Chelsea kwa sasa tuna mfumo na wachezaji tofauti kabisaMount & Harvetz waamke usingizini wapambane kweli kweli kwa miezi 6 iliyobaki ya kumaliza msimu 2023.
BOEHLY na EGHBALI hawa matajiri wako serious kwenye kujenga timu ya ushindi, hawakawii kufanya maamuzi magumu juu yao endapo wataendeleza upuuzi uwanjani.
By the way Nkunku yuko njiani anakuja.
Ila kwa kubadilisha, UEFA wanataka kila timu iwe na squad ya wachezaji 25 tuWatatu waliosajiliwa dirisha hili ndio watakaongezwa
Hapo Potter achague tu Enzo,Mudryk na FelixIla kwa kubadilisha, UEFA wanataka kila timu iwe na squad ya wachezaji 25 tu
Kama timu ilikuwa na punguvu ya hiyo itakubaliwa kuwaongeza baada ya january window. Kama ilishajaza nafasi zote, itaruhusiwa kufanya mabadiliko
Squad ya sasa ni ya wachezaji 24 plus 3 wa list B (*)
Goalkeepers -3
Defenders - 8
- Kepa Arrizabalaga
- Marcus Bettinelli
- Edouard Mendy
Midfielders 13
- Thiago Silva
- Trevoh Chalobah
- Ben Chilwell
- Reece James
- Kalidou Koulibaly
- César Azpilicueta
- Marc Cucurella
- Wesley Fofana
Strikers 3
- Jorginho
- N'Golo Kanté
- Mateo Kovačić
- Christian Pulišić
- Ruben Loftus-Cheek
- Raheem Sterling
- Mason Mount
- Denis Zakaria
- Hakim Ziyech
- Conor Gallagher
- Carney Chukwuemeka
- Charlie Webster *
- Lewis Hall *
Chelsea wamekuwa wakiwatumia wachezaji 24 badala ya 25 ukiwaacha wale wa list B
- Pierre-Emerick Aubameyang
- Armando Broja *
- Kai Havertz
Addiditional players = 3
Ina maana
- Enzo Fernandez
- Makhailo Mudryk
- Benoit Badiashile Au Felix
- Kwanza ondoa Jorgninho kahama
- Nafasi ya pili ilikuwa wazi
- Kwa hiyo Potter anatakiwa kuwaingiza let say Enzo na Mudryk moja kwa moja kwenye timu kuchukua nafasi ya Jorginho na nafasi nyingine iliyokuwa wazi
- Sasa kati ya Badiashile au Felix hapo itategemea priorities za kocha.
- Mimi ningemshauri kocha awaongeze hao wawili kumtoa Pulisic ambaye atakuwa nje kwa majeruhi kwa zaidi ya miezi miwili na awekwe Joao Felix, tumefunga mjadala
- Tukumbuke pia kuwa leo tarehe 2 February 2023 saa nane usiku za huku kwetu Chelsea wanatakiwa kuwajulisha UEFA hayo mabadiliko.
Kuna taarifa zinasema kuwa baadhi ya seniour players wametoa maoni yao ya kutoiamini idara ya matibabu hasa wale walioajiriwa wapya. Kwa sababu hiyo, timu ya akinaBoehly wameamua kufanyia uchunguzi idara hiyo. Naona kama imechukua muda au sijua kama wameaza kuchunguza ila matokeo yake inaweza kusababisha idara hiyo nayo kufanyiwa overhauling kubwa tuIla wadau pamoja na sajili kubwa na nzuri tulizozifanya, nadhani pia TODDY na EGHBALI wamulike department ya matibabu kuna shida gani za kitabibu?
Haswa kwenye matibabu ya JAMES & CHILWELL, hawa wachezaji mchango wao kwenye timu sio endelevu kabisa kwa sababu ya injury.
KANTE & KOVACIC inawezekana umri ndio tatizo. Nyama na Mifupa vimeshachoka.
Kwa JAMES, CHILWELL & FOFANA sio mbaya tukaomba msaada wa kimatibabu kwenye vilabu vingine kama Barcelona venye madaktari bingwa.
Naomba unieleweshe hapo kwa Santos, mana ht hvy nimeona watu wengi hawamuweki kwenye kikosi.Chelsea wanarushusiwa kusajili wachezaji watatu tu kucheza UEFA knock out stage kati ya wachezaji nane waliosajiliwa January hii
Malo Gusto hatakuwepo kwa sababu yuko mkopo Lyon
Andrey Santos naye haruhusiwi kuwepo kwa sababu bado hana permit ya kuchezea Chelsea
Kwa hiyo wanabakia sita wenye kibali cha kuichezea Chelsea na katika hao Chelsea wanatakiwa kuwachagua tu watatu kati ya hawa
Kwa maoni yangu tuwachukue hawa
- Enzo Fernandez,
- Mykhaylo Mudryk,
- Joao Felix,
- Benoit Badiashile,
- Noni Madueke
- David Datro Fofana.
1) Enzo Fernandez
2) Makhailo Mudryk
3) Benoit Badiashile
Hujasoma post yangu vizuri, nimeeleza kwa nini Santos hatumuweki. anyway, Santos hana kibali cha kucheza nchini Uingereza, bado inashughulikiwa na haijulikani itamalizika lini na deadline ya kupeleka majina UEFA ni leo saa nane usiku. Hapo ndipo penye tatizoNaomba unieleweshe hapo kwa Santos, mana ht hvy nimeona watu wengi hawamuweki kwenye kikosi.
Uchezaji wa Badiashile ni kama wa Silva, japo hamkuti ila ni mtulivu, timer mzuri na mwepesi. Hana papara kama za akina Chalobah na KouliballyNaona watu wengi mnamsifia Badiashile, anyway Binafsi sijawahi kumfatiilia Ngoja turudi uwanjani nimuone.
kwan aiwezekan kuwa unregistered wale ambao waliitwa mara ya kwanza?Ila kwa kubadilisha, UEFA wanataka kila timu iwe na squad ya wachezaji 25 tu
Kama timu ilikuwa na punguvu ya hiyo itakubaliwa kuwaongeza baada ya january window. Kama ilishajaza nafasi zote, itaruhusiwa kufanya mabadiliko
Squad ya sasa ni ya wachezaji 24 plus 3 wa list B (*)
Goalkeepers -3
Defenders - 8
- Kepa Arrizabalaga
- Marcus Bettinelli
- Edouard Mendy
Midfielders 13
- Thiago Silva
- Trevoh Chalobah
- Ben Chilwell
- Reece James
- Kalidou Koulibaly
- César Azpilicueta
- Marc Cucurella
- Wesley Fofana
Strikers 3
- Jorginho
- N'Golo Kanté
- Mateo Kovačić
- Christian Pulišić
- Ruben Loftus-Cheek
- Raheem Sterling
- Mason Mount
- Denis Zakaria
- Hakim Ziyech
- Conor Gallagher
- Carney Chukwuemeka
- Charlie Webster *
- Lewis Hall *
Chelsea wamekuwa wakiwatumia wachezaji 24 badala ya 25 ukiwaacha wale wa list B
- Pierre-Emerick Aubameyang
- Armando Broja *
- Kai Havertz
Addiditional players = 3
Ina maana
- Enzo Fernandez
- Makhailo Mudryk
- Benoit Badiashile Au Felix
- Kwanza ondoa Jorgninho kahama
- Nafasi ya pili ilikuwa wazi
- Kwa hiyo Potter anatakiwa kuwaingiza let say Enzo na Mudryk moja kwa moja kwenye timu kuchukua nafasi ya Jorginho na nafasi nyingine iliyokuwa wazi
- Sasa kati ya Badiashile au Felix hapo itategemea priorities za kocha.
- Mimi ningemshauri kocha awaongeze hao wawili kumtoa Pulisic ambaye atakuwa nje kwa majeruhi kwa zaidi ya miezi miwili na awekwe Joao Felix, tumefunga mjadala
- Tukumbuke pia kuwa leo tarehe 2 February 2023 saa nane usiku za huku kwetu Chelsea wanatakiwa kuwajulisha UEFA hayo mabadiliko.
Unajua bei ya Savic na umri wake. Trust the analysts team wasiwasi ni kwa kocha tu ila sajili makini kabisaKwa maoni yangu, Enzo ni upgrade ya Gallagher, fighting spirit ndiyo inayomsaidia ila siyo mkali kihivyo.
Kati ya Enzo na Savic, me ningeondoka na Savic
Enzo ni binge la mchezaji kwanza ni kiraka ana uwezo wakucheza number 6, 8 na 10 kwa ubora, Pili ana uwezo binafsi wa kukaa na mpira bila kupokonywa, Tatu ni press resistance mzuri, Nne ni mzuri kwenye kupiga long passes za kubreak up back line ya wapinzani hii sifa viungo tulionao hawana, Ana kasi na Maamuzi ya haraka kupitia hii sifa atabadili hata uchezaji wa chelsea kea kiasi kikubwa Jorginho yeye alikuwa back pass nyingi hii kitu Enzo hana Sana alafu ana jicho la pass.Kwa maoni yangu, Enzo ni upgrade ya Gallagher, fighting spirit ndiyo inayomsaidia ila siyo mkali kihivyo.
Kati ya Enzo na Savic, me ningeondoka na Savic
inawezekana ila kanuni ndio hiyo iliyoelezwakwan aiwezekan kuwa unregistered wale ambao waliitwa mara ya kwanza?
Pole mzee kunywa maji lala. Wanaojua mpira hata hawahangaiki naye kuuondoa huo uchafu unaosema.Havertz ni uchafu