Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapo kwenye nguvu napingana na wewe Hazard alikuwa na nguvu zaidi ya Mudryk ndio maana alikuwa apotezi mpira ukiwa mguuni mwake na pia ni ngumu kumkuta Hazard anaanguka ovyo ovyo akiwa anaona anaenda kufanya tukio angalia ile dribble aliyofanya against Arsenal pamoja nakusukukumwa hakuanguka mpaka anaenda kufunga goal
 
Nop IMO
Kuanguka sio kiashiria cha kutokuwa na nguvu
Time will tell, Hazard hakuwa na nguvu, iliyokuwa inambeba ni akili
 
Hivi jana Mount alicheza

Niliona jina lake kwenye lineup tu
tulipoendelea na ubize wa kuangalia mechi nimekuja kuona akifanyiwa sub na Chunwuemeka
Alikumbwa na niuni jana?
Nasikia role yake na Galagher ilikuwa ni kuwafanya liverpool wasitanuke pembeni ili wing-backs waweze kupeleka mashambulizi ila nilimuona tu Galagher akihangaika but not Mount. Wachezaji kama hawa wangepigwa benchi ili wapate mapumziko. Saa nyingine tunamshabulia Mount kumbe kosa ni la Kocha
 
Nop
Kuanguka sio kiashiria cha kutokuwa na nguvu
Time will tell, Hazard hakuwa na nguvu, iliyokuwa inambeba ni akili
Naona umezidisha mahaba kwa kitu kipya Hazard hakuwa na nguvu ebu be serious mkuu Hazard alikuwa hanyaganywi mpira kwa style yake ya kuficha mpira sio suala la skill pekee nguvu inatumika pale maana apigwa Sana miguuni ndio maana pamoja na aina ya soka lake hakuwa injury prone pale darajani
 
Tunaposema nguvu ni kati ya Mudryk na Hazard tena ili iwe nzuri zaidi at the same age ya miaka 22 au karibu na hapo
Waache wengine waje kuhukumu hii mada
 
Ukitaka kujua Raphina ni mtoto na mchezaji mdogo sana, yuko radhi kupasha joto pale kwenye benchi na kukumbatia makombe yaliyoletwa na wenzake pale Camp Nou kuliko kwenda sehemu nyingi amabako atapata dakika za kutosha na kuleta influence na hivyo kujenga jina lake, Arsenal wanamta ingekuwa ni opportunity yake kujionyesha ila yuko radhi afie Barcelona. Wachezaji kama hawa hawafai kabisa. Mchezaji mwenyewe hawezi kucheza nafasi zaidi ya winga wa kushoto. So sad hana mshauri makini labda

Kova mwenzake alipoona anaozea Benchi pale Barnabeu akaamua kuja Chelsea na kupata kukuza jina lake na kubeba UEFA kwa jasho lake mwenyewe

Sasa Camavinga naye kaanza kuleta utoto ule ule, Chelsea iachane na watoto kama hawa, hata wakija Chelsea hawatajitahidi kuleta impact badala yake wataendeleza utoto tu
 
Zijue sifa za mchezaji takataka
  1. Hajitumi uwanjani, utaona anakimbia kimbia tu
  2. Saa nyingine anacheza vizuri sana akifika golini anabutua au akifika anatakiwa kutoa pasi kigugumizi kingi hadi ananyang'anywa mpira au anapasia adu
  3. Rafu nyingi hadi anapigwa kadi hovyo
  4. Anasababisha fouls za kijinga na kuiweka timu yake pabaya kila wakati
  5. Akiwa ni foward kila wakati ni kuotea
  6. Akiwa ni beki parapa zinakuwa nyingi hadi anakuwa uchochoro wa timu yake kushambuliwa
  7. Akiwa ni kipa, hawezi kufanya save wala kufanya distribution ya mipira
  8. Generally anaweza kuwa bussy sana uwanja saa nyingine kuliko wachezaji wengine ila end product yake ni mbaya sana
 
Wewe ungekuwa kibanda umiza wangekuumiza kweli, Mudryk tumetumia ghrama kumpora halafu uje kwenye jukwaa kutuambia angeenda Arsenal na kufanya ujenzi woote unaofanyika bure
Hela umetoa wewe bhana? Yaan tuue kipaji chake kisa ametolewa hela, fact akiendelea kucheza na matakataka, tutamuua kipaji chake. tuko hapa.

Hapa ni kocha kumchezesha na wachezaji wenye hadhi yake, sio hao hakina Joghino.
 
TUSIROGWE KUMUUZA ZIYECH,,,,,WOTE WANAOSEMA ZIYECH NI AVERAGE PLAYER HAWAJUI MPIRA

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Acha kumtukana hazard,acha kuwafananisha mara moja wote tunawapenda

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…