Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Today's game was disappointing despite the win.

Hazard amezidi kupiga chenga imefika hadi sasa akiwa na mpira anawangoja waje kumkaba ndipo a move. This is not good. Ingawa tutahitaji speed yake n his craftiness kupenya defense ya Arsenal inabidi aliangalie hili la possession ya mpira muda mrefu.

Schurrle anastahili kuanza the next match with Hazard. Infact ni vie tu mm sio Mou otherwise in that game Schurrle angekuwa striker then wacheze Mata Hazard n Oscar. But si mbaya pia akiwa na Willian though pass accuracy yake stil needs to b worked on.

D. Luiz shud go centre...naona Mou kagoma kabisa. Kama ni hivyo asiwepo game ya Arsenal heri kumrudisha Cahill at least ana discipline ya kubaki nyuma. Ivanovic keshajipa u striker kila dakika yuko mbele.

Ramires sijui kama anafanyaga tena mazoezi ya target aisee. He used to be very good before siku hizi huna uhakika kama atalenga goli au la.

Mou should giv Ba the rare start come Monday...

Yangu macho but najua Arsix hawana ubavu kwetu.KTBFFH
 
Mkuu Mimi ntatoa maoni yng baada ya Mou kupanga kikosi!

Ila Kwa beki ya kushoto Coly apangwe Na kulia Ivanovic katikati pale Naelewa kocha wetu ataamua menyewe Kwa mabeki!

Viungo Ramires anatakiwa kucheza! Mwenzake hapa sasa Sijui Lampard Au Obi Au Essien!

Willian na Hazard ni vema wakaanza Kwa sababu ni watu wenye uwezo Wa kukaa na Mpira na kuingia nao ndani na pasi zao za uhakika! Schuller acheze nyuma ya striker pale km atakua Ba Au Tores Au Et'o Lakini akiwa nyuma ya striker ina maana Mpira muda mwingi utakua Kwa lango la Arsenal Kwa kusaidiana na Willian na Hazard!

Ila shida ya Schuller kwenye kufunga hukosa magoli sn!

Pia Oscar nisingependa aanze kiwango chake kinashuka siku Hizi! Ata Jana alipoingia tu game ikapoa ni bora alipokuwepo Mata!
Tukicheza asilimia 100 sehemu zote kukaba Na kushambulia
Tunawapiga goli nyingi!
Ila maoni mengi na uchambuzi nitatoa baada ya kuona kikosi atakachopanga Happy one!

Ila Hawa ni wateja wetu tu!
 
well said mkuu cha kuongezea katikati asimame obi
 
eto, torres sidhan kama mchango wao ni mkubwa mi nadhan mou ajaribu kumtumia shurrle km no 9. kuna game germany walimpanga tisa mshikaj ni mkali alipiga hatrick au asipomtumia msela bora acheze ba
 
kwa upande wa beki kiukweli benitezi alijitahidi sana sijajua. ye hakuwa anampanga terry na beki haikuwa mbov km nw. tatizo mou cjui anawaogopa waingereza? cole sidhan km kiwango chake ni kibovu kiasi cha kusugua bench.
 
Mimi Kwa mtazamo wangu Et'o afaa Kua mbele then Schuller awe nyuma yake kidogo Kwasababu Et'o ana uwezo Wa kudrive in na kufosi huku akisaidiwa na Schuller Mwenye kucheza km Et'o!

Na pia Ba anafaa kuanza ila nyuma Yake awe Huyu Schuller Kwasababu timu itakua na uwezo Wa kukaba sn na mipira ikifika Kwa Ba lazima aicheze huku Hawa Viungo na Hawa Viungo washambuliaji wakiwa wanakuja kushambulia! Ba ana nguvu na mikimiki anaiweza
 
kwa upande wa beki kiukweli benitezi alijitahidi sana sijajua. ye hakuwa anampanga terry na beki haikuwa mbov km nw. tatizo mou cjui anawaogopa waingereza? cole sidhan km kiwango chake ni kibovu kiasi cha kusugua bench.

Kwa upande Wa beki Hakuna shida yamekua yanatokea makosa tu ya uwanjani!
Atakaepangwa ni sawa tu ila kitu Cha msingi ni Viungo Wote kuwajibuka kukaba!

Alafu Mou sio km anawaogopa Waingereza Kwasababu alichokifanya Mou ni kuijenga timu kuanzia Kwa mmiliki na uongozi na kocha na wachezaji na Mashabiki Wote! Na Hakuna wakati timu imekaa sawa km sasa!

Ni makosa na uzembe tu Wa wachezaji unatokea Ndo maana timu inapoteza!
 
Katikati aanze Ramires na Lampard then atapumzika Lampard aingie Obi!

Kwasababu Lamp ni muhamasishaji sn akiwa uwanjani na mwepesi pia Wa kutoa pasi zozote na kukaba na pia Ramires na yuko hivyo!
Ila Lamp siku Hizi Amekua anachoka Kwahiyo Hawezi cheza Dakika 90!
 
1475929_10152117553597259_854547205_n.jpg

NINGEPENDA SANA MUWAFUNGE ARSENAL NEXT MoNDAY LAKINI KWA JINSI MNAVYOCHEZA NI KAMA ROLLERCOASTER RIDE NA ARSENAL WATAWAFUNGA......NITAFURAHI SANA CHELSEA AKISHINDA LAKINI SIONI MTASHINDA VIPI HIO GAME.....
 
kwa upande wa beki kiukweli benitezi alijitahidi sana sijajua. ye hakuwa anampanga terry na beki haikuwa mbov km nw. tatizo mou cjui anawaogopa waingereza? cole sidhan km kiwango chake ni kibovu kiasi cha kusugua bench.

Maelezo yako yanapingana yenyewe. Unahisi kwamba Jose anawaogopa waingereza, wakati huohuo unasema Cole hafai kukaa benchi, wote tunajua Cole ni mwingereza pia! Nyoosha maelezo yako vizuri mkuu. Jose anapanga team kwa merit sio majina, unacheza vizuri mechi na kufanya vizuri mazoezini unapangwa, end of story.
KTBFFH
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom