaoijua Chelsea

Hasselbaink saw it differently. He pointed out that the team weren’t creating enough chances in general – and also noted the lack of goals from set pieces, something which the team had been good at for a long time.

You can see Jimmy make his point in the clip embedded here:
 
Kama kocha mwenyewe tu yupo na loser mentality unategemea wachezaj watafanya nini
 
Hizo ndizo tabia za PROCESS lazima tuiamini hiyo process
Nah, hakuna process ya hivi, 5 months now hatuna improvement yoyote.
Area ipi tumeimprove,

Ni rahisi sana sasahivi kucheza na sisi hii yote ni kwa sababu ya kocha tulie nae anahisi Chelsea ni kama Brighton, ndio maana press conference zake ni za hovyo
 
Kama kocha bado ni Potter kusingekuwa na maajabu,.

Huwezi tegemea kila mechi individual brilliance,

Kimbinu kipi Potter amefanya mpaka sasa kinaonekana tumeimprove??

Andres Villas Boas alikuwa na akina Drogba,Lamps,Terry,Cole,Malouda,Mikel,Ivanovic ila kimbinu hakuwa vizuri tunajuwa kilichotokea ni nini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…