juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Naona mara nyingi sana sajili za pesa kidogo ndio huwa zinatulipa sana, hizi za pesa nyingi mara nyingi tumeishia kupigwa za usoWale WA pauni nyingi waliinunuliwa na Chelsea sina hakika km tumenufaika nao Sana zaidi ya kuishia kuflop au wanashindwa kudeliver km tulivyoexpect..Bora sajili za design hii hapa Chelsea nawapa big up
Hapa ndio kazi ya scout inapoonekana sasa sio kukaa kila siku tunakimbizana na majina makubwa.Unaweza ukakuta wachezaji kama hawa ndio wanakuja kulipa kuliko wale wa Mil 100. Ana miaka 19 tu na kashafunga magoli 21 na assists 7 msimu huu na bado haujaisha. Atakuja fuata nyayo za Didier Drogba
View attachment 2447747
View attachment 2447749
Huyo Nkuku kwa hizi kenge za darajani anaenda kua another Lukaku.Mchezaji wetu msimu ujaoView attachment 2449828
Mkuu Mbona una dalili za uchawi kabisa[emoji23]Huyo Nkuku kwa hizi kenge za darajani anaenda kua another Lukaku.
huyu tatizo umriChelsea na Newcastle wanamgombania kiungo wa Florentina na timu ya taifa ya Morocco, Sofyan Amrabat
We inzi badala ya kuamkia dampo unakuja kutuletea kinyaa hukuNyie kenge hivi mnajua kua jumatatu ijayo Epl inaendelea?
Msijifanye mmesahau mateso yako palepale na hakuna wa kuwafariji.
🤣🤣🤣🤣🤣We inzi badala ya kuamkia dampo unakuja kutuletea kinyaa huku
bad newsTunarudi EPL huku tukiwa na majeruhi 9
Chelsea na Leeds United ndio wanaoongoza kwa majeruhi EPL