Tutakuja ongea lugha moja huko mbelen, tim yetu imejaza matakata mengi ambayo yanajihisi yashakuwa masuperstar wakat bado wanasafar ndefu.Huu ujinga wa Pulisic huwezi kuona wala kuusikia Man city.
Angekuwa pale CITY angeongea huu ujinga over Grealish, Marhez, Foden
Pep angempiga benchi msimu mzima na angemuondoa kwa makofi.
Pulisic anajiamini kuongea hivi kwa sababu nafasi yake anayocheza THE BLUES, mbadala wake bado ni low quality players.
Mpaka leo namlaumu sana Marina kutujazia magarasa mengi kikosini.
Potter anafanye juu chini awaondoe kikosini Pulisic, Ziyech, Azipuculeta, Jorginho.
Huyu garbage aruhusiwe tuu mwisho WA msimu aende Kwa takataka wenzake huko brokelonaJorginho inaonekana alishajilengesha muda mrefu ndio maana hataki mazungumzo ya mkataba. Anataka aende bure.
Huyu garbage aruhusiwe tuu mwisho WA msimu aende Kwa takataka wenzake huko brokelonaJorginho inaonekana alishajilengesha muda mrefu ndio maana hataki mazungumzo ya mkataba. Anataka aende bure.
Joginho ,Havertz ,Ziyech , Azpilicuetta ,Pullisic hawa ni takataka WA kuuzwa ,tukubali tukatae kuna madeadwoods kibao mle la sivyo hatutoboi .Kiongozi acha kutuangusha Sasa, Imani imeporomoka ghafla hata msimu haujasogea. Haaland angeletwa pia na wapikaji wangeletwa kama sio msimu huu ni unaofuata. Kwa ninsi ninavyomuona Boehly viungo wote baada ya misimu miwili watakuwa wapya. Na ndio maana Kante anapewa mkataba miaka 2, Jorginho sidhani kama ataongezewa mkataba. Wewe subiri uone
Vipi alicheza vizuri au alizingua?Jana Fofana amecheza kama kiungo.View attachment 2365319View attachment 2365320
Fofana huyo ni wa Monaco na hyo ndo position yakeJana Fofana amecheza kama kiungo.View attachment 2365319View attachment 2365320
Anaitwa Youssouf FofanaFofana huyo ni wa Monaco na hyo ndo position yake
Hapana mkuu. Huoni huyo ni yousouf fofana mid ya monacoJana Fofana amecheza kama kiungo.View attachment 2365319View attachment 2365320
Naona umeamua kujitekenya mwenyewe.Raha sana kuchukulia kikombe mikononi mwa cheltako[emoji16][emoji16]View attachment 2365835
Anatia huruma sana. Walijazana sana ujinga na Courtois wakajiona wao ndio kila kitu.Kila nikisoma hii stori ya Hazard kuhamia Real Madrid nahuzunika. Ni stori ya kumhuzunisha kila shabiki na mpenzi wa soka lakini pia ni stori yenye mafunzo ndani yake kwamba sio kila NDOTO inayokuja kwako ni ndoto njema, ndoto zingine ni MITEGO
Hazard amekuwa akitamba kuwa Real Madrid ilikuwa ni timu yake ya ndotoni "Dream Team" na akaaga kwa mbwembe na ushujaa mkubwa hapa darajani kuwa anakwenda kwenye timu yake ya ndotoni tangu akiwa mdogo lakini ikageuka kuwa wodi ya kulazwa wagonjwa.
Hata wale wa timu ambazo Hazard alikuwa akiwanyanyasa hasa wa Liverpool, Arsenal na Barcelona wakisoma stori ya Hazard wanarudi kumhurumia badala ya kucheka na kudhihaki. Mnyanyasaji yule wa Chelsea aliyekuwa anautendea mpira jambo lolote atakalo leo hii amekuwa FLOP wa kukanyagwa kanyagwa barabarani na wapita njia
EDEN HAZARD NO MORE IN THE WORLD OF FOOTBALL
View attachment 2365180
Kwani hazard aliondoka kwa ubaya? Alienda kutimiza ndoto yake, mi naona aliondoka kiroho safi kbs sidhani kama aliondoka kwa ubaya kama alivyoondoka courtoisAnatia huruma sana. Walijazana sana ujinga na Courtois wakajiona wao ndio kila kitu.
The Telegraph say Kim produced texts showing that Willoughby asked if she was naked and introduced sex as a subject, whilst he also posted an alleged sexually-explicit video.Hata hajamaliza mwezi baada ya kuajiriwa katimuliwa. Tulimsifia sana kwa ajili ya profile yake na mapinduzi ambayo angeleta Chelsea, sasa hizo ndoto basi tena.
Chelsea sack commercial director Damian Willoughby after ‘inappropriate messages’ sent to agent before starting role
Source: Chelsea sack Damian Willoughby after 'inappropriate messages' sent to agent before starting role
View attachment 2363146