Sweta LA Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 902
- 2,838
duuuhLeicester city walimnunua Kante kwa Euro mil 8 2015 akwapa EPL title
Chelsea wakamnunua Abdulrahman Baba kwa Euro mil 26 wakaishia nafasi ya 10 kwenye ligi
Poor scouting team poor signings
Raphinha saga version 2.0Nimemcheki Mykhailo ambao Arteta anamtaka yuko vizuri sana
We fikiria Chelsea tukam hijack aje darajani halafu line up ikawa hivi kule mbele
- Anakaa na mpira sana
- Ana stamina
- Aanajua cha kufanyia mpira
- ni mfungaji mzuri
- ni mtoaji mzuri wa assists
- ana mbio
- pace kubwa
------------------Datro Fofana------------------------
Mudryk -----------------Nkunku ---------------- Sterling
AU
------------------Datro Fofana------------------------
Mudryk -----------------Mason Mount ---------------- Nkunku
Chelsea tuna poor scouting, marina na wenzake kwa kiasi flan wameturudisha nyuma tho tulishinda cups ila kuna mda wamezinguaLeicester city walimnunua Kante kwa Euro mil 8 2015 akwapa EPL title
Chelsea wakamnunua Abdulrahman Baba kwa Euro mil 26 wakaishia nafasi ya 10 kwenye ligi
Poor scouting team poor signings
unataka kusemaRaphinha saga version 2.0
Una maana hijack ya mchezaji mwenye mapenzi na timu nyingine. Yule dogo anachotaka ni Premium League na kucheza kwenye timu kubwa. Ngoja aje Chelsea utaona atakavyokuwa anaimwagia masifa kibaoRaphinha saga version 2.0
Yeah, TT aliwakuta Rudiger, James na Kante wakiwa fitThomas Tuchel's katika mechi 10 Premier League za mwanzo kama Chelsea head coach:
6 wins
4 draws
0 defeats
11 goals scored
2 goals conceded
Graham Potter's mpira 10mechi za Premier League kama Chelsea head coach:
4 wins
3 draws
3 defeats
11 goals scored
10 goals conceded
[emoji390] @CFC_ChelseaFCView attachment 2469517
Sisi wenyewe tunataka city ashinde. Kwa leo akishinda chelsea sitafurahia kama atakavyoshinda city.Mna Hali mbaya Sana blues,,,, !
Kwa pressure ya Gunners, city Hana Cha kupoteza leo, juzi hapa alidrop point kwa Everton,,, !
tutafute mchezaji mwngine
huyo dogo tuachane nae tayari anaipenda arsenaljino kwa jino na Arsenal kwa Mykhailo