Yah ! Wafanye hivyo ,hawa akina Kante cova na Jogi Zama zao zimeisha msimu ujao wote waondoke tuanze upya kusuka mildfield , in the mean time tuanze kuwazoesha hawa madogo kulitawala dimba .wapewe muda WA kutoshaChukwuemeka juzi alifunga goli mbili kwenye mechi ya kirafiki kujiweka fit. Nadhani ataanza kupewa dakika za kucheza uwanjani.
Hahaaaa hiyo inaitwa master class ya kiungo mkata kuni Ramires , offcourse jamaa alikuwa mwamba Sana enzi zake pale Stamford bridgeHilo goli ambalo Ramires alimfunga Valdes kwa kuuchop mpira jamaa kalichorea tattoo kabisa
Ramires alikuwa anajua kufunga kukiko hata viungo washambuliaji tulionao sasaHahaaaa hiyo inaitwa master class ya kiungo mkata kuni Ramires , offcourse jamaa alikuwa mwamba Sana enzi zake pale Stamford bridge
Kimpira kuzaliwa Brazil ni zaidi ya baraka. Hebu waangalie hawa kina Vini Jr, Richarlson, Raphinha, Rodrygo, Antony. Huwa namfuatilia pia Pedro kule Lazio mambo anayofanya kama hana miaka 35.Ramires alikuwa anajua kufunga kukiko hata viungo washambuliaji tulionao sasa
Chilwell hawezi ila James anaweza akacheza kama DM, hata Cucurella nazani na Fofana. CB wengi wanaweza kucheza kama DMSikumbuki nilisoma wapi ila katika pitapita zangu mitandaoni niliona kuna mahali wameandika katika hizi mechi za kirafiki Potter kamchezesha Chalobah kama kiungo mkabaji na amefanya nae mazungumzo kuona kama anaweza kumbadilisha position.
Ila Chalobah naona kama Mzito ila sio kama JorginhoSikumbuki nilisoma wapi ila katika pitapita zangu mitandaoni niliona kuna mahali wameandika katika hizi mechi za kirafiki Potter kamchezesha Chalobah kama kiungo mkabaji na amefanya nae mazungumzo kuona kama anaweza kumbadilisha position.
Hii taarifa sielewi kitu kimoja nkunku kasajiliwa teyari ni mali ya chelsea anasubiri msimu uishe ajiunge rasmi na Chelsea au Chelsea walikaribia hatua za mwisho wa kumsajili lakini dili likashindikana kukamilika katika hizi statement nilizoanisha ipi ni sahihi? Wadau nipeni ufafanuzi kwenye hili lembu Cash Money Forever Southern HighlandTaarifa kutoka Ujeruman, zinasema Nkunku alifanyiwa vipimo vya afya mwishon mwa dirisha la usajil vya kujiunga chelsea msim ujao,huku chelsea wakijiandaa kuactivate release clause yake hapo baadae
Hapo kwa Cucurella sawa I hope Benchilwell ndio ataanza namkubali sawa ben over CucurellaPotter Press conference:- Ngolo Kante na Cucurela kesho hawatacheza.
Halafu kumbe sio striker ni kiungo mshambuliajiTaarifa kutoka Ujeruman, zinasema Nkunku alifanyiwa vipimo vya afya mwishon mwa dirisha la usajil vya kujiunga chelsea msim ujao,huku chelsea wakijiandaa kuactivate release clause yake hapo baadae
Ben ni mzuri zaidi ya Cucurela, kilichokuwa kinamuweka bench ni fitness yake bado haijapandaHapo kwa Cucurella sawa I hope Benchilwell ndio ataanza namkubali sawa ben over Cucurella
Hizo ni tetesi, ukweli bado hauko waziHii taarifa sielewi kitu kimoja nkunku kasajiliwa teyari ni mali ya chelsea anasubiri msimu uishe ajiunge rasmi na Chelsea au Chelsea walikaribia hatua za mwisho wa kumsajili lakini dili likashindikana kukamilika katika hizi statement nilizoanisha ipi ni sahihi? Wadau nipeni ufafanuzi kwenye hili lembu Cash Money Forever Southern Highland
Kwasasa fitness yake imerudi wewe si umeona alichofanya dhidi ya newcastle kilichobakia ni kuaminiwa tuBen ni mzuri zaidi ya Cucurela, kilichokuwa kinamuweka bench ni fitness yake bado haijapanda
Kwani amesajiliwa au ni tetesi?Huu usajili wa Nkunku ni matakwa/Mahitaji ya nani?
Kocha, BOEHLY au Sporting director ajae?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Mara ya mwisho mchezaji wetu kupata Tunzo ya mwezi EPL ilikuwa mwaka gani?
Declan rice ni mchezaji wa kawaida wakusema tujivunie nae ni Bora hiyo nafasi tumsajili Edson Alvarez au de jong ambao wapo vizuri zaidi ya huyoApart from Nkunku, the Blues are also said to be targeting other midfield signings, including West Ham’s Declan Rice and Borussia Dortmund star Jude Bellingham.
Unataka kuniambia wamekubaliana pande zote tatu Rb Leipzig, Chelsea na mchezaji mwenyewe?Hiyo dili ni kama imekamilika.
Kwenye DM Declan Rice ni mzuri kuliko hao wote, sema Declan rice sio mzuri na sio mbunifu kwa kupeleka mipira ya mashambulizi, De Jong anaweza kumshinda kwa attacking phase, Alvarez simjui kwa undaniDeclan rice ni mchezaji wa kawaida wakusema tujivunie nae ni Bora hiyo nafasi tumsajili Edson Alvarez au de jong ambao wapo vizuri zaidi ya huyo