OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Vilio vya nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka ambao arse8 walikuwa vizuri sisi chelsea tulikuwa vibaya mnoo, angalia msimu ule tunamaliza nafasi ya kumi uko, arse8 alimaliza nazani nafasi ya pili au tatu hivi ..baada ya hapo akaja Conte akafanya kweli. Ivyo msimu ujao naamini tutakuwa na timu bora kabisa ya kusumbua misimu minne au mitano ivi epl.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Na wewe pia vijana leo wasituangushe kabisa tufungue mwaka kibabeHERI YA MWAKA MPYA 2023, THE BLUES.
Huyu si moja Kwa moja first team au?Exclusive.
Chelsea wamefikia makubaliano na Monaco juu ya Usajil wa Benoit Badiashile kwa ada ya €38M.
Source-David Ornstein
Yeah moja kwa moja first teamHuyu si moja Kwa moja first team au?
Shida ya chelsea huwa wananunua wachezaji, halafu hutakaa ukamuona huyo mchezaji akicheza. au anatolewa kw mkopo kbs mwisho wa siku wanawauza kw bei ile ile, sasa unajiululiza wanawanunua wa nini.Exclusive.
Chelsea wamefikia makubaliano na Monaco juu ya Usajil wa Benoit Badiashile kwa ada ya €38M.
Source-David Ornstein
Shida ya chelsea huwa wananunua wachezaji, halafu hutakaa ukamuona huyo mchezaji akicheza. au anatolewa kw mkopo kbs mwisho wa siku wanawauza kw bei ile ile, sasa unajiululiza wanawanunua wa nini.
Namuna ya kuwapakua 😅😅😅Humu mnajadili nini cha maana?
Vipi anatolewa kwa mkopo au anapenda kwenye first team directly
Kidgo tunasajili vizr pesa kias si mapesa mengi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mende na Kalabai lake ndio sababu ya Senegal [emoji1211] kusosomekwa goli 3 na mabeberu.
Nyie Mburkenge michezaji yenu ndio chanzo cha matatizo yote ya bara la Afrika kenge maji nyie.