Wote tunasikitika kwa mwisho mbaya wa Ngolo Kante, Kafanya makubwa sana Chelsea na atabaki kwenye vitabu vya historia. Ila sasa tukubaliane tu kwamba Kante basi, anayebisha haitakii Chelsea mema, Akipona tena anarudi miezi sita. Miaka 31 na kwa style ya uchezaji wake tutegemee injuries zaidi na zaidi huko mbeleni.Kante atakuwa nje kwa kipindi cha miez 3.
Hizi habari zinaweza kuwa za uongo, Kocha kwenye press cofrence alisema bado ataonana na consultant wikendi hii ili kujua undani wa tatizo. Yeye alikoment tu anaweza kukosa mechi 4 hadi 5Sasa nimeelewa kwann hamtaki kumpa mkataba Mwingine, huyu jamaa KATUMIKA Sana , bila kupumzika toka 2015 Leicester
Get well soon Kante
🚨🚨 BREAKING: N’Golo Kante is OUT for three months with a hamstring injury.
He will miss the World Cup!
(Source: @David_Ornstein)
Reece James' scan yesterday showed he sustained knee ligament damage, which is likely to rule him out for between six and eight weeks.Daah James week 6, Kante miez mitatu
[emoji599] 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Chelsea midfielder N’Golo Kante will miss the World Cup with a hamstring injury he suffered in training, which is expected to rule him out for around three months.
The midfielder, whose contract expires in the summer of 2023, suffered a fresh injury setback in training and is set for an extended period on the sidelines.
Chelsea declined to comment, pending the player seeing a specialist.
[emoji821] David Ornstein - The Athletic
Sent using Jamii Forums mobile app
Reece James' scan yesterday showed he sustained knee ligament damage, which is likely to rule him out for between six and eight weeks.
[emoji821] Sami Mokbel - Daily Mail
Sent using Jamii Forums mobile app
Graham Potter ni kocha mzuri ila shida ni awa wachezaji wetu wengi wavivu hawataki kujituma. Kipaji cha Pulisic na Odoi wangekua mbali sana ila ndio ivyo wavivu. GP atawapa nafasi ila kama hawatajituma bado watabaki kuwa walewale tuliowazoea.GP anawapenda sana young age na anajua namna ya kuwainua viwango vyao. Sidhani kama Pulisic atawekwa nje ya plan za GP. Unaweza ukashangaa akina Callum Hudson Odoi, Levi Colwill. Ethan Ampadu wote wakabakizwa msimu ujao. Kizuri kwa Pulisic ni kwamba anayo speed na ana uwezo wa kudrible. Stayle ya mashambulizi ya Tuchel ndio ilimpoteza Pulisic. Mbona wakati wa Kampard alikuwa anaenda vizuri?
Tumpe muda angalau msimu huu utaona nafasi chache atakazopewa kwa style hii ya GP ataboresha kiwango chake. Na hizo dalili zimeshaonekana. Na pia nilipenda kauli zake za mwanzoni mwa msimu aliposema atabakia Chelsea kupambania nafasi yake. That mentality is very good in football. Tofauti na Ziyech aliyejawa na hasira ,,kuktaa tamaa na kulalamika. Ziyech sijui anamgomea nanai. Akipewa muda hapambani kabisa na ZIyech ni bonge la mchezaji.
Hadi jtatu itafahamika, anategemea kukutana na mtaalamu wikiendi hii na uamuzi ndio utachukuliwa kama atafanyiwa surgeryAnaingia surgery?
Hizi habari bado not confirmed jamani, sources za uhakika hazijasema loloteDaah James week 6, Kante miez mitatu
[emoji599] 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Chelsea midfielder N’Golo Kante will miss the World Cup with a hamstring injury he suffered in training, which is expected to rule him out for around three months.
The midfielder, whose contract expires in the summer of 2023, suffered a fresh injury setback in training and is set for an extended period on the sidelines.
Chelsea declined to comment, pending the player seeing a specialist.
[emoji821] David Ornstein - The Athletic
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatima ya Kante na James itajulikana wikiendi hii. Maamuzi ya kwamba atakaa nje muda gani bado kutolewa ila tu injuries walizopata ni mbaya sana hawatarudi hivi karibuni. Mungu epusha Chelsea na majeruhi zaidiReece James' scan yesterday showed he sustained knee ligament damage, which is likely to rule him out for between six and eight weeks.
[emoji821] Sami Mokbel - Daily Mail
Sent using Jamii Forums mobile app
Dk ya 90 ndio on target ya kwanza ilipatikana kupitia Origi na wala sio HTAfadhali ht AC Milan wamepata shot on target, mana tungeshtakiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kimchezo
Kocha mkuu wa Chelsea ya wanawake Emma, hatofundisha timu kwa muda
View attachment 2386083