Ghana Yesu alicoment hiviEnzo anakuwa mchezaj wetu wa 4 kumsajili akitokea BenficaView attachment 2502012
ktk hawa wapya hakuna mwenye mshahara mkubwa, Weslei Fofana tu ndie alipewa mkubwa. Enzo sujui watampa ngapi ila hautakuwa mkubwa sana kwa kuanza haitazidi 100KMmeitumia vizuri nafasi ila ni lazima hawa wachezaji wafanye vizuri la sivyo huko mbeleni mnaweza kuwa na kikosi kikubwa cha wachezaji ambao hawauziki na wanapokea mishahara mikubwa. Hawa wachezaji wanaweza wakafanya vizuri hata 4 years consecutive ila viwango vikishuka bado wengi watakuwa na miaka ya kutosha.
Miaka nane haizuii mchezaji kuuzwa, inayozuaga mchezaji kuuzwa ni mshahara tuNgoja tuone ila 8+ years siyo wazo zuri kabisa, ila kwasababu mnafanya rebuild hamna namna.
Mfano mzuri ni United, kuna wachezaji mikataba yao inatusumbua mpaka leo.
Anzia namba 4 hadi nane mnapigwa tuIla Man Utd tumepigwa pesa sana. 😂
Hiyo list ni Van Dijk tu ndiyo alifanya kazi inayoendana na thamani yake.
Sahiv mishahara mingi ya wachezaj wote wapya iko chini then kuna bonus based on performance, kama kushinda ligi,uefa,cupsMmeitumia vizuri nafasi ila ni lazima hawa wachezaji wafanye vizuri la sivyo huko mbeleni mnaweza kuwa na kikosi kikubwa cha wachezaji ambao hawauziki na wanapokea mishahara mikubwa. Hawa wachezaji wanaweza wakafanya vizuri hata 4 years consecutive ila viwango vikishuka bado wengi watakuwa na miaka ya kutosha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huko Twitter baada ya Fabrizio kusema here we go Kuna Jamaa cjui n timu gani fala yule akasema anatamani ndege waliopanda iishe mafuta angani
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo alinisababishia jana nikafungiwa na Twitter masaa 10, anakera anakera sana. na ni mshabiki wa Manure, mbolea kabisa yule
View attachment 2502008
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpuuzi huyu tena comment yake ipo mwanzoni mwanzoni
View attachment 2502010
[emoji1787][emoji1787]Anzia namba 4 hadi nane mnapigwa tu
Bora sisi ni Lukaku tu
Wameupiga mwingi sanaBoehly na Eghbali are genius
Kumbe fee structure waling'ang'ania ile ile na upfront ni ndogo kuliko tulivyodhania!
Payment in 6 installments
Upfront = £40m
Boehly, Eghbali x board did it after mad 24h.
JORGINHO ni kipande muhimu kilichobakia (Missing piece of a puzzle) kwa ArtetaAgent wetu huyo, na hakuna agent wetu hata mmoja aliyetuangusha
Hawa jamaa dili nyingi huwa wanamtag Toddy[emoji1787]Call it DEAL DONE
Hawa Chelsea Dodgers huwa nawaamini kwa sababu wanaripoter wao na wanaretweet taarifa za genuine reporters tu
View attachment 2501979
Dah oyaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Write your reply... Chelsea mtafute kocha mzuri atakayewashindisha mataji maana mmeshajenga kikosi Cha maana muachane na huyo mcheza filamu