Nme-screenshot, tukifungwa na leo naipost wasap status kwangu 😂Graham Potter at Chelsea in 2035:
"The boys gave everything against a strong Leyton Orient team, with such performance, I believe we can make the League One top 3 and play in the Championship next season."[emoji847][emoji16][emoji16]View attachment 2528960
Daaah maaaskiiiiniii. Poleni in advance.today lineup came on blues[emoji110]View attachment 2530604
Kwanini mchezaji wa Paundi milioni 100 mnamuweka benchi?today lineup came on blues[emoji110]View attachment 2530604
Shida mashabiki wengi Kuna wachezaji inatokea hawawakubali tuJorginho ni mchezaji mzuri ndomaana kila kocha aliyefundisha Chelsea alikuwa anampa nafasi
Dogo itoshe kusema hujui mpira, if you dont know what to say please keep quite brother.Hata kipindi Cha sarri mashabiki walikuwa hawampendi na kipindi hicho walimtunga jina mtoto wa sarri.Jorginho afahi chelsea kwasababu chelsea wanahitaji kiungo full package kama Enzo mwenye uwezo wa kukaba, kucontrol mechi, na kuchezesha team vizuri. Jorginho Alikuwa anakosa vitu hivi sio mzuri kiukabaji, mzito, na anashindwa dhidi ya team zinazopress Sana ubora wa Jorginho upo kwenye pass tu na kucontrol game ukitoa hivyo hana vitu vya kuoffer vingine ndio maana chelsea wamemuuza
Basi ni sababu ya mpira wenuHata kipindi Cha sarri mashabiki walikuwa hawampendi na kipindi hicho walimtunga jina mtoto wa sarri.Jorginho afahi chelsea kwasababu chelsea wanahitaji kiungo full package kama Enzo mwenye uwezo wa kukaba, kucontrol mechi, na kuchezesha team vizuri. Jorginho Alikuwa anakosa vitu hivi sio mzuri kiukabaji, mzito, na anashindwa dhidi ya team zinazopress Sana ubora wa Jorginho upo kwenye pass tu na kucontrol game ukitoa hivyo hana vitu vya kuoffer vingine ndio maana chelsea wamemuuza
We ilibidi uangalie mpira kwenye mfumo mchezaji anafit wapi, ku isolate mchezaji mbali na mfumo afu unaanza kuchambua madhaifu yake yani ukifanya hivyo dogo hata Sergio Bosquets ni mchezaji mbovu, na itakuchukua muda sn kuelewa soka.Hata kipindi Cha sarri mashabiki walikuwa hawampendi na kipindi hicho walimtunga jina mtoto wa sarri.Jorginho afahi chelsea kwasababu chelsea wanahitaji kiungo full package kama Enzo mwenye uwezo wa kukaba, kucontrol mechi, na kuchezesha team vizuri. Jorginho Alikuwa anakosa vitu hivi sio mzuri kiukabaji, mzito, na anashindwa dhidi ya team zinazopress Sana ubora wa Jorginho upo kwenye pass tu na kucontrol game ukitoa hivyo hana vitu vya kuoffer vingine ndio maana chelsea wamemuuza
1. Hajui kukabaDogo itoshe kusema hujui mpira, if you dont know what to say please keep quite brother.
Ichukue utaipost mwenyewe after 90'Mwenye ile picha ya mudrky anamtukana aliyemleta chelsea naomba aipost tukifungwa leo
Kipindi hicho Cha sarri kuna wakati tunakuwa hata possession ya asimilia 80 ila ukija kuangalia matokeo tunpigwa 4 bila na hiyo ni kwasababu ya Jorginho shida ilikuwa ni mfumo ndio maana Jorginho anaonekana ni mzigo kwenye team. Na kipindi hicho Jorginho ndio mchezaji alikuwa anapokea lawama nyingi kushinda mchezaji yoyote kwasababu mashabiki walitaka nafasi yake acheze KanteBasi ni sababu ya mpira wenu
Kwa Arsenal tunahitaji Kiungo anayeweza ku control mechi na passing ability kubwa maana swala la kukaba kwetu ni mfumo mzima
Hapo Sasa nimekuelewa
Nimemfatilia mech toka amefika Arsenal ,tuna control mechi muda mwingi ,Tofauti na Partey tuta control Ila Kuna muda tuna loose kiasi
Mechi alizocheza JoJo tumepiga possession 70% karibu zote
Mwenzako hamis77 mwenye kujua soka kanielewa wewe naona unaongozwa na ushabiki kuliko logicWe ilibidi uangalie mpira kwenye mfumo mchezaji anafit wapi, ku isolate mchezaji mbali na mfumo afu unaanza kuchambua madhaifu yake yani ukifanya hivyo dogo hata Sergio Bosquets ni mchezaji mbovu, na itakuchukua muda sn kuelewa soka.
Hapo ndipo anaponishangaza alafu akifungwa anaanza kutoa maneno ya huruma kumbe source ni yeyeSijui kwa nini Potter anapenda sana kufanya rotation,
Kuna sababu gani ya kumfanya Badiashile leo aanzie benchi??
Una zakaria, kwanini unaendelea kumkomalia RLC.
Enzo anahitaj kucheza na mtu atakaemfanya awe free kusogea mbele.
Jorginho is good defender, sema watu wanafanya hawaoni afu Kukaba kuna maana gani kwenye timu inayomiliki mpira kwa 70%?1. Hajui kukaba
2. Hawezi kudominate
3. Hawezi kucontrol mchezo
Mashabiki wa hii timu wao ni mpira magoli hivyo vingine hawana uwezo hata wa kuvianalyze
Hatuna sehemu mshabiki amesema Jorginho hawezi kudominate game au kucontrol game wakati hizo ndio strength za Jorginho.1. Hajui kukaba
2. Hawezi kudominate
3. Hawezi kucontrol mchezo
Mashabiki wa hii timu wao ni mpira magoli hivyo vingine hawana uwezo hata wa kuvianalyze