Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
[emoji3591] Huyo kocha bora alipokua Everton alifanya nini? Pamoja na ubora wake lakini hakufua dafu kwa wachezaji wa kawaida, muangalie alipokutana na qualityPale wana kocha bora, tena hiyo timu imeboreshwa dani ya mwaka moja kwa asilimia kubwa Madrid ya mwaka jana sio hi........sisi tumeanza kujuficha kwenye kujenga timu, nani asie jenga timu?
Mkuu yan unaangalia mpira una enjoy madogo wanajituma wanavuja jasho kweli, nilikua na hofu toka alipoumia Benzema nikijua watastruggle kupata ushindi ila kiukweli No Benzema No Problem. Kaondoka Casemiro lakini ukiwaona wanavyocheza utafikiri hakukua na mtu anaitwa Casemiro. Wanafanya sajili kimkakati wale Kroos na Modric wanaelekea mwisho wa soka la ushindani lakini replacement zao zipo tayari. Wanataka kuongeza na Bellingham yule dogo wa Dortmund.Mkuu nimecheki mechi yote
Wale simba mbarara wa Real Madrid ni hatari na playing style ndio inawabeba pamoaj na talents
Wakipoteza mpira wameurudisha kwa udi na uvumba, pasi fupi fupi na za kwenda mbele sijawahi ona back passes nyingi au sideways passes. Wanapiaga zile throgh passes katikati yua miguu ya opponent bila kujali watanyang'anywa. Tchouameni ni kiungo copy and paste wa Fab at this young age. Akikaa pale Barnabeu 5 yr sijui atakuwaje
Kwa ufupi ujenzio wa Real Madrid ya safari hii umejengwa katika vijana wadogo wa pale academy wakichanganya na majina makubwa ila bado ni young age
Na sisi Chelsea tutatoboa tu pamoaj na kuna mashabiki wengine wasioamini juu ya hii project. Wamezoeshwa na Abramovich kununua wachezaji waliovia timu nyingine na makocha wa majina makubwa. Bila kusahau kuwa hao makocha kuna sehemu walianzia na mfano halisi ni PEP na sas Xavi
[emoji106][emoji106]Nafikiri ni kuaga mwili ndio iliyosababisha polisi wasitosheleze
Watu hawapendi kuchoma nyama kwa moto mdogo mdogo ili iive taratibu evenly. Wanachoma nyama kwa moto mkubwa kwasababu ya tamaa na haraka mwishowe inababuka tu kwa nje nyama haiivi vizuri ndani, wanakula na damu yake. Patience is a key to success. Hata wahenga walisema, ukiona vyaelea, vimeundwa.Mkuu nimecheki mechi yote
Wale simba mbarara wa Real Madrid ni hatari na playing style ndio inawabeba pamoaj na talents
Wakipoteza mpira wameurudisha kwa udi na uvumba, pasi fupi fupi na za kwenda mbele sijawahi ona back passes nyingi au sideways passes. Wanapiaga zile throgh passes katikati yua miguu ya opponent bila kujali watanyang'anywa. Tchouameni ni kiungo copy and paste wa Fab at this young age. Akikaa pale Barnabeu 5 yr sijui atakuwaje
Kwa ufupi ujenzio wa Real Madrid ya safari hii umejengwa katika vijana wadogo wa pale academy wakichanganya na majina makubwa ila bado ni young age
Na sisi Chelsea tutatoboa tu pamoaj na kuna mashabiki wengine wasioamini juu ya hii project. Wamezoeshwa na Abramovich kununua wachezaji waliovia timu nyingine na makocha wa majina makubwa. Bila kusahau kuwa hao makocha kuna sehemu walianzia na mfano halisi ni PEP na sas Xavi
Kounde ni mchezaji wakawaida Sana kama tungemsajili tungekuwa tunao majina tulipigwaChelsea EPL Standings
2017/18 - 5th
2018/19 - 3rd
2019/20 - 4th
2020/21 - 4th
2021/22 - 3rd
2022/23 - ?
Aisee hapa angebaki Roman Abramovich, Marina angemsajili labda DECLAN RICE, KOUNDE n.k, na labda Rudger, Lukaku, Werner, Christensen, Alonso wangebaki ila Kwa TT huu ungekuwa ni msimu wake wa mwisho kama asingebeba EPL.
Hata tungemsajili asingefanya chochote huko man city anatengenezewa sana nafasiFabrizio Romano: Chelsea owner Todd Boehly wanted to sign Erling Haaland
According to the claims made by transfer market journalist Fabrizio Romano (h/t Sun), Chelsea owner Todd Boehly wanted to sign star striker Erling Haaland from Borussia Dortmund before Manchester City did.
It is revealed that due to the protracted nature of the takeover, Boehly was not in charge of the club when City were finalising a deal with Dortmund to sign the Norwegian international.
The English champions completed the deal by April, at a time when Chelsea were busy dealing with the sanctions imposed on the club because of the previous Russian owner Roman Abramovich and the situation in Russia.
Zile goli zake zinaitwa "tap in goal" yeye hashiriki kwenye build-up au move anasubilia tu ku tapin, anafaa tu kwa barca na mancity tu, kwenye Liverpool na Chelsea anakua mzigoKounde ni mchezaji wakawaida Sana kama tungemsajili tungekuwa tunao majina tulipigwa
Hata tungemsajili asingefanya chochote huko man city anatengenezewa sana nafasi
1. Kama hatuna hakika na furaha ya baadaye kupitia project kwanini sasa tunasema haya na yale? Tuikubali hali tuliyonayo sasa na tuendelee nayo.Unaweza kuhuzunika sasa na baadae ukahuzunika pia.
Kwanza project yenyewe tumeianza na mguu sio.
Kuna mastaa tumewasajili dirisha hili ni sajili za papara, tumeleta mastaa wenye quality za kawaida sana.
Tungetulia hiyo £276 milioni, ingetumika kuwasajili mastaa wenye quality kubwa zaidi, timu ikafanya vizuri kipindi hiki cha mpito na vijana wenye vipaji wakaendelea kukuwa kwa malengo ya kutake over baadae.
Kwa kuwa anakuja Mkurugenzi wa michezo hope ataanza upya hii mnayoita project.
Missed chances zetu nazo angepotezaKounde ni mchezaji wakawaida Sana kama tungemsajili tungekuwa tunao majina tulipigwa
Hata tungemsajili asingefanya chochote huko man city anatengenezewa sana nafasi
Sio tu kuziba, wachezaji muhimu wakiondoka wanaharibu na mfumo wa uchezaji so itabidi kuziba na kujenga upya hiyo ndio inaitwa rebuilding. Kipindi cha rebuilding unaweza kuwa fupi au ndefu depending on designer and contractor. Kipindi hiki Cha rebuilding ni ngumu sana, wengine wataumia na kuondoa Imani na uongozi, kocha na Kwa baadhi ya wachezaji1. Kama hatuna hakika na furaha ya baadaye kupitia project kwanini sasa tunasema haya na yale? Tuikubali hali tuliyonayo sasa na tuendelee nayo.
2. Usajili ulikuwa lazima ufanyike maana kuna wachezaji waliondoka klabuni nafasi zao lazima zizibwe hata kama siyo zote.
3. Hatukuwa na Mkurugenzi wa Michezo wa kushughulikia usajili. Negotiations zikachukua muda mrefu hadi wachezaji kama de Ligt akaenda Bayern. Ended up chasing wrong targets in Raphinha, Kounde and Gordon hadi dirisha likafungwa. Wiki ya mwisho wa dirisha nani atakubali kukuuzia mchezaji wake wakati yeye hawezi kusajili tena.
4. Kuwanunua wachezaji ambao huna ushawishi nao na unashindana na wengine ni lazima uchezewe keusi na kekundu, unalamba Denis Zakaria. Kuliko kufa njaa, unachukua mchembe (viazi vitamu vya kukausha) kama alivyosajiliwa kwa mkopo Denis Zakaria ambaye wengi wetu humu hatukuwahi hata kumsikia [emoji851]
5. Christoph Freund aje sasa ili Msimu ujao tufanye usajili wa maana. Msimu huu turidhike na tulichonacho. Hata tumalize wa 9, sawa tu.
Kiongozi acha kutuangusha Sasa, Imani imeporomoka ghafla hata msimu haujasogea. Haaland angeletwa pia na wapikaji wangeletwa kama sio msimu huu ni unaofuata. Kwa ninsi ninavyomuona Boehly viungo wote baada ya misimu miwili watakuwa wapya. Na ndio maana Kante anapewa mkataba miaka 2, Jorginho sidhani kama ataongezewa mkataba. Wewe subiri uoneKounde ni mchezaji wakawaida Sana kama tungemsajili tungekuwa tunao majina tulipigwa
Hata tungemsajili asingefanya chochote huko man city anatengenezewa sana nafasi
Si kwamba hallaand nae hapotezi nafasi anapoteza ila ana uhakika wakupata chance zingine za maana na ndio maana confidence yake inakuwa ya juu lakini kwa Chelsea je inaweza ikawa hivi?Missed chances zetu nazo angepoteza
Hao wote uliotaja sijaona kiungo mbunifu umegusia ndio shida unapoanzia hapoKiongozi acha kutuangusha Sasa, Imani imeporomoka ghafla hata msimu haujasogea. Haaland angeletwa pia na wapikaji wangeletwa kama sio msimu huu ni unaofuata. Kwa ninsi ninavyomuona Boehly viungo wote baada ya misimu miwili watakuwa wapya. Na ndio maana Kante anapewa mkataba miaka 2, Jorginho sidhani kama ataongezewa mkataba. Wewe subiri uone
Umenielewa lakini, uje Zi bado unaendelea wataletwa viungo Hadi wote warudi kundiniHao wote uliotaja sijaona kiungo mbunifu umegusia ndio shida unapoanzia hapo
Hii habari inaweza kuwa kweli Lakini boss wa Freund amesema hakuna kitu cha namna hiyo[emoji851] ]Christoph Freund will be sign documents to be unveiled as new Chelsea director in the next days. He's also been "approved" by Graham Potter as perfect profile to work together on present and future project. [emoji838]
It's just matter of time to get it signed, also with Salzburg.
[Via Fabrizio Romano]
Yale yale ya Brighton na CucurellaHii habari inaweza kuwa kweli Lakini boss wa Freund amesema hakuna kitu cha namna hiyo[emoji851] ]View attachment 2361938
Kabisa [emoji23][emoji23]Yale yale ya Brighton na Cucurella