Tangu lini mtani akasaidia mawazo. Kununua lazima tuingie sokoni na bado tutampa potter azoeane na wachezajiPotter anamdharau kivip, Wakati Huyo dogo kapewa nafasi Jana ? Unadhani Tuchel angekuja kumpa nafasi? Yule dogo mzuri ila anahitaji mech nyingi awe mzoefu, Zile chances mbili akiwa mzoefu anafunga bila shida Kama uliziangalia vizuri
Potter atawapa nafasi vijana ,tatizo mnampa presha Sana, kamsikilize Pep alichosema kuhusu Potter ,
Kwasasa Chelsea sio kununua tu ndio suluhisho tumeona summer mmespend £300m lakin wachezaji hawaendan kabisa ,
Potter anaonesha ana staili yake ya uchezaji hivo most of players hawafiti hivo lazima aletewe wengine ,na Yule dogo Lewis kwa nilivyomuona Jana anaweza kuanza kupewa nafasi
Majeruhi mlionao mnaodai Ni mapengo makubwa Ni wawili au watatu, mnatakiwa mkubaliane Kante,Kova sio Tena wakuwategemea ,kova anacheza mech 2 injury, Kante haihitaji kumuelezea ndio maana hata mkataba wa miaka miwili hawez kupewa.
Haya ngoja tuone ,muda Ni mwalimu mzuriTangu lini mtani akasaidia mawazo. Kununua lazima tuingie sokoni na bado tutampa potter azoeane na wachezaji
Tutanunua experience players kuziba nafasi zinazopwaya
Tutanunua pia academic kwa ajili ya kuja kujenga jeshi la baadaye
Wewe ndie mbishi kwa sababu kikosi cha preseason na hiki ni tofauti. Huwezi kumhukumu Sterling wakati kikosi kina majeruhi wengi 7/8. Pia huwezi kuhukumu nyumba wakati bado inajengwa, Ngoja mjenzi amalize halafu ndio mje na fitina zenu za kishabikiHaya ngoja tuone ,muda Ni mwalimu mzuri
Kipind Cha preseason ulikuwa mbishi Sana nilipokuwa nasema Kuhusu hiki kikos chenu Cha kina Sterling , na wazee kina kolibali,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaah kumbe yule mswahili ni Koloboi Kalabai halafu mmeuchuna kimya.Hivi ile free kick ya Mahrez yule mswahili aliyesimama kama mstimu pale ni nani mpaka mpira ukapita juu ya kichwa yake bila hata kujitingisha?
Cucurela alikuwa anapiga dua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaah kumbe yule mswahili ni Koloboi Kalabai halafu mmeuchuna kimya. View attachment 2413144
Anapiga dua au anaimarisha ulinzi kwenye phumbu zake?Cucurela alikuwa anapiga dua
Mchezaji wa £62m huyuAnapiga dua au anaimarisha ulinzi kwenye phumbu zake?
Watu wakipiga dua hua wananyanyua mikono juu, dua gani mtu anapiga huku mikono yake yote miwili ameshikilia bandama.View attachment 2413386
Pep alisema huyu mchezaji mwisho Bei yake ni £40m ,Tena hapo umepigwaCucurela [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2413395
Huyu ni takataka tuMsikie jamaa anavyosema - Loftus-Cheek
"I am comfortable anywhere on the pitch," he says, "but I have always been a centre-midfielder. I can affect the game with my physicality most there, when I am able to get up and down in both boxes."
Kama akianza na kesho lazima TUNAPIGWA TENA. simkubali kabisa huyu jamaa.
Ruben Loftus-Cheek amecheza michezo 13 akiwa na Potter, statistics zake ni mbaya kupita maelezo.Msikie jamaa anavyosema - Loftus-Cheek
"I am comfortable anywhere on the pitch," he says, "but I have always been a centre-midfielder. I can affect the game with my physicality most there, when I am able to get up and down in both boxes."
Kama akianza na kesho lazima TUNAPIGWA TENA. simkubali kabisa huyu jamaa.
Wafuga makalio wanapenda kukumbatia wanaumeCucurela [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2413395
Hayo yote ulio chambua ni tactical ya na sababisha kutokua na mualimu sahihi, najua inaumuza lakini tuseme ukweli hapo hatuna kocha first class anae endana na hadhi ya CFC, aliopo ni mediocre kocha wa midtable team, anajificha kwenye project au process jambo ambalo ni uongo, the man is clueless you wll believe me later, kwasbb ni lazima afukuzwe ili Chelsea isonge mbele.[emoji382]Baada ya kipigo cha juzi cha kufungwa goli mbili ndani ya dakika 5 kutoka kwa Mancity ni rasmi sasa Chelsea hatujapata ushindi kwenye mechi 5 mfululizo za ndani(domestic) na tumefungwa mechi zote 3 mfululizo za mashindano yote ya ndani.
[emoji381]Aibu kubwa Zaid ni kuwa katika mechi zote 5 mfululizo za mashindano ya ndani siyo kutokupata ushindi tu, ila ni kufungwa jumla ya magoli 8 huku sisi tukipata goli mbili tu, na mchezaji wetu mwenye magoli mengi ni kai Havertz mwenye magoli 3 tu ya ligi huku tangu ligi ianze kwenye Epl hadi sasa ana offside nyingi kuliko shoot ontarget alizopiga, offside anazo 12 na shoot ontarget kapiga 11 tu.
[emoji382]Tangu Edouard Mendy arudi kafungwa jumla ya magoli 5 kwenye mechi 4 na Chelsea ndo timu iliyosajili mabeki kwa pesa nyingi katika dirisha la usajili lililopita kuliko timu zote za ulaya, Bado naendelea kumfatilia Cucurella tuliemsajili kwa £62Million lakini kabla sijasema chochote naona kazi kubwa anayoifanya Zaid kwa ufasaha ni kukumbatia wachezaji wa timu pinzani.
Moreover mimi siyo mchambuzi wala sijui kuhusu mpira ndio maana siwezi kuongelea timu yoyote ila inanibidi niseme kama muwakilishi wa familia hasa katika kipindi hiki ambacho ndugu zangu hawana nguvu ya kusema chochote
Nasema uongo ndugu zangu? Basi mniombee.View attachment 2413879
Kuna rafiki yangu shabiki mwenzangu aliwahi kusema hapa kwamba Loftus-Cheek ni mzuri kuliko Jota wa Liverpool, ni lishiwa nguvu kwa jama yangu loh!!!!! Yule jama ni kiazi mno mpira wa Mancity alipangwa kua wingback lakini hakuweza kuenda mbele hata mara moja mpaka Azzippe alivyo ingia ndo tukaweza kupanda.THE BLUES NA PROJECT UCHWARA
1. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)
2. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)
3. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)
4. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira
5. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga
6. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge.
7. Kante - Majeruhi Yasioisha
8. Kovacic - Majeruhi Yasioisha
9. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara
10. Pulisic - Mtumishi hewa
11. Ziyech - Tumeshindwana
12. Harvetz - Tunapotezeana muda
13. Zakaria - Tatizo la kutokuwa ma mechi fitness
14. Silva - Mzee