FA haitaweza kuvumilia la Haaland kudhalilisha (humiliation) ya league yao kiasi hicho........hizo goal za "tap in " sio ni kufanya epl kama league ya wakulima 3hatrick in a row haijawahi kutokeaThree hatrick in a row for Haaland
Huyu Haaland ni wa kumfunga minyororo miguuni
Ila nilichoona, magoli anayofunga ni ordinary na City wamejua naman ya kumpelekea mipira, ofcourse angekuja Chelsea angesota sana kama akina Timo na Lukaku na wengineo
Njia rahisi ya kumzidi city ni kuifanya city a benchmark kwa kila idara, mbali na hapo ni kupoteza pesa na mudaKama Pep ataendelea kubaki EPL, basi Chelsea inaweza kuchukua hadi miaka 5 kuchukua kombe la EPL mbele ya ubora wa city.
Anawaonesha madogo kai na mwenzake mount nini kiunngo unatakiwa ufanyeHivi Silva alikuwa anatafuta nini Golini wakati hata mashambulizi hayakuwepo. Kwa maana James wakati anafikria apige mbele au arudishe pasi nyuma tayari Silva alishajaa kule mbele kabisa
Kuna mashabiki wengine wamevamia kwenye soka kwa bahati mbaya madhara yake ndio hayoMkuu dah kuna watu wengine jau[emoji23][emoji23]
Sio ajabu tukianza fanya rebuilding, tusajil kwa mfumo tunaotaka kutumia na siilimradi tuonekane tunasajil.Njia rahisi ya kumzidi city ni kuifanya city a benchmark kwa kila idara, mbali na hapo ni kupoteza pesa na muda
Idara hizi saba lazima tumatch na city na kuboresha kutoka hapo
Katika hizo idara tukiwa below city pecking order basi ni ngumu kumzidi
- Makocha
- Makipa
- Ma-CB
- RB/LB
- Viungo
- Wingers
- Striker
Uko sahihi ila sisi tukishakuwa na mfumo lazima wachezaji waadapt kwa sababu ndio tunaanza. City mfumo unaeleweka, wachezaji wachache wanaoongezwa wanachukuliwa kulingana na uchezaji wao unaofit kwenye mfumo wa PEPSio ajabu tukianza fanya rebuilding, tusajil kwa mfumo tunaotaka kutumia na siilimradi tuonekane tunasajil.
City wachezaj wao wote wanaowasaji unaona kabisa wakiingia kwenye tim wanaadapt mapema hakuna yale sijui bado mgeni wa mazingira .
Ukimuangalia Akanj jins anavyocheza utasema anamisim hata 2 city kumbe ndio kwanza hata game 4 hajafikisha ila unamuona kabisa mchezaj ameshaadapt mifumo ya tim.
Sisi huku, hatujui tunacheza kwa mfumo upi or style ipi ya uchezaj tunayoitumia,,
Hopeful Potter ataweka style/mfumo wake wa uchezaj
Acha hofu na nadhariaPep alishaletewa mchezaji pale CITY ambaye ni chaguo la tajiri sio chaguo la Pep?
Chelsea tuna matatizo sana kwenye swala la usajili na sio limeanza tuu kwa BOEHLY bali tangu enzi za Roman.
CONTE alimtaka Lukaku akaletewa Morata.
Ni wachezaji wachache sana THE BLUES walisajiliwa kwa matakwa ya kocha.
This time tumepata wamarekani masifa ndio hobby yao.
Juzi niliuliza huu usajili wa Nkunku ulikuwa usajili wa TT alioupendekeza au ni wa Potter au BOEHLY
NB:-
1. Hatuna Sporting Director
2. Hatuna Technical Director
3. Head of Scouting team alitimuliwa
Punguza hofu na nadharia Mzee,Todd Boehly na TT hawakuwa wanaelewana kwenye mambo mengi
Suala la shared vision kama sababu ya kuachana ilikuwa ni kisingizio tu
Baadhi ya tofauti zenyewe ni
- Boehly alimtaka Ronaldo, TT hakumtaka tena alisema waziwazi kwenye media - Boehly hakulipenda hilo
- TT alimtaka Fofana afanyiwe medical test London ili ajumuishwe kwenye timu haraka, Boehly alikuwa na plan tofauti ya kumpeleka Fofana Marekani - TT hakulipenda hilo na alikasirika waziwazi
- TT alimsifia Marina na kumuita ni Director mzuri kwenye media - Boehly alichukia kuona Manager wake yuko upande wa Marina ambaye hakutakiwa tena kwenye bodi ya Chelsea
Kwa maoni yangu
- Boehly alisema kule Marekani, unapochukua biashara lazima uwe na uhakika kwamba uko pamoja na watu wanaoendesha hiyo biashara
- Lengo letu ni kumtafuta kocha ambaye yuko tayari kushirikiana na sisi
- Kuna KUTA nyingi zinazotakiwa kuvunjwa pale Chelsea
- Kabla ya hapa timu kuu na academy hawakuwa wana mfumo wa taarifa shirikishi yenye kueleza wachezaji muhimu wanatokea wapi
- Ukweli ni kwamba hatukuwa na uhakika kama Tuchel aliona kile tunachokiona sisi
Boehly akiendelea kuwa dikteta kwa viongozi technical wa timu kama sporting director ajaye, kocha na wengineo, Chelsea itaharibiwa na itaishia kuwa mid table timu.
Nasema hivi kwa sababu Mmiliki anayeingilia kati maamuzi ya technical people itafanya Chelsea ikataliwe na very important staff and players
Dalili hizo zimeshaanza kuonekana
Fuatlilia Saga la Sporting Director wa RB Salzburg, huyo bwana ameoan mbali, akafikiri akawaza kuwa akikubali ofa ya Boehly hata kama ni nzuri atakuja kumfanywa boya wa kutekeleza matakwa yake na hivyo kumharibia jina
So akaona better kubaki huko Salzburg ambako anapewa uhuru wa kufanya kazi yake
Wekeni haya maoni yangu vizuri, Kocha kama PEP hata akipewa mshahara mara 2 ya pale City hatakubali kufanya kazi na Boehly.
So huko tunakokwenda tutaishia kuwapata watendaji na makocha wa kawaida tu ambao wao lengo lao ni mshara na wala sio kutenda kazi yao professionally
Wengine humu tulishangilia kwa TT kuondolewa lakini nimefikiri nikawaza nikagundua hili nililolisema
Na staili ya wamarekani wengi wanajiona wao wanajua kuliko wengine na ndio maana katika soka la Uingereza wamarekani wengi wanafeli kwa sababu wanajifanya wanajua biashara hii ya soka kumbe hawajui
Sorry Bwana Cash Money Forever hyo quote haikuwa yakoAcha hofu na nadharia
Mkuu tangu Ameondoka Emiliano hatujawai kuwa na DOF, wala Technical Director.Pep alishaletewa mchezaji pale CITY ambaye ni chaguo la tajiri sio chaguo la Pep?
Chelsea tuna matatizo sana kwenye swala la usajili na sio limeanza tuu kwa BOEHLY bali tangu enzi za Roman.
CONTE alimtaka Lukaku akaletewa Morata.
Ni wachezaji wachache sana THE BLUES walisajiliwa kwa matakwa ya kocha.
This time tumepata wamarekani masifa ndio hobby yao.
Juzi niliuliza huu usajili wa Nkunku ulikuwa usajili wa TT alioupendekeza au ni wa Potter au BOEHLY
NB:-
1. Hatuna Sporting Director
2. Hatuna Technical Director
3. Head of Scouting team alitimuliwa