juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Endapo njia hii ikatumika, todd n eghbal watakuwa wamewafanyia uhuni uefa[emoji23][emoji23][emoji23] kawapiga kwenye ffp loophole now anataka awapige kwa namna nyingine[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]Toddy Ni Mafia ,atakuwa hata biashara haramu ameshafanya
Sijamshushia heshima Abramovich bali nimemjibu hiyo hoja ya kusema kwamba angekuwa Roman hili deal lingekuwa lishakamilika, ndio nimetoa mifano hapo ya deal ambazo hazikufanikiwa chini yakeFatilia awali kabisa anainunua Chelsea akiwa na Kocha Jose Mourinho alikuwa ananunua wachezaji kwa pesa gani na thamani yake ilikuwa kiasi gani kulingana na miaka hiyo?
Usimshushie heshima kabisa Bosi kubwa Abrahamovich, maana hadi anaiuza Chelsea FC kwa TB alikuwa ameshajiengea CV nzuri kwa kumimina pesa ndefu kwa usajili wa Wachezaji kila msimu.
Usirudie tena kuhemukwa bila ya kujadili hoja yako kuhusu Bosi kubwa la kihistoria pale Stamford Bridge "Roman Abrahamovich"
Super League bila club za EPL hamna kitu. Pesa iko kwa hawa vilabu vya EPL.Perez ni zaidi ya Mafia kwa kujua kucheza na fitina nnje ya uwanja na hata kwa kuwa na connection pana ya wataalamu wa sheria za mpira.
Kufuru za mapene zitazagaa sana hapa kwa malipo ya thamani ya kombe la European Supper League...[emoji119]
Abrahamovich alikuwa anaipenda Chelsea FC tena ilikuwa damuni mwake haswaa, usisahau ilifikia hatua Chelsea ilikuwa ikilinganishwa na Real Madrid na PSG kwa mbio za kuweka mpunga mnene wa kumsajili mchezaji yeyote kwa msimu wowote ule.Sijamshushia heshima Abramovich bali nimemjibu hiyo hoja ya kusema kwamba angekuwa Roman hili deal lingekuwa lishakamilika, ndio nimetoa mifano hapo ya deal ambazo hazikufanikiwa chini yake
Ni muda tu, unadhani Perez ni wa mchezo mchezo kuhusu maswala ya soka?Super League bila club za EPL hamna kitu. Pesa iko kwa hawa vilabu vya EPL.
Ndio maana unaona vilabu vya EPL vyenyewe havipush sana agenda ya Super league maana mpunga wanao.
Super league ili wapate pesa inabidi wale big 6 or traditional big 4 wawepo hapo ndio watapiga pesa
Duh tena?? Kama vipi si watemane tu?Hiyo ya medical wansema ni uvumi tu hakukuwa na kitu kama hicho
Bado tuko kwenye giza nene
View attachment 2501819
Mkuu nahisi hujaelewa hoja ilipo.Abrahamovich alikuwa anaipenda Chelsea FC tena ilikuwa damuni mwake haswaa, usisahau ilifikia hatua Chelsea ilikuwa ikilinganishwa na Real Madrid na PSG kwa mbio za kuweka mpunga mnene wa kumsajili mchezaji yeyote kwa msimu wowote ule.
Kumbuka bado kuna Watu wanadai kuna nguvu yake nyuma ya pazia ambayo bado inatumika hadi hivi sasa katika mwendelezo wa uwekezaji wa Chelsea, yani "kimya kimya" kulingana na makubaliano yao ya siri kati yake R Abrahamovich na TB.
Huyo Mrusi katuheshimisha sana Mashabiki wa Chelsea FC duniani kote.
Hata hiyo ya kampuni kulipa RC ni taarifa fekiDuh tena?? Kama vipi si watemane tu?
Am tired of thisTunakaribia kwenye here we go!
Chelsea bado wanang'ang'ania 6 installments itakayolipwa ndani ya miaka mitano wakati Benefica wao wanataka 3 installments itakayolipwa ndani ya miaka miwili
View attachment 2501868
Wale wanaume wazima wameenda na ndege ya kumbeba hawarudi tupu. Sasahivi tofauti ni ndogo. Benefica kulainika hadi kukubali installments ya miaka mitatu ni progress kubwaTumegonga mwamba wazee [emoji24]
Dirisha linafungwa muda gani?Muda umeisha wewe, hakuna deal hapo