kama inafaa ivo n bora2 maana kubeba injury af umbakze mtu kama felix au badiashile n atar zaidinawezekana ila kanuni ndio hiyo iliyoelezwa
kujaza nafasi za wazi ambapo sisi tuna 2 ya jorginho na iliyokuwa wqzi tu
pili kuweka jina la tatu kwa kum unregister mmoja ambaye wengi wanampendekeza pulisic kwa sababu ya majeruhi
[emoji16][emoji16]kama reece ajakua poa n bora kuanza na chalobah kwenye rightback kuliko cesarKama wachezaji tumepata, shida kocha utashangaa anaanza lineup na Chalobah
Daah yan umuache Badiashile kabisa? Huyo Fofana ndio wakubaki kwenye ligi maana jamaa ni kama gari ya mkaa spana mkononi akiumia je?Hapo Potter achague tu Enzo,Mudryk na Felix
Hatuna kiungo zaidi ya Enzo, Kante mpaka mwez wa 3 mwanzoni.
Kwa kuwa Fofana karudi, Badiashile ningemfanya awe kwenye league huku Silva na Fofana wakirotate katika league
Kwakua ni maoni yako haya we ondoka na Savic tuachie EnzoKwa maoni yangu, Enzo ni upgrade ya Gallagher, fighting spirit ndiyo inayomsaidia ila siyo mkali kihivyo.
Kati ya Enzo na Savic, me ningeondoka na Savic
Hakuna namna mkuu, attacking yetu inakitu inapwaya, felix n mudryk wameonesha hicho kitu kwa mda mchache waliochezaDaah yan umuache Badiashile kabisa? Huyo Fofana ndio wakubaki kwenye ligi maana jamaa ni kama gari ya mkaa spana mkononi akiumia je?
🤣🤣🤣🤣🤣Kwakua ni maoni yako haya we ondoka na Savic tuachie Enzo
Unajua bei ya Savic na umri wake. Trust the analysts team wasiwasi ni kwa kocha tu ila sajili makini kabisa
Pamoja na Savic kuwa na umri mkubwa 27 February hii anafikisha miaka 28 lakini bado Enzo amemuacha kwa sehemu kubwa huyo Savic wako.Kwa maoni yangu, Enzo ni upgrade ya Gallagher, fighting spirit ndiyo inayomsaidia ila siyo mkali kihivyo.
Kati ya Enzo na Savic, me ningeondoka na Savic
Huyo Eghbali ni jambazi wa kupora wachezaji, yaani alivyompora Mudryk kutoa Arsenal hadi dunia nzima ililaaniam sure Hawa matajiri wenu na ujambazi itakuwa wamewahi kufanya
Day of the Mudryk hijack : Behdad Eghbali called Shakhtar CEO Sergei Palkin to say, "I'm here". Palkin replied, "What do you mean, here?" Eghbali had already checked into Shakhtar's team hotel after flying over by private jet. (@nytimes) #CFC
Je Wesley Fofana, Felix na Mendy nao nadhnai hawatakuwepoTeam news vs Fulham
Mateo Kovacic, N'Golo Kante, Christian Pulisic, Armando Broja and Denis Zakaria are out of the game tomorrow
Ben Chilwell, Reece James, Raheem Sterling and Ruben Loftus-Cheek are the squad, not 90 minutes. Wesley [Fofana] partly with the team, stepping up next week.
Wengi tu hatukulala, mi nililala saa 8 kasoro usiku na kuamka saa 12 kasoro 23 na kwenda kwenye sports official websites kuangalia kilichojiri kuhusu usajili wa huyo Dogo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wewe jamaa Ni Chelsea kweli kweli ,usingizi ulikuwa hupati kabisa
Hii sasa itatufariji kuiwaza ile Chelsea ya Mzee Baba Jose Mourinho chini ya akina viungo mahiri Makelele [emoji119][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa ni mafia. Huyu Eghbal ukiskia issue ya Enzo unaambiwa yeye jibu la No hakutaka kuliskia[emoji23]am sure Hawa matajiri wenu na ujambazi itakuwa wamewahi kufanya
Day of the Mudryk hijack : Behdad Eghbali called Shakhtar CEO Sergei Palkin to say, "I'm here". Palkin replied, "What do you mean, here?" Eghbali had already checked into Shakhtar's team hotel after flying over by private jet. (@nytimes) #CFC
Huyu savic anaimbwa miaka yote na tetesi ila hakuna team yoyote kubwa iliyowah peleka hata offerPamoja na Savic kuwa na umri mkubwa 27 February hii anafikisha miaka 28 lakini bado Enzo amemuacha kwa sehemu kubwa huyo Savic wako.
Angalia hizo za kijani ziko upande gani kwa wingi
Dunia nzima inasema Enzo ndie kiungo bora kabisa duniani kwa sasa, wewe tu ndie unayeona tofauti
View attachment 2503817
Felix hagokuwepo anamalizia adhabu yake.Je Wesley Fofana, Felix na Mendy nao nadhnai hawatakuwepo
Kwa heshima ya Mashabiki wenzangu wote wa Chelsea FC hapa JF naomba Mr Lembu atambulike rasmi kwa jina MR CHELSEA tokana na uchambuzi wake mahiri wa soka kuhusu Chelsea Football Club.Uchezaji wa Badiashile ni kama wa Silva, japo hamkuti ila ni mtulivu, timer mzuri na mwepesi. Hana papara kama za akina Chalobah na Koulibally
Hii ndiyomaana halisi ya Binadamu, lazima tutofautiane mitazamo.Kwa maoni yangu, Enzo ni upgrade ya Gallagher, fighting spirit ndiyo inayomsaidia ila siyo mkali kihivyo.
Kati ya Enzo na Savic, me ningeondoka na Savic
Naomba official link ya kuuangalia huu mpira Wakubwa.Team news vs Fulham
Mateo Kovacic, N'Golo Kante, Christian Pulisic, Armando Broja and Denis Zakaria are out of the game tomorrow
Ben Chilwell, Reece James, Raheem Sterling and Ruben Loftus-Cheek are the squad, not 90 minutes. Wesley [Fofana] partly with the team, stepping up next week.
Ni yupi kati yao hao alitokea ile klabu ya Leipzig ya Ujerumani?Leo hii Chelsea wamethibitisha idara ya michezo itaundwa na
Laurence Stewart & Paul Winstanley - Co-Sporting Directors hawa ndio watasimamia mambo yote kuanzia talent,scouting,recruitment na data.
Christopher Vivell - Technical Director
Joe Shields, Kyle Macaulay, Jim Fraser - talent management and recruitment
Matthew Hallam - data and analysis
Todd Boehly & Behdad Egbhali hope that clubs will report to Paul Winstanley or Lawrence Stewart for any transfer dealings although they will remain actively engaged owners of Chelsea Football Club. (@TheAthleticFC)
View attachment 2503948