Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Ngolo Knate kaumia tena mazoezini hata bila kuja kucheza
Huyu auzwe tu, Chelsea sio wodi ya majeruhi
Naye ni nyundo mkononi ,Ila nahisi benchi la afya pale Chelsea kuna shida mahala , ina Maana wameshindwa kudeal na frequently and prolonged injuries za hawa watu Kante ,James ,kovacicHuyu james nae ni jipu jingine, sio mchezaji wa kumtegemea
Dah utasikia na Kovacic naye kaumia ! Halafu sasa hizi ndio huwa engines za timu ya Chelsea Kwa misimu hii miwili mitatu sasa , na ukiangalia hata msimu uliopita tulipoteana baada ya kustruggle na injuries za hawa watu Kante ,Kovacic ,James na ChillwellHatima ya Kante na James itajulikana wikiendi hii. Maamuzi ya kwamba atakaa nje muda gani bado kutolewa ila tu injuries walizopata ni mbaya sana hawatarudi hivi karibuni. Mungu epusha Chelsea na majeruhi zaidi
Hivi wakuu , Yule jamaa cucurella hawezi chezeshwa kama LWB ule upande WA James ? Au yeye ni RWB TuUpande kushoto tumecover vizuri kwa Chilwell n Cucurella
Sasa huku kulia bila James nani ataziba
Neither Azp Nor Loftus Cheek sio wakuwategemea kila mecho
If kuna uwezo tutafute dogo mzuri huko academy anaeweza kucover,
Umechanganya sanaHivi wakuu , Yule jamaa cucurella hawezi chezeshwa kama LWB ule upande WA James ? Au yeye ni RWB Tu
Basi epl nzima madokta wabovuNaye ni nyundo mkononi ,Ila nahisi benchi la afya pale Chelsea kuna shida mahala , ina Maana wameshindwa kudeal na frequently and prolonged injuries za hawa watu Kante ,James ,kovacic
Anadhani ulaya ni kama africaBasi epl nzima madokta wabovu
Kila Timu epl nyingi Zina injuries Zile sugu
City Kuna Walker,stones hao piga ua Ni injury prone
Man u Kuna Martial , alikuwepo Erick Baily ,
Arsenal Kuna PARTEY
Liverpool Kuna matip,Thiago,keita,ox
Je wote hao madokta wanashida?
Kuna vitu haviepukiki
Sana umeongea point kubwa sanHuyu james nae ni jipu jingine, sio mchezaji wa kumtegemea
Tumia tweeter ,download app ya tweeter au tumia browser kuna hizi accounts huwa zinarusha games za epl na Uefa cahmpions league live bila chenga ,Naomba app/link ya kuangalia EPL KONDE TV imenigomea.
Hata WC hatashiriki, tukutane January 2023
Huyu Caicedo ndio namjua vizuri. Nadhani Potter hawezi kukubali mchezaji wake aende kwingineTumsajili Moisés Caicedo au Edson Alvarez January hawa tutawapata kwa bei poa tofauti na Declan Rice wame mdecorate sana
Litakua ni kosa la karne Pulisic kuanza halafu Mount aanzie benchLeo tunacheza hivi na Aston Villa
3421
-------------------Auba------------------------
Sterling ------------------------------------Pulisic
Chilwell ------Kovacic -----Jorginho ----- Azpilicueta
-----Koulibally ---------Silva--------Chalobah -----
-------------------- Mendy -----------------------
Expected results - Chelsea win 4-1