Ukitaja mwaka 1999 nakumbuka treble (UEFA Champions League +English Premier League +FA Cup).Mourinho ni too defensive sio rahisi kumfunga Man United goli tano,nafikiri unakumbuka game ya kwanza.
I blv in Chelsea msimu huuuu Nouma kweli
nimefikisha ujumbe tu,u can fool some pple some time but not ..........Uwe na adabu hata kama hatujuani. Umri wangu wa ushabiki unatosha kuwa na rekodi za kutosha:Nimekuwa mshabiki wa Chelsea tangu wakati wa Glenn Hoddle; kama wewe ni shabiki wa la liga kwa nini uumize kichwa kwenye thread yetu?Inaonekana unatushabikia: Itajulikana tu twendelee na safari.
nimefikisha ujumbe tu,u can fool some pple some time but not ..........
Mourinho alishindwa kufungwa na Furgerson ndo afungwe na huyu albino
Mourinho alishindwa kufungwa na Furgerson ndo afungwe na huyu albino
Punguza ushabiki maandazi kama hujui ni bora kukaa kimya.Morinyo ameshafungwa na Ferguson
J2 ndo inakaribia Mourinho atakapozidi kuonesha ufundi wake na ubora wake!
Kaka umepotea sana, duuh karibu "tupange" mikakati ya ushindi wa jumapili hapa hapa jukwaani.
Kwa upande Wa kikosi atakachopanga Jose haina shida apange chochote ingawa kumeanza kua na uelewano Wa karibu sn na kufahamiana kwa ukaribu sn kwa kikosi hichi ambacho amekua anakipanga Mara kwa Mara na kukifanyia mabadiliko kidogo!
Walinzi Wa penbeni aanze Colly na Azz kwasababu Ivanovic bado hajawa fiti!
Beki za Kati Terry na Cahill waanze alafu Luiz akae Sub kabisa siku hiyo tusije tukaumiza Beki Wa kati siku hiyo ikawa shida!
Then viungo Wa Kati Obi na Ramirez na Lampard ndio waanze.
Then Willian na Hazard na Eto'o wanapaswa kuanza.
Kipa ni Cech.
Sub:
Essien, Oscar, Luiz, Torres, Schuller, Betrada, Mata na Kipa mmoja.
Akipanga hivi Jose lazima Man Utd apigwe!
Chelsea ni kama jogoo la shamba,haliwezi kuwika canet de mar,linyola,arenys de mar,la pobla de segur,terrassa,sabadell wala samasotro.Tumekutana JF, ukishindwa kuamini post zangu nenda kwenye thread inayokuhusu; usijaribu kuleta arguments ambazo hazina msingi wowote hapa; leave us alone: Yes, We are The Champions!
Safi sana; ila kwenye gemu kama hiyo Oscar #11 lazima aanze.