Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,827
- 236,131
[emoji23]Nakuhakikishia hawatufungi hawa mambwiga,
Nimetundika daluga, miaka mi5 iliyopita, nikitafuta wale mafundi wenzangu, tukapiga jalamba la nguvu, wiki 3 tu zinatosha, ya 4 tunaanza kuwasikiliza wao, hata wakituamsha ssaa 8 usiku kwa kutushitukiza hawatufungi ng'oo
Yaani mie nikasirike nile winga ya kushoto ndio babu masulupwete anizuie, niamue kucheza 8/10 pale kati natamba mimi tu, napiga pasi makkah huku naangalia madina.. Napiga pasi mtwara macho yanatizama kigoma mwisho wa reli. [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikikumbuka kuna raia hapa walikuwa wanamtetea pota kuwa ni kocha mzuri aisee nachoka
Alimsemaje?Wa kwanza ni Jorginho, yaani mimi simpendi Jorginho kabisa pale alivyomsema vibaya TT
Hivi haya yana andikwa na Lembu au mtu mgine, mtu alie kua an mtetea potter kwamba ana project ya miaka 5 eti sisi ni plastic fans. Nili wambia tutanena lugha moja. Potter ni mzuri ila hawezi Chelsea ni timu kubwa kwake, huo ndo ulikua msimamo tangu awali. Jama hana uwezo wakusoma mchezo haraka na kuditect threat iko wapi na kuifanyia marekebisho haraka kama top coachesHivi wachezaji wa Chelsea ni wabaya kiasi cha kocha kushindwa kuwainua viwango vyao hata kidogo?
PEP alipokuwa na magarasha pale city mwaka wake wa kwanza tu alishika namba 3
Nyumba inayojengwa na mhandisi mbovu hata ikipewa muda haitakuwa nyumba bora
Maoni yanaenda yakibadilika, hata hivyo bado hujawa mshindi kwa sababu waajiri bado wana imani na Potter. Akitimuliwa ndipoo tutakupa kikombe cha ushindiHivi haya yana andikwa na Lembu au mtu mgine, mtu alie kua an mtetea potter kwamba ana project ya miaka 5 eti sisi ni plastic fans. Nili wambia tutanena lugha moja. Potter ni mzuri ila hawezi Chelsea ni timu kubwa kwake, huo ndo ulikua msimamo tangu awali. Jama hana uwezo wakusoma mchezo haraka na kuditect threat iko wapi na kuifanyia marekebisho haraka kama top coaches
Halaf tunakalia na kina Havertz,Auba ujinga kabisa huu, ngoja tuone Board na Potter wataamuaje.Wanataka wamtoe Fofana mkopo ili wamsajili striker kwa wakati Fofana ni mzuri
Johinho ni kirusi ,ni Alonso wa kimya kimya mpuuzi yuleWa kwanza ni Jorginho, yaani mimi simpendi Jorginho kabisa pale alivyomsema vibaya TT
Baadhi ya player hawana future hasa hasa wale wanaopokea pesa nyingiChelsea fans naona Felix mnamchukua but najiuliza squad yenu mtaipangaje pangaje?maana mnajaza tu players kama Nottingham Forest