Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Kubali tu kila mtawala na watu wake mkuuu mbona unaendelea kupiga kelele na TT mkuu nyakati zake zimepita na inabidi usahau sa mkuu leo hii si utatamani kwann Drogba na harzad waliondoka au kustafu soka kwa Drogba muda wa TT AMetumika kama mtumishi muda wake umekwisha GP Nae atapita kila mtu muda wake utapita KUBALI MKUUUWakati Tuchel ndani ya misimu miwili kashinda international cups 3 ,na kaingia fainali mbili za mashindano ya ndani .
Huyu jamaa ilikuwa mistake Sana kumfukuza and we shall retreat this , nimekuwa nikisema hili Halafu ukiangalia jamaa culture ya timu ilikuwa imemkubali ,nikikumbuka kipindi kile timu ina majeruhi halafu timu imepigwa sanctions ,pesa zimekuwa frozen ,jamaa anatoa kauli publicly kuwatia moyo wachezaji na mashabiki .
Thomas Tuchel alikuwa mtu sahihi kwa Chelsea ,kumuondoa ilikuwa big mistake aisee na itatucost Sana .
Huyu yankee cowboy Todd anadhani kuendesha football club ni sawa na kuswaga ng'ombe kwenye raches .
Hahahahaha ..........Havertz ikibidi afe kabisa
Litimu lako lishabondwa viwili hukoKubali tu kila mtawala na watu wake mkuuu mbona unaendelea kupiga kelele na TT mkuu nyakati zake zimepita na inabidi usahau sa mkuu leo hii si utatamani kwann Drogba na harzad waliondoka au kustafu soka kwa Drogba muda wa TT AMetumika kama mtumishi muda wake umekwisha GP Nae atapita kila mtu muda wake utapita KUBALI MKUUU
Ni vigumu kurudi tukiwa imara tukiwa na average kocha mwenye mentality ya midtable timu, huwezi kuniambia timu ilio fika robo fainali ya European champions league na baadhi ya wachezaji wale wale mwaka jana, kwamba ina hitajika kujengwa upya, hapana hiyo timu ni ya kuendeleza tu, ukiwa na kocha sahihi, huyu jama wetu wasasa hana uwezo wa top timu kama ChelseaTunapitia wakati Mgumu kweli kweli. Ila naamini tutarudi tukiwa imara.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mmekalia nafasi isiyo yenu, subiri world cup ianze na kumalizika , mtarudi kwenye default position yenu
Nyie nafasi yenu ni ya saba huko
Huyo si mwingine bali ni chalii ya Arusha OllaChuga OcView attachment 2411928
Saint Anne umetoa pole kwa jirani zako hadi wanabomoa vibanda umiza huko πππ
Msimlaumu,jamaa ameiokota timu njiani ikiwa hoi.Ni vigumu kurudi tukiwa imara tukiwa na average kocha mwenye mentality ya midtable timu, huwezi kuniambia timu ilio fika robo fainali ya European champions league kwa baadhi ya wachezaji wale wale mwaka jana, kwamba ana hitajika kujengwa upya, hapana hiyo timu ni ya kuendeleza tu, ukiwa na kocha sahihi, huyu jama wetu wasasa hana uwezo wa top timu kama Chelsea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kocha wenu ni mbongo movie.Kinacho umiza ni kwamba potter ajifunzi kutokana na makosa yake ya nyuma, tunafanya same mistakes again and again, nakupata mitokeo yale yale, zawadi tunao weza kupata ya mwaka mpya kwa wana blues ni habari za kufukuzwa huyu chuck noris aende Hollywood, jama ni clueless.
Timu elimalizia kwa nafasi ya tatu katika epl mwaka jana ikacheza fainali mbili ya FA na Carbao ikafika robo fainali ya champions league....CFC ni kubwa kuliko Harry Potter huyu jama mentality yake ni timu ndogo zilio zoea kushindwa kila metchi, mwaka jana City tulimfunga home and a way.Msimsaumu,jamaa ameiokota timu njiani ikiwa hoi.