Kikosi kizuri kabisa!
halafu lmpard yupo hapo nje kwa hiyo luiz asipoeleweka leo, dk ya 50 mourinho anampiga sub faster kama kawaida yake
Hahaa mi chama langu city kimempiga nyundo mtu jana leo nashabikia wapwa zangu ze bluuuuz
Naam wachezaji ndio wanaingia uwanjani sasa kz ianze
Willian anakosa goli