Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Hata gepu la Ng'olo Kante linatugharimu na bado litatugharimu sana na saaana kama hatuko "pro-active" kwa timu zenye mtizamo wa future more than 3/4 years later kiubora.Infact tumechelewa, wakati Hazard anaondoka ndio ilitakiwa tufanye overhauling ya timu lakini, akina Willian, Luiz, gary carhil walitakiwa kufanyiwa replacement na matakataka mengine mengi, sasa hiyo delay ndio inatugharimu
Kwa ubahili wa huyu Boehly tumeshakaa mkao wa kuhama wale tusiopenda presha.Msimu huu haitawezekana, msimu ujao ukiwezekana ni miracle, ligi hatuchezi wenyewe, wakati sisi tunarangaranag na midiocre players wao walikuwa wanajenga timu (Man City na Liverpool) sasa tumeshtuka wamejiimarisha. Tukubali na sisi tupitie phase ya rebuilding na kutofanya makosa tena, Rebuilding haifanyiki overnight. Inahitaji muda nimeeleza 3 aspects to consider
Tuspoheshimu hii phase tutabakia kuwa midtable team na tutaumia sana na mashabiki wasio wavumilivu kuhama
- Kuzoeana kwa wachezaji wapya
- Kocha kujua wachezaji na awatumiaje
- Kuziba viraka na kuwaondo takata na kuwaleta capable players
Kelele kenge wa bluu usiye na kombe hata 1 la UEFA afu unajipitisha pitisha mbele za WANAUME hapa [emoji19]Are you even in a top four?
Mkuu ubahili wa Boehly ni upi? Maana kaspending karibia paund 270M kwa dirisha Moja tu la usajili na bado anataka kuspending dirisha dogo la usajiliKwa ubahili wa huyu Boehly tumeshakaa mkao wa kuhama wale tusiopenda presha.
Maana si kwa kumnyang'anywa wachezaji wengi kiasi kile dhidi ya Barcelona kiboya sana.
Bora wewe useme. I hope match ya AC milan Kante atakuwepo uwanjani.Mzee nahisi unapersonal problem na GP kwa mechi ya leo na muda aliokaa na timu ulitegema miracle gani, at least hata timu inajaribu kutake risk pass, Loftus kuingia kulikuwa hakuna namna Jorginho alikuwa uchochoro wa kufanyia mashambulizi. sio kwamba naiman kubwa na Potter ila kwa mazingira ya leo inaonyesha tatizo kubwa ni wachezaji kuliko hata kocha.
Lukaku angeanguka kabla hata ya kugeuka kupiga ule mpira.Auba ukimpatia Chance anafunga, goal la leo wangekuwa wale viwete wetu mpira ungeenda njee
Ww mwenzetu sijui ni timu gani maana kazi yako ni kupita kila jukwaa na kufanya vuruguHii timu cheltako chelwowowo inashinda kibahati bahati waja laana nyie yatima [emoji23][emoji23][emoji23]
Chilly jana hakutumika ipasavyo. Akipata mpira anarudisha kwa Silva. Hakuweza kupanda na kupiga cross. James naye alibanwa mbaya.Mara nyingi hizi lineups wanazikosea hata kwenye TV live wale warushaji wanataja lineup tofauti kabisa na inayochezwa uwanjani. Huwa wanaguess kulingana na kocha.
Naona leo Potter kaja na 4-2-2-2
Sterling na Mount viungo washambuliaji
Auba na Havertz 2 strikers
Ila Chilwell bado ni mzito kwenye kupasi na hii ni hatari golini. Hapo angemuweka Koulibally
Potter naona hapatani na Kou sijui kamtendea nini
Good argument [emoji106][emoji106]Mzee nahisi unapersonal problem na GP kwa mechi ya leo na muda aliokaa na timu ulitegema miracle gani, at least hata timu inajaribu kutake risk pass, Loftus kuingia kulikuwa hakuna namna Jorginho alikuwa uchochoro wa kufanyia mashambulizi. sio kwamba naiman kubwa na Potter ila kwa mazingira ya leo inaonyesha tatizo kubwa ni wachezaji kuliko hata kocha.
Alicheza kama atacking midfielder ambayo haina tofauti na winga, kocha anachagua formation kulingana na wachezaji anaotaka kuwatumia, kwenye back 4 nadhani alitaka DM wawili, jana Jorginho na Kova walicheza kama DMBe stight forward mkuu uongelee pia kwenye formant yake ya leo 4-2-2-2 alikua analenga kupata matokeo gani? Wakati huo sterling ambae ni top scorer wetu kamficha kati kati wakati yule ni winger naturally... potter ni mzuri ila sio kwa Chelsea
Acheni kukariri aisee, wachezaji wote walioenda Barcelona Boehly alitoa ofa bora kuliko Barca. Wachezaji wenyewe ndio wafia BarcelonaKwa ubahili wa huyu Boehly tumeshakaa mkao wa kuhama wale tusiopenda presha.
Maana si kwa kumnyang'anywa wachezaji wengi kiasi kile dhidi ya Barcelona kiboya sana.
Au angetuliza mpira kwanza, apeleke kulia, amuangalie kipa yuko wapi ndipo ashuti, kule Serie A ndio anafanya hivyo na anakuwa supa star, huku EPL unabanwa mbavu ndani ya sekunde 5 za kufukiria ufanyeje na mpira langoni mwa aduiLukaku angeanguka kabla hata ya kugeuka kupiga ule mpira.
Yaan n sajili hizi kina boehly walizomwaga bado unawaita n mabahili ...kmmk walai[emoji23][emoji23][emoji23]...Kwa ubahili wa huyu Boehly tumeshakaa mkao wa kuhama wale tusiopenda presha.
Maana si kwa kumnyang'anywa wachezaji wengi kiasi kile dhidi ya Barcelona kiboya sana.
Mkuu dah kuna watu wengine jau[emoji23][emoji23]Mkuu ubahili wa Boehly ni upi? Maana kaspending karibia paund 270M kwa dirisha Moja tu la usajili na bado anataka kuspending dirisha dogo la usajili
Huyu mduanzi wa nini? dirisha lililopita si tulikua tunamtaka na alijua kbs tunamtaka ila akasain mkataba mpya.
Huyu mduanzi wa nini? dirisha lililopita si tulikua tunamtaka na alijua kbs tunamtaka ila akasain mkataba mpya.