Matajiri ndio waliotaka hivyo, Arsene Wenga alikuwa hapewi mshiko, kazi yake kubwa kukuza vifaranga. Tofauti na Chelsea kapewa mshiko wa kutosha.Premier league ya Alex ferguson ni tofauti na ya sasa, nani atakusubilia ujenge timu yeye bila kujenga wa ulize arsenal amejena kwa miaka mingapi mpaka leo hawana wakika wa kubeba kombe, mkuu mpira hubadilika sasa hivu huyu furguson hata ukimleta hata kumaliza na fasi ya nne ni mtihani.
Mkuu siongelei kufungwa fainali naongelea mentality ya mpaka kufika hapo fainali. Sasa swali langu lilikua huyu Potter unavyoona kuna siku anaweza kuiongoza Chelsea na kuproduce tough game kama hizo za Fainali au na Madrid?.Kipi kilitufanya tufungwe hizo hizo fainal za Carabao n FA, na hata game ya Madrid kipi kilitufanya tufungwe? Issue ni ile kutotumia chance zetu vizuri..
Wakina Boehly-Eghbal bado wanaiman na Potter sisi huku tushapoteza imani kuendelea kupiga kelele mtu afukuzwe ni kazi bure huku maboss wake bado wanamuamini kwa sasa.
Potter alisign 5 yr kwa mkataba wenye thaman ya £60M so kama tunahisi ataondoka hiv karibun tusahau
Huu sio wakat wa Roman. Labda maamuzi yabadilike ghafla ila kwa sasa hakuna dalili ya Potter kuondoka[emoji23]
Hivi akina Boehly hawazioni hizi stats?InasikitishaView attachment 2519105
ila kwa upande mwingine kama uliangalia game yote jana, yatia moyo - pia majeruhi kama Mateo, Fofana na Zakaa wameanza mazoezi na timu.InasikitishaView attachment 2519105
Mnatakiwa kujua jana tumecheza na Dortmund mbovu msijipe faraja maana ingekuwa timu yoyote ya Epl iliyo top 4 ingeshinda si chini ya goli 2ila kwa upande mwingine kama uliangalia game yote jana, yatia moyo - pia majeruhi kama Mateo, Fofana na Zakaa wameanza mazoezi na timu.
Hakuna timu mbovu Ulaya inayoweza kufika level ya last 16 Champions League.Mnatakiwa kujua jana tumecheza na Dortmund mbovu msijipe faraja maana ingekuwa timu yoyote ya Epl iliyo top 4 ingeshinda si chini ya goli 2
Maboss ndio wameamua,Mkuu siongelei kufungwa fainali naongelea mentality ya mpaka kufika hapo fainali. Sasa swali langu lilikua huyu Potter unavyoona kuna siku anaweza kuiongoza Chelsea na kuproduce tough game kama hizo za Fainali au na Madrid?.
Kweli gatuna la kufanya ila kutokua na la kufanya sio sababu tusizungumze mwenendo na kocha. Yan itatuchukua misimu miwili Potter kuipata ile timu ambayo wengi tuna itamani. Kwa sasa ni maumivu kwenda mbele
Nyie Hii ni timu ya mpira kweli no shot one target hata moja Sasa uwanjani mnafanya nini.
Na wamempa mkataba mrefu wa pesa ndefu huyo kiazi aisee ,Bohley naye anakurupuka mno sometimes ,Maboss ndio wameamua,
Hiring Potter ilikuwa ni mistake toka mwanzo. Now hawatak kuamin kama ilikuwa ni mistake labda atuprove wrong.
Tunaweza kuwa na long term project ila short term result nazo zinahitajika.
Good manager siku zote huwa
Anahakikisha wachezaj wanaadapt mfumo wake katika kipindi kifupi.
Kuhakikisha wachezaji wanamaintain mfumo wake katika kipindi kirefu.
Kwa aina wachezaj tulionao Enrique ni chaguo bora kwa sasa..
Potter ni kama AVB [emoji16][emoji16]
Mkuu alikuwa pekee yake pale nyuma ni dangerous kwanza angeweza kupata red card kinachonishangaza ni kwanini alikuwa pekee bila kuwa na msaidizi?Kwann unawaza kwamba angecheza foul.?
N kwann tumekariri mazingira kama yale ni lazima mtu acheze foul.?
Kwan mtu hawezi kucheza vzr na kuuchukua mpira.?
Yn kutoka katikati ya uwanja mpaka golini, mchezaji mwenye thamani kubwa kama Enzo anashindwa kujua mbinu ya kuuchukua mpira kwa njia salama.?
Tuache kukariri wakuu.